SITOKUBALI KUONA UJENZI WA MAABARA UNAKWAMA - RC KIGOMA
![](http://3.bp.blogspot.com/-O58WNwJfQME/VJfow7XCfsI/AAAAAAAG4_I/A9RP7Ch1fuU/s72-c/unnamed%2B(20).jpg)
Na Editha Karlo wa Globu ya Jamii, Kigoma WAKATI mkoa Kigoma ukiwa umefikia asilimia 90 ya ujenzi wa maabara za sayansi kwenye shule za sekondari mkoani humo MKUU wa mkoa Kigoma Mhe Issa Machibya amesema kuwa hatakubali kuona mtu yeyote anakwamisha jitihada za ujenzi huo na atamshughulikia kikamilifu. Akizungumza wakati akikabidhi maabara kwa wanafunzi wa shule ya sekondari Buyungu wilaya ya Kakonko mkoani Kigoma Mhe Machibya alisema kuwa wanaotaka kutumia siasa kwenye suala la maabara na...
Michuzi
Habari Zinazoendana
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-CXrWldP9uDs/XmPNzdFRUYI/AAAAAAALhvo/Qf202ccegsw_iIRDsRzI_TGAlaIIcjwdgCLcBGAsYHQ/s72-c/7da1ad14-ded8-4080-8791-c4db82ca2003.jpg)
DC KATAMBI AAHIDI KULINDA HAKI ZA WANAWAKE- " SITOKUBALI KUONA WAKIONEWA"
Charles James, Michuzi TV
WANAUME nchini wametakiwa kutowanyanyasa wanawake kwa kuwadhulumu haki zao, kuheshimu nafasi zao na zaidi kuepuka kuomba rushwa ya namna yoyote pindi wanapohitaji msaada.
Hayo yamesemwa na Mkuu wa Wilaya ya Dodoma, Mhe Patrobas Katambi kuelekea kilele cha siku ya Wanawake duniani Machi 8 mwaka huu ambapo kitaifa maadhimisho hayo yatafanyika Mkoani Simiyu.
DC Katambi amesema Wanawake wengi wapewapo fursa hufanya vizuri zaidi na kwa uaminifu kuliko wanaume wengi hivyo...
10 years ago
MichuziUJENZI WA MAABARA: MAHIZA AWATAKA WAKUU WA IDARA WASIKAE OFISINI WAENDE KWENYE KATA,ATAKA MADIWANI WAAHIRISHE VIKAO VYAO HADI UJENZI UTAKAPOKAMILIKA
SUALA la Maabara kwa shule za Sekondari za Kata limeingia kwenye hatua nzito baada ya mkuu wa Mkoa wa Pwani Mwantumu Mahiza kuiacha ofisi yake na kuhamia Wilaya ya Bagamoyo ili kuhakikisha agizo la Rais Dk Jakaya Kikwete la kila wilaya iwe imekamilisha ujenzi huo ifikapo Novemba 30 mwaka huu.
Sambamba na hilo mkuu huyo amewataka wakuu wa idara wa Wilaya hiyo kila mmoja kutokaa ofisini na kuchagua kata ya kwenda ili kusimamia ujenzi huo hadi ujenzi wa maabara...
10 years ago
Habarileo04 Feb
Wagomea ujenzi wa maabara mbele ya RC
WANANCHI wa Kijiji cha Mahaha, kata ya Shishani, tarafa ya Ndagalu wilayani Magu, mkoani Mwanza wamegoma kuendelea na ujenzi wa maabara katika Sekondari ya Shishani na badala yake wanataka kuendelea na ujenzi wa sekondari ya kijiji chao.
10 years ago
Habarileo30 May
DC Mpwapwa apania ujenzi wa maabara
MKUU mpya wa Wilaya ya Mpwapwa mkoani Dodoma, Antony Mavunde ameapishwa jana mjini hapa na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma huku akisema kipaumbele chake cha kwanza ni kuhakikisha ujenzi wa maabara unakamilika kwa wakati.
10 years ago
Habarileo18 Dec
Pwani ujenzi wa maabara asilimia 80
WILAYA ya Kibaha mkoani Pwani imefikia asilimia 80 ya ujenzi wa maabara kwenye shule za sekondari na inatarajia kukamilisha ujenzi huo mwishoni mwa mwezi huu.
10 years ago
Habarileo27 Feb
RC: Hakuna visingizio ujenzi wa maabara
MKUU wa mkoa wa Pwani, Evarist Ndikilo amewataka wakuu wa wilaya mkoani humo kuhakikisha wanakamilisha ujenzi wa maabara za sayansi kwenye kata ifikapo Machi mwaka huu.
10 years ago
Habarileo08 Feb
Mikoa 6 taabani ujenzi wa maabara
MIKOA sita ‘imevurunda’ katika ujenzi wa maabara katika shule za sekondari baada ya kushindwa kufikia malengo. Ni mikoa mitatu pekee ndiyo imefanya vizuri kwa kuvuka nusu ya malengo.
10 years ago
Mtanzania11 Jun
Pinda: Ujenzi wa maabara palepale
Na Mwandishi Wetu, Mwanza
WAZIRI MKUU, Mizengo Pinda amesema tarehe ya mwisho iliyotolewa na Serikali ya kusimamia ujenzi wa maabara kwa shule za sekondari iko palepale na amewataka watendaji wa halmashauri na mikoa kuhakikisha wanatimiza agizo hilo.
Alitoa agizo hilo Mwanza jana alipozungumza na watendaji wa Mamlaka za Serikali za Mitaa na Waratibu wa Elimu wa Wilaya na Mikoa waliohudhuria ufunguzi wa mashindano ya UMISSETA na UMITASHUMTA kwenye uwanja wa CCM Kirumba.
Waziri Mkuu ambaye...
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-bl6FN1eXsyA/VNEZNvmUChI/AAAAAAAAGUY/ZbuxslaVKy4/s72-c/IMG_1989.jpg)
UJENZI WA BARABARA YA LAMI KUUNGANISHA MIKOA YA MBEYA NA RUKWA WAKAMILIKA, WAZIRI WA UJENZI AAHIDI SERIKALI KUKAMILISHA KUUNGA PIA MIKOA YA KATAVI, KIGOMA NA TABORA...
![](http://3.bp.blogspot.com/-bl6FN1eXsyA/VNEZNvmUChI/AAAAAAAAGUY/ZbuxslaVKy4/s1600/IMG_1989.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-g0Ba7CFYbbA/VNEXUCToWwI/AAAAAAAAGT8/blssevIgj3c/s1600/IMG_4378.jpg)