Simu orijino wanunuzi feki
Juu mlimani kulikuwa na amali. Ilikuwako huko kwa miaka mingi kwa sababu walioitamani hawakuweza kukidhi vigezo vya kuichukua. Kati ya vigezo vingi, kimojawapo kilikuwa rahisi kukitaja ila kigumu kukitekeleza.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
5 years ago
MichuziHATUTAKI MANENO TUNATAKA WANUNUZI WENYE FEDHA, RC KAGERA AWATAKA WANUNUZI WA KAHAWA KUINGIA SOKONI
10 years ago
Habarileo22 Dec
Simu feki za mamilioni zateketezwa Mwanza
TUME ya Ushindani imefanya operesheni na kukamata bidhaa za bandia, zikiwemo simu za mkononi 327 aina ya Samsung na nyembe aina ya Gillete, zote zikiwa na thamani ya zaidi ya Sh milioni 200 kisha kuviteketeza jijini hapa.
9 years ago
Global Publishers19 Dec
TCRA Yatoa miezi Sita kuzifunga simu feki Tanzania
![](http://3.bp.blogspot.com/-PDqSPwJbAO8/VnUKo_tOSHI/AAAAAAAAr9U/d7XyHe3V99Q/s1600/tmp_21241-2_TCRA-Tanzania-250x250-800x500_c96447027.jpg)
UTANGULIZI:
Vifaa vya mawasiliano vya mkononi – hususan simu za kiganjani na vifaa vya mawasiliano vya kiganjani (tablets) – vina namba maalum inayovitambulisha. Namba hiyo inajulikana kama IMEI ambacho ni kifupi cha International Mobile Equipment Identity.Kifungu cha 84 cha Sheria ya Mawasiliano ya Kielektroniki na Posta (EPOCA) ya 2010 kinataka kuwepo kwa mfumo wa rajisi ya namba za utambulisho wa vifaa vya mawasiliano vya mkononi. Rajisi hii inajulikana kwa kiingereza kama Central...
11 years ago
Mwananchi02 Feb
Wanunuzi wa ardhi waonywa
10 years ago
Habarileo02 Dec
Sumaye: Wakataeni wanunuzi wa kura
WAZIRI Mkuu mstaafu katika Serikali ya Awamu ya Tatu, Frederick Sumaye, amewataka Watanzania wakati wa uchaguzi wa serikali za mitaa unaotarajiwa kufanyika wiki mbili zijazo, kuacha kupigia kura kiongozi atakayetoa fedha za kununua kura.
11 years ago
Tanzania Daima06 Jul
Wakala wa Vipimo yatahadharisha wanunuzi
OFISA Vipimo wa Mkoa wa Kinondoni, Dar es Salaam, Hashimu Athumani, amewatahadharisha wanunuzi wa bidhaa kuwa makini na hila zinazofanywa na wafanyabiashara kuharibu vipimo kwa ajili ya kujiongezea faida, hali...
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-Q0hBcfefmkk/U3vm7ANlweI/AAAAAAAFkE0/X3tFgW8zKXQ/s72-c/unnamed+(47).jpg)
10 years ago
Michuzi21 Sep
10 years ago
Mwananchi18 Dec
Wanunuzi wa pamba, wakulima kuingia mkataba