Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SMZ yavunja mashirika yanayojiendesha kwa hasara

Omar Yussuf Mzee SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar imetangaza rasmi kuyavunja mashirika mawili ambayo yameshindwa kujiendesha kibiashara kutokana na mabadiliko makubwa kwenye uendeshaji biashara sasa.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

SMZ yavunja mashirika mawili

Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) imesema rasmi kwamba itayavunja mashirika mawili ambayo yameshindwa kujiendesha kibiashara, kufuatia mabadiliko ya biashara huria kuchukua nafasi yake nchini.

 

9 years ago

Michuzi

KUSUDIO LA KUCHUKUA HATUA DHIDI YA MASHIRIKA YASIYO YA KISERIKALI YANAYOJIENDESHA KINYUME CHA SHERIA

TAARIFA KWA UMMA


Msajili wa Mashirika Yasiyo ya Kiserikali anakusudia kuyachukulia hatua Mashirika yanayoendesha shughuli zao kinyume cha Sheria ya NGOs Na. 24 ya mwaka 2002 kama ilivyorekebishwa mwaka 2005. 
Mashirika hayo ni yale ambayo hayajawasilisha taarifa za mwaka kwa kipindi cha miaka miwili pasipo kutoa sababu za msingi, kulipa ada ya mwaka au kuendesha shughuli za NGOs bila kusajiliwa chini ya Sheria ya NGOs.Kwa taarifa hii, Mashirika husika yanatakiwa yawe yamerekebisha dosari tajwa...

 

10 years ago

Mwananchi

Ripoti: Bidhaa feki faida kwa Serikali hasara kwa wananchi

Tangu kuanzishwa kwa soko huria nchini, nchi nyingi duniani zimejikuta zikigeuzwa kuwa ;dampo’ la kutupa kila aina ya bidhaa hafifu kutoka katika nchi za Asia, Ulaya na Marekani.

 

10 years ago

Habarileo

Ofisi ya RC yavunja gofu kwa mil. 100/-

Modestus Kilufi OFISI ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam imejikuta kwenye wakati mgumu baada ya Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC), kubaini kiasi cha Sh milioni 96.6 kimetumika kubomoa jengo bovu mali ya ofisi hiyo, ili kupisha ujenzi wa ofisi mpya za mkuu wa mkoa huo.

 

10 years ago

Michuzi

KILIMANJARO YAVUNJA REKODI YA UDHAMINI KWA MH. LOWASSA, 33,780 WAMDHAMINI


Waziri Mkuu Mstaafu, Mh. Edward Lowassa akizungumza na Umati wa WanaCCM pamoja na Wananchi wa Mkoa wa Kilimanjaro leo Juni 18, 2015, wakati shukrani kwa udhamini wa kishindo alioupata kutoka wa WanaCCM hao, ili aweze kupata ridhaa ya Chama chake katika kuwania Urais wa Tanzania kwenye Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 25, 2015. Mh. Lowassa amepata udhamini wa wanaCCM 33,780. Picha Othman Michuzi.Waziri Mkuu Mstaafu, Mh. Edward Lowassa akipokea fomu za wanachama 33,780 wa CCM Mkoa...

 

11 years ago

Michuzi

TFF YAVUNJA MKATABA NA KOCHA KIM POULSEN KWA MAKUBALIANO

Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) na Kocha wa Taifa Stars, Kim Poulsen wamekubaliana kuvunja mkataba katika makubaliano ambayo ni siri kwa pande zote mbili.
Uamuzi huo umetangazwa leo (Februari 27 mwaka huu) jijini Dar es Salaam kwa pamoja na Rais wa TFF, Jamal Malinzi na Kocha Poulsen mbele ya waandishi wa habari.
Rais Malinzi kwa niaba ya TFF ametoa shukrani za dhati kwa Kocha Poulsen kwa ushirikiano na mchango ambao ameutoa kwa Tanzania kuanzia kwenye mpira wa miguu wa...

 

11 years ago

BBCSwahili

Google kuunda magari yanayojiendesha

Kampuni ya teknolojia ya Google imesema kuwa itaanza kuunda magari yanayojiendehsa yenyewe.

 

10 years ago

BBCSwahili

Magari yanayojiendesha yahusika na ajali

Wiki hii tumegundua kwamba magari manne kati ya 48 yanayojiendesha bila dereva katika barabara za Carlifonia yamehusika katika ajali za barabarani katika kipindi cha miezi minane iliopita.

 

11 years ago

Mwananchi

Magari yanayojiendesha sasa yaja

Magari yanayojiendesha bila ya dereva kushika usukani yataanza kusambazwa duniani kabla ya muda uliotarajiwa.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani