Singida wavuna zaidi kutoka NHIF
Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk Seif Suleiman Rashid.
Na Nathaniel Limu, Singida
MAPATO yatokanayo na Mfuko wa Bima ya Afya katika hospitali ya Rufaa ya mkoa wa Singida yameongezeka kutoka sh milioni 19 mwaka jana hadi kufikia sh milioni 33 mwaka huu.
Mganga Mfawidhi wa hospitali hiyo, Dk Deogratius Banuba alieleza hayo wakati wa kikao cha kupongezana wafanyakazi wa hospitali hiyo kwa kuibuka washindi wa kwanza kitaifa na kuzawadiwa Tuzo na Cheti cha Ubora kwa hospitali za Rufaa...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo05 Oct
Singida waongeza pato kutoka NHIF
MAPATO yatokanayo na Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Singida yameongezeka kutoka Sh milioni 19 mwaka jana hadi kufikia Sh milioni 33 mwaka huu.
10 years ago
Habarileo12 Jul
NHIF yapunguza uhaba wa mashuka hospitali ya Singida
HOSPITALI ya Mkoa wa Singida inakabiliwa na uhaba mkubwa wa mashuka hali inayosababisha baadhi ya wagonjwa kutumia mashuka yao binafsi wakati wote wanapokuwa wamelazwa hospitalini hapo.
11 years ago
Habarileo15 Jun
NHIF Singida wajikita katika elimu ya CHF
MFUKO wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) Mkoa wa Singida umeanzisha mkakati maalumu wa utoaji elimu kwa wananchi wote juu ya umuhimu wa kujiunga na mfuko huo na Mfuko wa Afya ya Jamii (CHF).
9 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-YJZkmYUq5Js/VnJkToEuN-I/AAAAAAAAwbg/eu1qIiPjQP0/s72-c/2.jpg)
NHIF YARIDHISHWA NA MATUMIZI YA MKOPO WALIOIPATIA HOSPITALI YA MKOANI WA SINGIDA
Hospitali hiyo ilichukua mkopo wa Shilingi Milioni Mia Tano kutoka NHIF kwa ajili ya Ununuzi wa vifaa Tiba vya hospitali hiyo.
Akizungumza baada ya kukagua vifaa hivyo, Mhando amesema ameridhiswa na matumizi ya mkopo huo kwani umefanya kazi iliyokusudiwa.
Amesema NHIF itaendelea kushirikiana na uongozi wa mkoa...
9 years ago
Dewji Blog27 Nov
Wanahabari Mkoa wa Singida (Singpress) wahimizwa kujiunga na mfuko wa afya wa NHIF!
10 years ago
Dewji Blog10 Jul
NHIF yakabidhi msaada wa mashuka 200 kwa hospitali ya mkoa mjini Singida
Meneja wa NHIF mkoa wa Singida, Agnes Chaki (kushoto) akimkabidhi Mkuu wa wilaya ya Singida, Alli Amanzi msaada wa mashuka 200 kwa ajili ya hospital ya mkoa mjini hapa.(Picha na Nathaniel Limu).
Mkuu wa wilaya ya Singida,Alli Amanzi (kulia) akibadilishana mawazo na Meneja Mfuko wa taifa wa bima ya afya (NHIF) mkoa wa Singida, Agnes Chaki (katikati) muda mfupi kabla Meneja NHIF hajakabidhi mashuka 200 kwa hospitali ya mkoa mjini hapa.Kushoto ni Afisa uthibiti ubora wa huduma NHIF mkoani...
9 years ago
Dewji Blog19 Dec
Mfuko wa taifa wa bima ya afya (NHIF) wazindua huduma za madaktari bingwa mkoani Singida!!
10 years ago
GPL![](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2015/07/DSC00136.jpg?width=650)
NHIF YAKABIDHI MSAADA WA MASHUKA 200 KWA HOSPITALI YA MKOA MJINI SINGIDA
9 years ago
Michuzi22 Nov