Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Simba SC yapitisha 28

Majina 28 ya wachezaji waliosajiliwa Simba kwa ajili ya msimu ujao yamekabidhiwa juzi katika kikao cha kamati ya utendaji ya klabu hiyo kilichoongozwa na rais wao, Evans Aveva na kupitisha usajili huo.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

SIMBA YAPITISHA MAREKEBISHO YA KATIBA MPYA

Viongozi wa Kamati ya Utendaji ya Simba wakiwa kwenye mkutano wa marekebisho ya katiba. Mwenyekiti wa Simba SC, Ismail Aden Rage, akihutubia.…

 

10 years ago

BBCSwahili

Tanzania yapitisha muswada wa ajira

Bunge la Tanzania limepitisha muswada wa sheria ya udhibiti wa ajira za wageni wa mwaka 2014

 

11 years ago

Habarileo

Kamati yapitisha bajeti ya Ujenzi

KAMATI ya Bunge ya Miundombinu, imepitisha Bajeti ya Wizara ya Ujenzi kwa mwaka ujao wa fedha 2014/2015, ya Sh trilioni 1.2, fedha zilizoelekezwa katika matumizi ya kawaida na ya maendeleo katika wizara hiyo.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Bagamoyo yapitisha bajeti bil. 45/-

HALMASHAURI ya Wilaya ya Bagamoyo inatarajia kukusanya sh bilioni 45 katika mwaka wa fedha wa 2014/ 2015 kutoka vyanzo mbalimbali vya mapato. Taarifa hiyo iliwasilishwa mwishoni mwa wiki na Mkurugenzi...

 

10 years ago

Mwananchi

CCM yapitisha wagombea ubunge

Katika jimbo la Pangani Vijijini, mgombea aliyeshika nafsi ya pili, Mkuu wa Wilaya ya Mufindi, Mboni Mhita alipitishwa badala ya John Sallu aliyeongoza.Kwa upande wa viti maalumu, Halmashauri Kuu imefanya mabadiliko katika baadhi ya mikoa ikiwamo Dar es Salaam ambao aliyeongoza, Angela Kizigha aliondolewa na nafasi yake kuchukuliwa na Janeth Masaburi.

 

10 years ago

BBCSwahili

UK yapitisha Sheria ya mtoto wa wazazi 3

Uingereza imekuwa nchi ya kwanza kuidhinisha sheria itakayorusu uzaaji wa watoto wenye vinasaba, DNA kutoka kwa watu watatu

 

11 years ago

Tanzania Daima

Halmashauri Ushetu yapitisha bajeti bil. 32/-

BARAZA la Madiwani wa Halmashauri ya Ushetu katika Wilaya ya Kahama, mkoani Shinyanga limepitisha mapendekezo ya mpango wa bajeti ya sh bilioni 32.5 kwa mwaka wa fedha 2014/2015. Akisoma mapendekezo...

 

11 years ago

Michuzi

KAMATI YA SHERIA YAPITISHA USAJILI WA WACHEZAJI

Kamati ya Sheria na Hadhi za Wachezaji imepitisha usajili wa wachezaji wa klabu za Ligi Kuu na Ligi Daraja la Kwanza huku wenye kasoro ndogondogo klabu zao zikitakiwa kuziondoa ili waweze kupatia leseni za kucheza ligi msimu huu wa 2014/2015.
Kasoro hizo ni kufikia makubaliano na klabu ambazo wachezaji husika wametoka, kuwafanyia uhamisho (transfer) na kulipa ada za uhamisho. Kamati vilevile ilibaini wachezaji wengi hawakufanyiwa uhamisho kama kanuni za ligi hizo zinavyoelekeza.
Hivyo, klabu...

 

10 years ago

Michuzi

MANISPAA YA KINONDONI YAPITISHA BAJETI YA BILIONI 50.1

HALMASHAURI ya Manispaa ya Kinondoni imepitisha Bajeti ya shilingi bilioni 50.1 kwa mwaka 2015/2016 ikiwa ni mapato ya ndani ya Halmashauri hiyo kwa ajili ya kutekeleza miradi mbalimbali ya Manispaa hiyo.
Akiwasilisha taarifa ya bajeti hiyo mbele ya wajumbe wa mkutano wa maalum wa Baraza la Madiwani Dar es Salaam,Meya wa Manispaa wa Kinondoni, Yusuph Mwenda alisema kuwa mbali ya fedha hizo ambazo ni makusanyo ya ndani pia wanatarajia kupokea shilingi bilioni 128.6 ikiwa ni ruzuku...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani