Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SSRA yafafanua mstaafu hiari kukatwa pensheni

MAMLAKA ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii(SSRA) imekanusha kuwepo kipengele kinachoelekeza kukata asilimia 18 kwa mwaka kwa mwanachama aliyestaafu kwa hiari kati ya miaka 55 mpaka 59.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

SSRA yafafanua kanuni za mafao

MAMLAKA ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii (SSRA) imesema kanuni mpya za uainishaji wa mafao ya pensheni kwa wanaostaafu kwa hiari, una lengo la kulinda na kutetea maslahi ya wanachama.

 

11 years ago

Dewji Blog

SSRA yazidua kanuni mpya za kuhuisha mafao ya pensheni

A

Waziri wa Kazi na Ajira, Dk.Gaudensia Kabaka akizungumza na waandishi wa habari mjini Dodoma juzi kuhusu mabadiliko ya Kanuni za Kuhuisha Mafao ya Pensheni kwa Mifuko ya  Hifadhi ya Jamii ya kuwa na aina moja kwa wastaafu.Katikati ni Mwenyekiti wa Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii (SSRA),Juma Muhimbi na Ofisa Mtendaji Mkuu wa Mamlaka hiyo, Irene Isaka.

E

Waziri wa Kazi na Ajira, Dk.Gaudensia Kabaka, akifafanua jambo kwa waandishi wa habari.

B

Ofisa Mtendaji Mkuu...

 

11 years ago

Michuzi

SSRA YAZINDUA KANUNI MPYA ZA KUHUISHA MAFAO YA PENSHENI

Waziri wa Kazi na Ajira, Dk.Gaudensia Kabaka akizungumza na waandishi wa habari mjini Dodoma juzi kuhusu mabadiliko ya Kanuni za Kuhuisha Mafao ya Pensheni kwa Mifuko ya  Hifadhi ya Jamii ya kuwa na aina moja kwa wastaafu.Katikati ni Mwenyekiti wa Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii (SSRA),Juma Muhimbi na Ofisa Mtendaji Mkuu wa Mamlaka hiyo, Irene Isaka.Ofisa Mtendaji Mkuu wa  Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii (SSRA) Irene Isaka...

 

10 years ago

Vijimambo

MFUKO WA PENSHENI WA PSPF WATOA ELIMU KWA MADEREVA TAXI WA WILAYA YA ILALA NA MADEREVA KUJIUNGA NA MPANGO WA HIARI

Afisa Masoko wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Ismail Juma  akitoa maelezo ya kina kuhusu faida na huduma zitolewazo na Mfuko wa Pensheni wa PSPF hasa katika uchangiaji wa hiari ambapo mtu yeyote anaweza kujionga alipokuwa akiongea na madereva wa taxi wa wilaya Ilala jijini Dar  Mkuu wa Kitengo Cha Elimu wa Jeshi la Polisi, Kikosi cha Usalama Barabarani Makao Makuu, Abel Swai akizungumza na madereva wa taxi wa wilaya ya Ilala(Hawapo pichani) kuhusu kutii sheria za barabarani na kuwasisitiza...

 

10 years ago

Michuzi

MAAFISA RASILIMALI WATU TOKA WILAYA YA ILALA WAGUSWA NA KUJIUNGA KWA WINGI KATIKA MPANGO WA HIARI WA KUJIWEKEA AKIBA (VSRS) KUTOKA MFUKO WA PENSHENI WA GEPF

Meneja Masoko wa Mfuko wa Pensheni wa GEPF.Bw.  Aloyce Ntukamazina akiwasilisha mada juu ya mabadiliko ya mfumo wa uendeshaji katika Mfuko wa GEPF,wakati wa semina kwa Maafisa Rasilimali Watu kutoka Wilaya ya Ilala iliyofanyika kwenye hoteli ya Peacock,jijini Dar es salaam.  Meneja wa GEPF mkoa wa Ilala,Bw Jafari Meraji akisisitiza jambo juu ya faida zipatikanazo katika mpango wa hiari wa kujiwekea akiba (VSRS)Mmoja wa washiriki wa semina hiyo Bw Sebastian Enosh ambaye ni Meneja...

 

10 years ago

Dewji Blog

IGP Mstaafu Philemoni Mgaya asherehekea miaka 85 ya kuzaliwa kwake huku Waziri Mkuu mstaafu Msuya akiwaasa watanzania

Na Mwandishi wetu

WAZIRI Mkuu Mstaafu Cleopa Msuya amewaomba watanzania  kuwa na tabia ya utii wa sheria, uaminifu na uadilifu katika nafasi zao wanazozitumukia katika Taifa la Tanzania.

Msuya aliyasema hayo katika sherehe ye kuadhimisha miaka 85 ya kuzaliwa ya aliyekuwa Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP) Philemoni Mgaya iliyofanyika katika Hotel ya Protea , Court Yard jijini Dar es Salaam.

Waziri Mkuu Mstaafu alieleza kuwa tabia aliyoionyesha Mgaya wakati wa utumishi wake serikalini...

 

10 years ago

Uhuru Newspaper

TASAF yafafanua


NA Lisa Said, Tanga
MKURUGENZI Mtendaji wa Mfuko wa Maendeleleo ya Jamii (TASAF), Ladislaus Mwamanga, amesema kuwa mfuko huo kutoa fedha kwa ajili ya kuziwezesha kaya masikini sio kampeni za Chama Cha Mapinduzi (CCM) bali ni mipango ya serikali kuleta unafuu wa kipato kwa wananchi wake.
Aliyasema hayo hivi karibuni katika kikao cha kazi kilichowashirikisha wadau wa mfuko huo kutoka Halmashauri za Mkoa wa Tanga, Pwani, Dar es Salaam na Zanzibar wakiwemo waratibu wa TASAF wilaya na mkoa,...

 

11 years ago

Tanzania Daima

NECTA yafafanua utata wa matokeo

BARAZA la Mitihani Tanzania (NECTA) limetoa ufafanuzi kuhusu matokeo ya kidato cha nne yaliyotolewa wiki iliyopita, likisema kuwa ufaulu wa daraja la kwanza hadi la tatu unapangwa kwa kuzingatia alama...

 

9 years ago

Habarileo

Serikali yafafanua mapumziko Des 9

SERIKALI imesema Sikukuu ya Uhuru ambayo huadhimishwa Desemba 9, kwa mwaka huu wafanyakazi wa umma hawatakwenda kazini, bali watabaki majumbani mwao kwa kushiriki kufanya usafi wa mazingira katika maeneo mbalimbali kama alivyoagiza Rais John Magufuli.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani