Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Sido targets entrepreneurs in funding

The Small Industries Development Organisation (Sido) will launch a new centre for packaging, an entrepreneurship development fund, technology leasing services and an SME portal in 2016.

TheCitizen

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Sido, Finland kuinua wazalishaji

Shirika la Kuhudumia Viwanda Vidogo (Sido), limesema kuwa mpango maalumu wa kuwawezesha wazalishaji wa embe, asali na viungo nchini utasaidia kuwainua watanzania na kuingia katika soko la kimataifa, hivyo kuleta manufaa kwa taifa.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Sido yaja na mpango wa kukopesha

UNAPOTAKA kufanya biashara yoyote lazima uwe na mtaji. Kwa bahati mbaya wajasiriamali wengi wanaposema mtaji wana maana fedha za kununulia bidhaa watakazouza au huduma watakayotoa kwa malipo ambayo kwa kweli...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mkakati wa Sido wa ODOP kuongeza ajira

SIKU hizi kumezuka tabia ya vijana kujikusanya vikundi na kukaa bure wakipiga porojo kutwa nzima bila kufanya shughuli yoyote ya kuzalisha mali kwa kukosa ajira. Hali hii imezidi kuwachochea vijana...

 

10 years ago

TheCitizen

Support small industries, Sido told

>The Small Industries Development Organisation (Sido) should address issues that still hinder its efforts to support small-scale industries. “Sido has a major role to play to ensure that the country’s vision 2025 is achieved,” said Industry and Trade minister Abdallah Kigoda.

 

10 years ago

Mwananchi

Wajasiriamali walia kodi kubwa Sido

Wajasiriamali waliopanga kwenye majengo ya Shirika la Viwanda Vidogo Vidogo (Sido) jijini Dar es Salaam, wamelalamikia kupanda kwa zaidi ya mara tatu kwa kodi ya pango.

 

11 years ago

Dewji Blog

Wajasirimali washauriwa kushiriki maonyesho yanayoandaliwa na SIDO

1

Mkuu wa wilaya ya Singida, Queen Mlozi akizungumza wakati wa kufungua mafunzo ya usindikaji nyanya,biashara na masoko yaliyohudhuriwa na wajasiriamali 36 kutoka Manispaa na Wilaya ya Singida.Kulia ni meneja wa SIDO mkoa wa Singida, Shoma Kibende.(Picha na Maktaba).

Na Nathaniel Limu, Singida

WAJASIRIAMALI Wilayani Singida wamehimizwa kujenga utamaduni wa kushiriki maonesho ya kanda ya kati yanayosimamiwa na SIDO ili pamoja na mambo mengine kutangaza bidhaa zao ziweze kupata soko la uhakika...

 

5 years ago

Michuzi

DKT NCHIMBI AWATWISHA MZIGO TBS NA SIDO










Mkuu wa Mkoa wa Singida Dkt. Rehema Nchimbi


Na John Mapepele

Mkuu wa Mkoa wa Singida Dkt. Rehema Nchimbi amelielekeza Shirika la Viwango nchini (TBS) na Shirika la Viwanda Vidogo nchini (SIDO) kuanzisha mara moja operesheni maalum ya kuwatafuta wamiliki wa viwanda na wazalishaji wakubwa wa mafuta ya alizeti katika Mkoa wa Singida.

Lengo kubwa ni kukagua viwango vya mafuta hayo na kuwaelimisha ili kuhakikisha ubora wa mafuta hayo yaweze kuingia kwenye masoko ya kimataifa hatimaye...

 

10 years ago

StarTV

Wafanyabiashara soko la SIDO walalamika ubovu wa barabara.

Na Amina Saidi,

Mbeya.

Wafanyabiasha na wachukuzi wa mizigo katika Soko la Mchele la Sido jijini Mbeya wamelilalamikia Shirika la kuhudumia Viwanda Vidogo nchini SIDO na Halmashauri ya jiji hilo kwa kushindwa kuwaboreshea barabara za ndani ya soko hilo.

 

Wamesema kwa miaka mingi kinapofika kipindi cha mvua, biashara zao zinakuwa mashakani kwa kuwa wateja wao wakiwemo wenye magari makubwa wanashindwa kuingia sokoni hapo kutokana na kuwepo kwa matope mengi.

 

Katika eneo hili wananchi hununua...

 

11 years ago

Michuzi

Sido yatoa mikopo kwa wajasiliamali wa mkoa wa Lindi

 Meneja wa Sido mkoa wa Lindi,Mwita Kasisi akieleza
jinsi shirika lake linavyowezesha wajasilamali wa mkoa huo kwa kuwapa
mikopo na elimu ya wajasiliamali katika hafla Fupi ya kukabidhi hundi
za mikopo kwa wajasiliamali 21,kutoka kushoto ni Bw Dickson
Kindole,Mhandisi Sido,Bi Salma Ally,Afisa mikopo na Mkuu wa Wilaya ya
Lindi Dr Nassor Hamid
 Baadhi ya wajasiliamali waliokabidhiwa hundi za mikopo
wakimsikiliza Mkuu wa wilaya( hayupo pichani)Katika Hafla hiyo
iliyofanyika jana mjini Lindi
 Mkuu...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani