Sikinde, Kopa kuwasha moto Swahili Arts Carnival
BENDI Kongwe ya muziki wa dansi, Sikinde pamoja na Malkia wa muziki wa Taarab Afrika Mashariki, Khadija Kopa ni miongoni mwa wanamuziki watakatoa burudani kwenye Tamasha la Sanaa na Ubunifu wa Mswahili (Swahili Arts and Creative Carnival).
Akizungumza na mtandao wa jamii, mmoja wa waratibu wa tamasha hilo, Ahadi Kakore amesema kuwa Sikinde ni miongoni mwa bendi zinazopiga muziki wa Kiswahili asilia ndiyo maana wameamua kuiweka kuwa bendi rasmi ya dansi ya tamasha hilo.
Aliongeza kuwa kwa...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziKHADIJA KOPA KUWASHA MOTO LONDON,NI JUMAMOSI YA 18 JULY
10 years ago
VijimamboKHADIJA KOPA KUWASHA MOTO LONDON,NI JUMAMOSI YA 18 JULY 2015
Khadija kopa Kuwasha moto Siku ya Eid London ni Jumamosi 18/07/2015 ndani ya Ukumbi wa La royare Banquet Suites London 819 -821 High Road Nunua Tickeck yako Mapema kuepuka usumbufu Mlangoni bonyeza link hii kununua https://www.tickettailor.com/checkout/view-event/id/29235/chk/9a14 Show hii imeletwa kwenu na Bongodeejays Events kwa Maelezo zaidi na ticket Booking piga namba hizi +447853482158/+447931526622 /+447421167123 au tembelea link zifuatazo kwa habari...
10 years ago
MichuziKhadja Kopa, Bilal Mashauzi kuwasha moto USIKU WA KHANGA PARTY NOV 29
ASIA Idarous Khamsin na Safari Carnival wanakuletea usiku wa Khanga Party na Spice Modern Taarab watakaowasha moto wa burudani sambamba na gwiji wa mipasho nchini Khadija Kopa pamoja na Bilal Mashauzi, Jumamosi ya usiku wa Novemba 29, ndan ya ukumbi wa Safari Carnival, Mikocheni B.
Kwa mujibu wa mmoja wa wandaaji wa usiku huo, Asia Idarous Khamsin, amesema tayari maandalizi yake yamekamilika na amewasihi wadau kujitokeza kwa wingi katika onesho hilo la aina yake kwa...
11 years ago
MichuziMWASITI, SHAA NA KHADIJA OMARI KOPA KUWASHA MOTO KATIKA JUKWAA LA FAMILIA KITCHEN PARTY GALA
mratibu wa jukwaa hilo vida mndolwa amesema jukwaa hilo limelenga kutoa elimu mbalimbali hususani uzazi wa mpango na upimaji wa saratani ya...
10 years ago
MichuziMISS TANZANIA USA PAGEANT YAPAMBA MOTO, MAMISS WAANZA KUWASILI TAYARI KUWASHA MOTO LEO JUMAMOSI
Kutoka kushoto ni Maria Rutayuga kuotoka Maryland, Jesca Kalemera kutoka New Jersey, Mercy Sukaya kutoka Michigan na Grace Mlingi kutaoka Maryland. Washiriki wakimsikiliza mmoja ya waratibu alipokua akiwaelekeza jambo kwenye hotel waliyofikia ya Double Tree iliyopo Dwntown Silver Spring.
PICHA ZAIDI BOFYA HAPA
10 years ago
GPLMISS TANZANIA USA PAGEANT YAPAMBA MOTO, MAMISS WAANZA KUWASILI TAYARI KUWASHA MOTO LEO JUMAMOSI
10 years ago
MichuziDiamond na Mzee Yusuf kuwasha moto Dar Live Krismas katika tamasha la wafalme chini ya Vodacom Tanzania, Moto mwingine wa burudani utakuwa Coco beach
10 years ago
Mwananchi07 Feb
Majirani kuwasha moto leo