Simba yakana kung’oa viti
Uongozi wa klabu ya Simba umesema hauhusiki na vurugu zilizotokea katika mechi ya Yanga dhidi ya Al Ahly uliochezwa Jumapili iliyopita kwa sababu hawakuwa na masilahi na mechi hiyo.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mtanzania11 May
Nyota watatu kung’oka Simba
NA JUDITH PETER, DAR ES SALAAM
TIMU ya Simba imepanga kuwatema nyota wake watatu na kusajili wachezaji wenye uzoefu ili kuimarisha kikosi hicho ambacho kinaundwa na chipukizi wengi.
Simba imeanza mikakati ya usajili kwa ajili ya msimu ujao baada ya kumaliza Ligi Kuu Tanzania Bara msimu huu ikiwa nafasi ya tatu huku ubingwa ukinyakuliwa na watani wao wa jadi Yanga na Azam kushika nafasi ya pili.
Akizungumza jijini Dar es Salaam juzi Ofisa Habari wa timu hiyo, Haji Manara, alisema uongozi...
11 years ago
Tanzania Daima21 Jan
Rage atoa sharti kung’oka Simba
MWENYEKITI wa Simba, Ismail Rage ‘Tutu Vengere’ ameutaka uongozi wote ulioko madarakani kuachia ngazi ili klabu iongozwe na watu wapya kwa ajili ya kuleta ufanisi. Rage amekuwa akiandamwa na baadhi...
11 years ago
Tanzania Daima08 Jan
Watuhumiwa kuvunja viti Taifa walia kutoswa Simba
WAKATI kesi ya kufanya fujo na kuvunja viti vya Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam katika mechi kati ya Simba na Kagera Sugar ikitarajiwa kuanza kusikilizwa Januari 27 katika...
10 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-uLJKC9Kh5w0/UxHRLrp8meI/AAAAAAAFQak/HMg_Zc49ioI/s72-c/8.jpg)
SIMBA SC HAWAJANG’OA VITI TENA TAIFA LEO ?, BAADA YA KUPIGWA BAO 1 BILA MAJIBU NA WAKATA MIWA WA KAGERA
![](http://3.bp.blogspot.com/-uLJKC9Kh5w0/UxHRLrp8meI/AAAAAAAFQak/HMg_Zc49ioI/s640/8.jpg)
Licha ya Simba kusajili wachezaji nyota kutoka Uganda, Kagera Sugar FC wamelitamba kuivuruga tena kwa kuipa kichapo katika mechi yao leo na wamefanya hivyo kweli. Simba wanafanya kila wawezavyo kuwafunga watani wao wa jadi lakini wanvyo kutana na timu zingine ni nyanya tena hile ya masalo pale tandale jalalani.
![](http://shaffihdauda.co.tz/wp-content/uploads/2014/12/mr.png)
10 years ago
BBCSwahili07 Feb
Marekani yakana madai ya IS
11 years ago
Tanzania Daima28 Feb
Ngwasuma yakana kusambaratika
BENDI ya muziki wa dansi ya FM Academia ‘Wazee wa Ngwasuma’ imekanusha kwamba imesambaratika kutokana na kile kilichodaiwa kuwa baadhi ya wanamuziki waliopunguzwa katika bendi hiyo kuanzisha nyingine waliyoipa jina la...
10 years ago
BBCSwahili18 Nov
TZ yakana mpango wa kuwatimua wamasai
11 years ago
BBCSwahili08 May
Serikali ya Nigeria yakana kujikokota
11 years ago
Mwananchi01 May
Yanga yakana madai ya TFF