Stand waenda kujipima Mwanza
Timu ya Stand United imeondoka Shinyanga jana kwenda Mwanza, ambako itaweka kambi ya wiki moja kwa ajili ya kujiandaa na Ligi Kuu Tanzania Bara.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo06 Dec
150 waenda Mwanza kuliombea amani Taifa
WAISLAMU zaidi ya 150 wanaelekea mkoani Mwanza kwa ajili ya maombi maalumu ya kuombea amani nchi pamoja na dua maalumu ya kuomba Watanzania kuwa na hofu ya Mungu.
11 years ago
Mwananchi17 Jun
Viongozi wababaishaji watakiwa kujipima
10 years ago
Mwananchi27 Oct
Chadema kujipima serikali za mitaa
10 years ago
Dewji Blog04 Jun
Taswa FC kujipima na Baobab Sekondari
Mchezaji wa timu ya soka wa waandishi wa habari za michezo nchini (Taswa FC), Martin Peter (jezi ya kijani kulia) akipambana na mmoja wa wachezaji wa timu ya makipa, Ivo Mapunda.
Kikosi cha Baobab.
Na Mwandishi wetu
TIMU ya soka ya waandishi wa habari za michezo nchini (Taswa FC) Ijumaa hii itacheza mchezo maalum wa kirafiki dhidi ya timu ya wafanyakazi wa shule ya sekondari ya Baobab ya Bagamoyo.
Mchezo huo umepangwa kuanza saa 10.00 jioni kwenye uwanja wa shule ya sekondari ya Baobab na...
9 years ago
Habarileo06 Nov
Taifa Stars kujipima Sauzi
KIKOSI cha timu ya taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ kinachodhaminiwa na bia ya Kilimanjaro Premium Lager, Jumapili kinatarajiwa kucheza mchezo wa kirafiki na timu ya University of Pretoria (Tucks FC) jijini Johannesburg ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya mchezo dhidi ya Algeria Novemba 14, mwaka huu.
9 years ago
Habarileo28 Aug
Stars kujipima na Libya leo
TIMU ya soka ya Taifa, Taifa Stars leo itacheza mechi ya kirafiki dhidi ya Libya mjini Kartepe nchini Uturuki. Mchezo huo wa kirafiki ni sehemu ya ratiba ya Stars ambapo kocha wake Charles Mkwasa na benchi lake la ufundi watautumia kukiangalia kikosi chao.
10 years ago
BBCSwahili07 Jul
Azam Fc kujipima nguvu na JKT.
11 years ago
Mwananchi12 Dec
Mzungu Simba ataka kujipima
9 years ago
Habarileo03 Sep
Mbeya City kujipima kwa Shooting
TIMU ya Mbeya City inatarajiwa kujipima na Ruvu Shooting Jumapili katika mchezo wa kirafiki utakaochezwa kwenye uwanja wa Mabatini, Mlandizi ikiwa ni sehemu ya maandalizi yao kuekelea michuano ya Ligi Kuu.