Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Sms wakati wa uchaguzi kuchujwa

Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, Profesa Makame MbarawaKATIKA kuhakikisha uchochezi unaoweza kuvuruga amani ya nchi unadhibitiwa wakati wa uchaguzi, Serikali imeiagiza Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) kuja na mwongozo wa kampuni za simu katika kudhibiti ujumbe mfupi kwa njia ya simu.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

Ujumbe wa Waangalizi wa Uchaguzi wa EU watoa wito kwa ukamilishwaji haraka wa mchakato wa uchaguzi Zanzibar kulingana na kanuni za chaguzi shirikishi, za uwazi, zinazotekelezwa kwa wakati na za kuaminika

Ujumbe wa Waangalizi wa Uchaguzi wa Umoja wa Ulaya (EU EOM) kwa Tanzania unatoa tena wito kwa ukamilishwaji haraka wa mchakato wa uchaguzi Zanzibar kulingana na kanuni za chaguzi shirikishi, za uwazi, zinazotekelezwa kwa wakati na za kuaminika. 
Kufuatia Siku ya Uchaguzi tarehe 25 Oktoba, Ujumbe wa Waangalizi wa Uchaguzi wa Umoja wa Ulaya umebaki nchini kufuatilia chaguzi zilizoahirishwa Tanzania Bara na mchakato uliyositishwa Visiwani Zanzibar, baada ya tamko la Mwenyekiti wa Tume ya...

 

9 years ago

Michuzi

KUDUMISHA AMANI WAKATI WA UCHAGUZI

WATANZANIA wametakiwa  kuendelea kudumisha amani hasa kipindi  cha uchaguzi kwani bado nchi yetu inasifika kwa amani dunia kotekauli hiyo imetolewa na  mwanaharakati wa amani Mhonda Joseph wakati akizungumza na waandishi wa habari jiji Dar es Salaam.


Mhonda amesema wananchi wahakikishe  amani inakuwepo  na hata  wageni wanaoishi hapa  kutokana na historia ya miaka ya nyuma  ya hapa nchini kuwa ya amani.
Aidha  amewataka watanzania wasikubali  baadhi ya watu  wachache kuja kuchochea utovu wa...

 

10 years ago

Habarileo

‘Kuweni makini wakati wa Uchaguzi Mkuu’

WAKATI nchi ikielekea kwenye mchakato wa kura ya maoni ya Katiba Inayopendekezwa na Uchaguzi Mkuu wa Rais Wabunge na Madiwani, waumini wa dini ya Kiislamu nchini wametakiwa kuwa makini na wanasiasa ambao wamekuwa chanzo cha uvunjifu wa amani na utulivu.

 

10 years ago

Mwananchi

Tuache matukio ya kihuni wakati wa uchaguzi

Ukiangalia jinsi siasa chafu zinavyoshika kasi nchini na hasa kuhusu masuala ya uporaji katika vituo vya polisi na mauaji, unaweza kujiuliza hivi ni ukweli au propagamda?

 

9 years ago

Mwananchi

Wanasiasa wahimiza amani wakati wa uchaguzi

Vyama vya siasa vimewataka wadau wote wa uchaguzi kuzingatia amani katika Uchaguzi Mkuu, huku vikisisitiza haki kutendeka ili kuiwezesha nchi kubaki salama.

 

9 years ago

Vijimambo

NASAHA NA DUA KWA WATANZANIA WAKATI WA UCHAGUZI

Ndugu Watanzania wenzangu.
Temebakisha siku leo tu kabla ya kuandika Historia mpya ya nchi yetu tuipendayo Tanzania.Tunakaribia kumpata Rais mpya atakaetuongoza kwa kipindi cha miaka mitano ijayo.
Kipindi ambacho ni muhimu sana Kwetu na kwa vizazi vyetu kutokana na umuhimu wa upande ambao wananchi tunataka nchi ielekee.
Bila shaka wote tunataka mabadiliko.Tunataka maisha bora,Elimu bora,Miundo Mbinu bora,huduma bora za afya na kijamii,ajira pamoja na Serikali yenye kujali raia wake.Hayo yote...

 

10 years ago

Mwananchi

Sumaye: Nec imarisheni usawa wakati wa uchaguzi

Waziri Mkuu Mstaafu, Frederick Sumaye, ameitaka Tume ya Taifa ya Uchaguzi(Nec) kuhakikisha vyama vyote vinapata haki pamoja na kulindwa na sheria katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Oktoba mwaka huu.

 

9 years ago

Mzalendo Zanzibar

SERIKALI YA TANZANIA YATAKIWA KUDUMISHA AMANI WAKATI WA UCHAGUZI

Profesa Nicholas Boaz, Wednesday, October 21, 2015 NA MWANDISHI WETU WASHINGTON Serikali ya Tanzania imetakiwa kuhakikisha kuwa amani na usalama vinakuwepo wakati na baada ya kupiga kura katika uchaguzi mkuu utakaofanyika nchini Tanzania tarehe 25 mwezi […]

The post SERIKALI YA TANZANIA YATAKIWA KUDUMISHA AMANI WAKATI WA UCHAGUZI appeared first on Mzalendo.net.

 

9 years ago

Mwananchi

38 kizimbani kwa kufanya vurugu Mbagala wakati wa uchaguzi

Watu 38 wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi  K isutu wakikabiliwa na mashtaka manne likiwamo la kutoa vitisho vya shinikizo kwa msimamizi  atoe matokeo ya Ubunge ya Mbagala bila ya kufuata utaratibu na  kuchoma maboxi 11 ya kupigia kura  na karatasi za kupigia kura zenye thamani ya Sh 2.2 milioni.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani