Zaidi ya ekari 10 za mihadarati zateketezwa Rindini Same
Zaidi ya ekari 10 zilizokuwa zimestawi dawa za kulevya aina ya Mirungi zimeteketezwa katika kijiji cha Rindini wilayani Same mkoani Kilimanjaro kwenye operesheni maalumu iliyofanywa na kamati ya ulinzi na usalama mkoani humo ikiongozwa na mkuu wa mkoa huo Amos Makalla.
Operasheni hiyo imelenga kudhibiti biashara haramu ya Mihadarati ambayo imezidi kushamiri katika maeneo ya Mkoa wa Kilimanjaro ambapo zaidi ya ekari 260 za mimea hiyo zinatarajiwa kuteketezwa kwa kipindi cha wiki mbili...
StarTV
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi26 Jun
Bidhaa za mabilioni zateketezwa nchini
11 years ago
Habarileo04 May
Zana haramu za uvuvi zateketezwa
KIONGOZI wa Mbio za Mwenge Kitaifa, Rachel Kassanda ameshiriki katika hafla ya kuteketeza zana haramu za uvuvi zenye thamani ya Sh milioni 68.6. Shughuli hiyo ilifanyika wilayani Muleba mkoani Kagera.
10 years ago
Habarileo22 Dec
Simu feki za mamilioni zateketezwa Mwanza
TUME ya Ushindani imefanya operesheni na kukamata bidhaa za bandia, zikiwemo simu za mkononi 327 aina ya Samsung na nyembe aina ya Gillete, zote zikiwa na thamani ya zaidi ya Sh milioni 200 kisha kuviteketeza jijini hapa.
10 years ago
Habarileo06 Feb
Tani 200,000 za silaha zateketezwa
TANI 200,000 za silaha haramu zilizokuwa zimezagaa nchi za Jumuiya ya Afrika ya Mashariki (EAC) zimeteketezwa.
11 years ago
Habarileo31 May
Katoni 117 za pombe za viroba zateketezwa
MWENGE wa Uhuru umeteketeza katoni 117 za pombe za viroba, zilizopigwa marufuku kuuzwa na kutumiwa nchini.
10 years ago
Habarileo10 Oct
Watu saba wauawa, nyumba 20 zateketezwa
WATU saba wameuawa na nyumba zaidi ya 20 kuchomwa moto katika vurugu zilizodaiwa kuanzishwa na wananchi katika Kijiji cha Murufiti, Wilaya ya Kasulu mkoani Kigoma, chanzo chake kikiwa imani za ushirikina. Habari zilizopatikana kutoka wilayani Kasulu na baadaye kuthibitishwa na Polisi, zinasema vurugu hizo zilitokea juzi usiku na watu waliouawa, walikuwa wakituhumiwa kujihusisha na ushirikina.
10 years ago
Dewji Blog11 Oct
Zana za uvuvi haramu za mamilioni zateketezwa Sengerema
Katibu Tawala Wilaya Sengerema Bw. Focus Majumbi, (katikati) akishudia nyavu haramu kabla ya kuchomwa. Wa kwanza kushoto ni Afisa elimu msngi Wilaya Sengema Juma Mwajombe na Kulia ni Afisa uvuvi shupavu Bw. Henry Kaswahili.
Na Daniel Makaka wa MOblog, Sengerema
Zana haramu za kuvulia Samaki zinazokadiriwa kuwa na thamani ya shilingi milioni mia mbili na laki tani zimekamatwa na kuteketezwa na Afisa uvuvi tarafa ya Buchosa Wilayani Sengerema Mkoani Mwanza Bw.Henry Kaswahili.
Kwa mujibu wa...
9 years ago
VijimamboDAWA ZA KULEVYA HEROINE NA COCAINE ZATEKETEZWA CHINI YA UANGALIZI MKALI JIJINI DAR
9 years ago
MichuziDAWA ZA KULEVYA AINA YA HEROINE NA COCAINE ZATEKETEZWA CHINI YA UANGALIZI MKALI JIJINI DAR