Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Siri zaidi IPTL hadharani

Maswali juu ya utaratibu uliotumika kutoa fedha zilizokuwa zimewekwa kwenye Akaunti ya Escrow katika Benki Kuu ya Tanzania (BoT), kutokana na mvutano baina ya Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) na IPTL yameanza kupata majibu.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Chanzo IPTL kupigwa vita hadharani

MMILIKI wa Kampuni ya Pan African Power Solutions (T) Limited (PAP), Harbinder Sethi inayomiliki Kampuni ya kufua Umeme ya Independent Power Tanzania Limited (IPTL) ametoboa siri, kwa kudai kuwa anapigwa vita na kampuni za nje ya nchi zinazofua umeme nchini, baada ya kushusha bei ya umeme kwa Shirika la Umeme (Tanesco).

 

9 years ago

Mtanzania

Siri ya ufisadi bandari hadharani

bandariNa Masyaga Matinyi, Dar es Salaam

UAMUZI wa kuondoa majukumu ya kushughulikia mizigo kutoka menejimenti ya Bandari ya Dar es Salaam (TPA) na kuyakabidhi kwa kamati ya watu watano, imebainika kuwa chanzo cha upotevu wa mankotena na kuisababishia Serikali hasara ya mabilioni ya shilingi.

Inadaiwa kuwa timu hiyo ya watu watano ilishindwa kutekeleza majukumu yaliyokuwa yakifanywa na menejimenti ya Bandari ya Dar es Salaam na kutoa mwanya uliochangia upotevu.

Uchunguzi wa MTANZANIA umebaini kuwa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Siri ya mafanikio ya Himid Mao hadharani

KARIBU mpendwa msomaji wa gazeti pendwa la Tanzania Daima katika safu mpya ya ‘Jicho Letu Mitandaoni’ itakayokuwa ikikujia kila Jumatatu, ikibeba dhima ya kukupa wewe msomaji machache kati ya mengi...

 

5 years ago

Michuzi

UKOMO WA BEI YA BARAKOA HADHARANI, VIWANDA VYA NGUO NCHINI KUTENGENEZA BARAKOA ZAIDI

WAZIRI wa Viwanda na Biashara, Innocent Bashungwa amesema atachukua hatua kwa Taasisi zisizo za kiserikali (NGOs) zinazouza barakoa kwa gharama kubwa.

Bashungwa alitoa taadhari hiyo mkoani Arusha alipotembelea Viwanda vya kuzalisha nguo vya Sunflug na A to Z kuangalia hali ya uzalishaji wa barakoa katika Viwanda hivyo.
Bashungwa alitoa onyo kwa NGOs zilizoomba kibali cha kuzalisha barakoa kwa ajili ya kuwasaidia Watanzania lakini badala yake wanauza barakoa kwa shillingi 2,500 hadi...

 

9 years ago

Mzalendo Zanzibar

CCM: YAANZA KUUZA UZA -HISA ZA PBL KWA $$$: milioni 80. SIRI SIRI

Asalamu Alaikhum Ndugu Watanzania Wa Zanzibar na Tanganyika natumai mumeamka salama na muko katika harakati za kutafuta KIJIO. Ama mimi sina budi ila kumshukuru Mwenyezi Mungu kwakunijaalia kunipa uzima, afay na muda huu mdogo wakufikisha ujumbe […]

The post CCM: YAANZA KUUZA UZA -HISA ZA PBL KWA $$$: milioni 80. SIRI SIRI appeared first on Mzalendo.net.

 

9 years ago

Mzalendo Zanzibar

Waficha siri wanapozifichua siri

Na Rashid Abdallah Kule Zanzibar kulisemwa kuwa, hatutoi nchi kwa makaratasi (yaani ushindi hautolewi kwa kura),kisha Jakaya anakazia kwa kusema kuwa wao ni wazoefu wa kutumia mbinu, ni wazoefu wa kushinda kwa mbinu, Nape Nauye anashindia […]

The post Waficha siri wanapozifichua siri appeared first on Mzalendo.net.

 

10 years ago

GPL

MAMBO HADHARANI

Stori: Hami da Hassan na Haruni Sanchawa
KIFO cha tajiri maarufu mjini Bukoba, Leonard Mtensa (50) ambacho kimetingisha kanda nzima ya ziwa, kilichotokea dakika chache baada ya marehemu kudaiwa kufanya mapenzi ndani ya gari lake, sasa mambo hadharani juu ya kila kitu kilichotokea, Risasi Jumamosi linakupa mkanda mzima. Tajiri maarufu mjini Bukoba, Leonard Mtensa akichunguzwa na daktari. Tukio hilo lililozua gumzo mjini...

 

11 years ago

Mwananchi

Wabunge waumbuana hadharani

Wabunge jana waliumbuana kuhusu matumizi mabaya ya fedha za umma huku Kiongozi wa Kambi ya Upinzani, Freeman Mbowe akituhumiwa kuagiza kubadilishwa kwa tiketi ya ndege ya Mbunge wa Viti Maalumu (Chadema), Joyce Mukya ili afupishe ziara yake ya kikazi huko Marekani na kwenda Uarabuni kwa shughuli binafsi.

 

10 years ago

Mtanzania

Mali za Zitto hadharani

zittoNa Mwandishi Wetu, Dar es Salaam

UKWASI wa Kiongozi Mkuu wa Chama Cha Alliance for Change and Transparency(ACT Wazalendo), Zitto Kabwe umeongezeka kutoka umiliki wa shamba moja na Sh milioni 30 alizokuwa amezihifadhi katika akaunti za benki mbili tofauti hapa nchini, na sasa anamiliki mali na fedha zinazofikia Sh milioni 690, MTANZANIA Jumamosi linaripoti.

Kwa mujibu wa taarifa hizo mpya alizoziweka hadharani wiki hii katika fomu maalum ya kuonyesha mali zinazomilikiwa na viongozi wa chama...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani