Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Sitta: Moto wa Mwakyembe utawaka zaidi

Waziri wa Uchukuzi, Samuel SittaWAZIRI wa Uchukuzi, Samuel Sitta amesema ataendelea kuwavalia njuga watu waliodhani kuwa maji yanapoa, baada ya Dk Harrison Mwakyembe kuondolewa katika wizara hiyo katika mabadiliko ya Baraza la Mawaziri, yaliyofanyika hivi karibuni.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

Mbowe: Moto utawaka uchanguzi ukiahirishwa.

Kiongozi wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe.
Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni, imeonya kuwa, uchaguzi mkuu uliopangwa kufanyika Oktoba, mwaka huu ukiahirishwa nchi itawaka moto.

Kambi hiyo imeituhumu serikali kuchelewesha kukamilisha usajili wa watu kwenye Daftari la Kudumu la Wapiga Kura licha ya tarehe ya kupiga kura kufahamika.

Kiongozi wa Kambi hiyo, Freeman Mbowe, alisema bungeni jana kuwa, kitendo hicho kina malengo na nia mbaya ya kutaka kuongezea muda wa utawala wa Rais...

 

10 years ago

Mtanzania

Sitta amgeuka Dk. Mwakyembe

sittaSHABANI MATUTU NA ELIAS MSUYA, DAR ES SALAAM
WAZIRI wa Uchukuzi, Samuel Sitta, amemsimamisha kazi Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA), Mhandisi Madeni Kipande, kwa tuhuma za utendaji mbovu, uliosababisha malalamiko kutoka kwa wadau mbalimbali.
Sitta amechukua uamuzi huo jana jijini Dar es Salaam wakati alipozungumza na waandishi wa habari kuhusu uamuzi huo ambao umefikiwa baada ya kufanyika kwa kikao cha dharura cha Bodi ya Mamlaka ya Bandari kilichofanyika hivi...

 

10 years ago

Mwananchi

Fagio la Mwakyembe kule Uchukuzi, Sitta umeliona au…

Ni dhahiri kusema kuwa kufanya kazi na Rais Jakaya Kikwete na hasa ukiwa mmoja wa wasaidizi wake wa karibu kwa hakika ni mzigo mzito.

 

9 years ago

CHADEMA Blog

KAMA KWELI SERIKALI INATAKA KUTIBU MAJIPU IWEKE WAZI RIPOTI ZA MWAKYEMBE NA SITTA - MNYIKA

Mbunge wa Jimbo la Kibamba, John Mnyika, ameomba ripoti za kamati za uchunguzi zilizoundwa na mawaziri wa Wizara ya Uchukuzi, Dk. Harrison Mwakyembe na Samuel Sitta, kuhusu Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) ziwekwe hadharani.Amesema kuwekwa hadharani kwa ripoti hizo kutaondoa usiri na kusaidia kubaini ufisadi uliokithiri katika mamlaka hiyo ili hatua za kuwasimamisha vigogo wa TPA na wa Mamlaka

 

10 years ago

Tanzania Daima

Sitta akalia moto

MWENYEKITI  wa Bunge Maalumu la Katiba, Samuel Sitta, amejiweka katika wakati mgumu kwa kuzua mgogoro mpya dhidi ya viongozi wa dini ya Kikristo, baada ya kuita waraka wao kuwa ni...

 

11 years ago

Mwananchi

Sitta aahidi nafasi zaidi kwa makundi maalumu

Mwenyekiti wa Bunge la Katiba, Samuel Sitta ameahidi kuwapa nafasi zaidi wajumbe wa Bunge hilo wanaotoka katika makundi maalumu.

 

10 years ago

BBCSwahili

Zaidi ya 500 wajeruhiwa na moto Taiwan

Zaidi ya watu 500 wamejeruhiwa kufuatia kutokea kwa mlipuko na moto kwenye bustani moja nchini Taiwan

 

10 years ago

Michuzi

SALAMU ZA RAMBIRAMBI KWA RAIS JAKAYA M.KIKWETE NA WAZIRI WA UCHUKUZI MHE MWAKYEMBE NA MKUU WA MKOA WA MARA KWA AJALI MBAYA YA BASI ILIYOPOTEZA MAISHA YA WATANZANIA ZAIDI YA 40


Chama cha Ujenzi wa Taifa cha NRA ,(National Reconstruction Alliance); kinatoa salamu za pole/rambirambi kwa Mhe Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, mhe Jakaya Kikwete, Waziri za Uchukuzi, Mkuu wa mkoa wa Mara na Wafiwa kwa ajali mbaya ya Basi iliyopelekea kupotea kwa maisha ya watanzania zaidi ya 40, akiongea kwa njia ya simu akiwa katika ziara ya kikazi mkoani  kigoma Naibu KATIBU MKUU NA KATIBU MKUU wa BODI ya chama Mhe Hassan Kisabya (pichani) , ametoa salamu hizo kwa niaba ya Chama...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani