Simu feki za mamilioni zateketezwa Mwanza
TUME ya Ushindani imefanya operesheni na kukamata bidhaa za bandia, zikiwemo simu za mkononi 327 aina ya Samsung na nyembe aina ya Gillete, zote zikiwa na thamani ya zaidi ya Sh milioni 200 kisha kuviteketeza jijini hapa.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog11 Oct
Zana za uvuvi haramu za mamilioni zateketezwa Sengerema
Katibu Tawala Wilaya Sengerema Bw. Focus Majumbi, (katikati) akishudia nyavu haramu kabla ya kuchomwa. Wa kwanza kushoto ni Afisa elimu msngi Wilaya Sengema Juma Mwajombe na Kulia ni Afisa uvuvi shupavu Bw. Henry Kaswahili.
Na Daniel Makaka wa MOblog, Sengerema
Zana haramu za kuvulia Samaki zinazokadiriwa kuwa na thamani ya shilingi milioni mia mbili na laki tani zimekamatwa na kuteketezwa na Afisa uvuvi tarafa ya Buchosa Wilayani Sengerema Mkoani Mwanza Bw.Henry Kaswahili.
Kwa mujibu wa...
11 years ago
Mwananchi12 Apr
Simu orijino wanunuzi feki
11 years ago
Tanzania Daima03 Jun
Majambazi waiba mamilioni Mwanza
WATU wanaodhaniwa kuwa majambazi usiku wa kuamkia jana wamevamia kituo cha mafuta Smat Usagara, kilichopo wilayani Misungwi na kuiba kiasi kikubwa cha fedha. Akizungumza na Tanzania Daima, mmoja wa watumishi...
10 years ago
Bongo512 Jan
Mtu ahack namba ya simu ya AY, awaomba mamilioni watu wake wa karibu
9 years ago
Global Publishers19 Dec
TCRA Yatoa miezi Sita kuzifunga simu feki Tanzania
![](http://3.bp.blogspot.com/-PDqSPwJbAO8/VnUKo_tOSHI/AAAAAAAAr9U/d7XyHe3V99Q/s1600/tmp_21241-2_TCRA-Tanzania-250x250-800x500_c96447027.jpg)
UTANGULIZI:
Vifaa vya mawasiliano vya mkononi – hususan simu za kiganjani na vifaa vya mawasiliano vya kiganjani (tablets) – vina namba maalum inayovitambulisha. Namba hiyo inajulikana kama IMEI ambacho ni kifupi cha International Mobile Equipment Identity.Kifungu cha 84 cha Sheria ya Mawasiliano ya Kielektroniki na Posta (EPOCA) ya 2010 kinataka kuwepo kwa mfumo wa rajisi ya namba za utambulisho wa vifaa vya mawasiliano vya mkononi. Rajisi hii inajulikana kwa kiingereza kama Central...
10 years ago
Dewji Blog17 Oct
Kampuni ya Simu za Mkononi Tigo yawawezesha waendesha BodaBoda Jijini Mwanza
Mkurugenzi wa Tigo kanda ya ziwa Ally Maswanya akizungumza na waendesha bodaboda mkoani Mwanza juzi wakati wa mafunzo ya kuwajengea uwezo na mpango wa Tigo kuwapa lita moja ya mafuta bure waongezapo lita tatu au zaidi na kulipia kupitia Tigo Pesa.
Mkurugenzi wa Tigo kanda ya ziwa Ally Maswanya akizungumza na waendesha bodaboda mkoani Mwanza, wakati wa mafunzo ya kuwajengea uwezo madereva wa Bodaboda na mpango wa Tigo kuwapa lita moja ya mafuta bure waongezapo lita tatu au zaidi kulipia...
11 years ago
Habarileo04 May
Zana haramu za uvuvi zateketezwa
KIONGOZI wa Mbio za Mwenge Kitaifa, Rachel Kassanda ameshiriki katika hafla ya kuteketeza zana haramu za uvuvi zenye thamani ya Sh milioni 68.6. Shughuli hiyo ilifanyika wilayani Muleba mkoani Kagera.
11 years ago
Mwananchi26 Jun
Bidhaa za mabilioni zateketezwa nchini
9 years ago
StarTV30 Dec
Zaidi ya ekari 10 za mihadarati zateketezwa Rindini Same
Zaidi ya ekari 10 zilizokuwa zimestawi dawa za kulevya aina ya Mirungi zimeteketezwa katika kijiji cha Rindini wilayani Same mkoani Kilimanjaro kwenye operesheni maalumu iliyofanywa na kamati ya ulinzi na usalama mkoani humo ikiongozwa na mkuu wa mkoa huo Amos Makalla.
Operasheni hiyo imelenga kudhibiti biashara haramu ya Mihadarati ambayo imezidi kushamiri katika maeneo ya Mkoa wa Kilimanjaro ambapo zaidi ya ekari 260 za mimea hiyo zinatarajiwa kuteketezwa kwa kipindi cha wiki mbili...