Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Simulizi ya Kassim Kayira : Akaa nyumbani siku tatu tu baada ya kuacha kazi! 8

kassim kayiraMBIO za kusaka mafanikio maishani ni ndefu mno. Inakuhitaji kuwa mpambanaji haswa, tena usiyekata tamaa mapema.

Kassim Kayira ni mmoja wa watu waliobadili maisha yao kwa kupambana. Safari yake ya kuyafikia maisha anayoishi kwa sasa, ilikuwa ngumu lakini kwa sababu ya uvumilivu, leo anaishi maisha mazuri. Anapata kila kitu, anafurahia utajiri na umaarufu mkubwa.

Wiki iliyopita, aliishia kusimulia jinsi alivyoamua kuacha kazi katika shirika la utangazaji nchini Rwanda, baada ya kuhamishwa...

Global Publishers

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Global Publishers

Kassim Kayira: Kutoka mkimbizi, baba n’tilie, BBC hadi Azam TV

14_04_kassimk_843Kassim Kayira.

Kassim Kayira, mtu ambaye hakuwahi kuwaza kama angeweza kuwa mtu tajiri na maarufu kama alivyo, kupitia uandishi wa habari na utangazaji, amepambana kujiweka mahali pazuri na sasa anapata kila kitu alichokosa utotoni na anasimulia maisha yake.

Wiki iliyopita, aliishia pale alipoacha kazi baada ya kuona mazingira siyo mazuri, kwamba aliundiwa zengwe baada ya kuanika ufisadi mkubwa uliofanywa na viongozi katika serikali ya Kagame, ikihusisha ununuzi wa magari ya...

 

9 years ago

GPL

KAYIRA, IDD SEIF WAACHA KAZI BBC

              Aliyekuwa mtangazaji wa Shirika la Utangazaji wa Uingereza BBC, Kassim Kayira. Aliyekuwa mtangazaji wa Shirika la Utangazaji wa Uingereza BBC, Idd Seif.
Kassim Kayira na Idd Seif wakiwa katika studio ya BBC.…

 

10 years ago

Vijimambo

RAIS KIKWETE AREJEA NYUMBANI BAADA YA ZIARA YA SIKU MOJA NCHINI RWANDA LEO

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam ambaye pia ni Mkuu wa Wilaya ya Ilala Mhe. Raymond Mushi baada ya kuwasili uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam jioni leo Machi 7, 2015 akitokea Kigali Rwanda, alikoalikwa na Rais Paul Kagame wa Rwanda kuhudhuria Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki. 

Wakati akiwa Kigali, miongoni mwa mambo mengine, Rais Kikwete ameudhuria mkutano wa tisa wa wakuu wa nchi kujadili...

 

9 years ago

Bongo5

Filamu ya ‘Chungu Cha Tatu’ yamalizika sokoni siku tatu baada ya kuachiwa

Chungu Cha Tatu

Kopi za filamu mpya ya JB na Wema Sepetu, ‘Chungu Cha Tatu’ zilizoingia sokoni Jumatatu hii zimemalizika ikiwa ni siku tatu toka iachiwe.

Chungu Cha Tatu

Akizungumza na Bongo5 Alhamis hii, JB alisema kasi ya mauzo ya filamu hiyo, ina kila dalili ya kuvunja rekodi ya filamu yake iliyopita Mzee wa Swagga.

“Filamu inaenda vizuri sana, Jumatatu baada ya kuingia sokoni masaa manne kopi zilizoingia sokoni ziliisha, Jumanne tukazalisha tena zikaisha, leo hii tumezalisha nyingine nyingi kwa sababu hata mikoani...

 

10 years ago

Michuzi

MAFUNZO YA SIKU TATU YA MATUMIZI YA MITANDAO YA KIJAMII (SOCIAL MEDIA) YAFUNGWA NA KAMISHNA WA KAZI NA UTUMISHI WA UMMA ZANZIBAR.

 Kamishna wa Kazi na Utumishi wa Umma Zanzibar Mr. Kubingwa Mashaka Simba akitoa nasaha na kufunga Mafunzo ya siku tu ya matumizi sahihi ya Mitandao ya kijamii (Social Media) yaliyofanyika Shule ya VIP mwanakwerekwe Mjini Zanzibar (kulia) Mwenyekiti wa Jumuiya ya Elimu Zanzibar (ZEDO) Ussi Said Suleiman na (kushoto) Mjumbe wa kamati ya wazazi Ndugu. Makame Ameri Yusuf.  Kamishna wa Kazi na Utumishi wa Umma Zanzibar Mr. Kubingwa Mashaka Simba akimkabidhi Cheti mmoja wa wanafunzi wa (Social...

 

11 years ago

GPL

SIMULIZI YA AUNT EZEKIEL: ILIKUWA AOLEWE AKIWA MDOGO, AKATOROKA NYUMBANI KWAO!

Aunt Ezekiel. BAADA ya wiki iliyopita kumaliza mahojiano na Miss Tanzania 2006 aliye pia mwigizaji wa sinema za Bongo, Wema Isaac Sepetu, wiki hii tunaye supastaa mwingine. Anaitwa Aunt Ezekiel Grayson, si jina geni kwa wadau mbalimbali wa burudani nchini. Ni mrembo ambaye amepata jina kubwa kupitia sanaa yake ya uigizaji wa filamu aliyoianza miaka saba iliyopita.
Msanii huyo ambaye ni mtoto wa damu wa aliyekuwa mchezaji...

 

5 years ago

CCM Blog

RAIS WA ZANZIBAR DK. SHEIN AWASILI ZANZIBAR AKITOKEA PEMBA BAADA YA KUMALIZA ZIARA YAKE YA SIKU TATU PEMBA.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi alipowasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume akitokea Kisiwani Pemba baada ya kumaliza ziara yake ya siku tatu.(Picha na Ikulu)

 

11 years ago

Michuzi

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa,Bernard Membe Alipompokea Binti Mfalme wa Sweden, Mtukufu Victoria Lugrid Alice Desiree mara baada ya kuwasili nchini kwa ziara ya kikazi ya siku tatu

 Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard K. Membe (Mb.) akimpokea Binti Mfalme wa Sweden, Mtukufu Victoria Lugrid Alice Desiree mara baada ya kuwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Kambarage Nyerere, nchini Tanzania kwa ziara ya kikazi ya siku tatu kuanzia Tarehe 19 hadi 21 Machi, 2014.   Mhe. Membe akiwa katika mazungumzo na Binti Mfalme wa Sweden, Mtukufu Victoria Lugrid Alice Desiree mara baada ya kuwasili nchini.
Mkurugenzi wa Idara ya Ulaya...

 

9 years ago

GPL

SIMULIZI YA JB: AFANYA KAZI NA RACHIE WATENGANA?

SIMULIZI inazidi kunoga. JB anaendelea kueleza kila kitu alichopitia maishani mwake, sasa yuko katika kipengele cha safari yake ya sanaa. Tangu wakati wa maigizo hadi sasa kwenye filamu, ambako anaendelea kutengeneza pesa kupitia kazi hiyo ya uigizaji. Wiki iliyopita, alieleza jinsi alivyoanzisha kampuni ya kuzalisha filamu ya Jerusalem. Akieleza pia ugumu aliokutana nao. Je, nini kilifuata? TWENDE PAMOJA... “Kwa hiyo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani