Sifa ya elimu yawagawa wajumbe
IBARA ya 125.-(1) (b) ya rasimu ya katiba mpya inayopendeza sifa ya elimu kwa mgombea ubunge iwe ya kidato cha nne, imewagawa wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba, ambako baadhi...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
10 years ago
KwanzaJamii15 Aug
MADARAKA YA RAIS YAWAGAWA WAJUMBE BUNGE LA KATIBA
11 years ago
Mwananchi24 Jan
Wajumbe Bunge la Katiba wawe na sifa
11 years ago
Tanzania Daima13 Feb
Lissu: Wajumbe wa Bunge la Katiba hawana sifa
MBUNGE wa Singida Mashariki, Tundu Lissu, amesema wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba walioteuliwa hivi karibuni wengi wao hawana sifa ya kuingia katika bunge hilo. Akizungumza na Tanzania Daima kwa...
10 years ago
Habarileo13 Sep
Bunge la Katiba laelezwa elimu isiwe sifa ya ubunge
MBUNGE wa Mtera Livingstone Lusinde ametetea hoja za wabunge wanaotaka sifa ya kugombea ubunge iwe kujua kusoma na kuandika, kwa maelezo kuwa asilimia kubwa ya wananchi wengi wa Tanzania hawakupata elimu ya sekondari hivyo katiba haifai kuwabagua.
9 years ago
Dewji Blog07 Dec
Pires amwagia sifa Wanyama, asema ana sifa zote za kucheza Arsenal
Robert Pires.
Na Rabi Hume, Modewjiblog
Mchezaji wa zamani wa Arsenal, Robert Pires amemsifia mchezaji wa timu ya taifa ya Kenya na Southampton, Victor Wanyama na kuwa ana sifa za kucheza Arsenal kutokana na ubora alionao.
Pires aliulizwa na mwandishi wa habari wa Kenya kuhusu uwezo wa Wanyama na kusema kuwa amekuwa akimwangalia mchezaji huyo na anamwona kama mchezaji mwenye uwezo mzuri ambao kama akiongeza juhudi anaweza katika ubora wa wachezaji bora wa dunia.
“Namjua Wanyama, ni balozi...
10 years ago
Mtanzania12 Jun
Bajeti yawagawa wabunge
BAJETI Kuu ya Serikali iliyosomwa jana na Waziri wa Fedha, Saada Salum Mkuya, imewagawa wabunge ambapo baadhi wameiponda, huku wengine wakiisifia.
Baadhi ya wabunge hao wakiwamo wa vyama vya upinzani na chama tawala CCM, walisema bajeti hiyo haina jambo jipya na imezidi kuongeza mzigo wa umasikini kwa wananchi.
LUHAGA MPINA
Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina (CCM), alisema kupandisha ushuru wa mafuta ya taa, petroli na dizeli ni kuongeza ugumu wa maisha kwa mwananchi kwa sababu ongezeko lolote...
10 years ago
Mwananchi03 Oct
Kura ya hapana yawagawa Zanzibar
10 years ago
Habarileo10 Sep
Mahakama ya Kadhi yawagawa wabunge
MAHAKAMA ya Kadhi imetikisa mjadala wa Bunge Maalumu la Katiba jana. Hali hiyo inatokana na ukweli kuwa idadi kubwa ya wajumbe ambao walipata fursa ya kuchangia waliendelea kuwashawishi wenzao wakubali mahakama hiyo iingizwe kwenye Katiba kwani ni chombo muhimu kwa waumini wa dini ya Kiislamu.
10 years ago
Tanzania Daima03 Nov
Maji yawagawa madiwani Igunga
MRADI mkubwa wa maji safi na salama kutoka Ziwa Victoria, umeligawa Baraza la Madiwani la Halmashauri ya Wilaya ya Igunga mkoani Tabora kutokana na bomba kupitia kwenye vijiji vyenye maji...