Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Stars kufa au kupona leo

Kilimanjaro Stars yenye mastraika gumzo, Thomas Ulimwengu na Mbwana Samatta inashuka mjini Mombasa leo kuikabili timu ngumu ya Uganda ambayo haijaruhusu hata bao moja kwenye Chalenji msimu huu

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Habarileo

Stars kufa kupona Algiers

TIMU ya soka ya Taifa, Taifa Stars jana iliwatoa mashabiki wa soka vichwa chini baada ya kutoka sare ya mabao 2-2 dhidi ya miamba ya Afrika, Algeria katika mechi ya kuwania kufuzu michuano ya Kombe la Dunia 2018, kwenye Uwanja wa Taifa Dar es Salaam.

 

10 years ago

BBCSwahili

Kivumbi leo UEFA, Bayern,PSG kufa kupona

Mzunguko wa pili hatua ya robo fainali ligi ya mabingwa barani Ulaya kutimua vumbi Jumanne usiku

 

9 years ago

Mwananchi

Majimbo 10 ya kufa au kupona

Wagombea ubunge wa majimbo 10 wana kazi ya ziada ya kufanya kabla ya Jumapili wakati wananchi watakapopiga kura kuamua ushindani mkali uliotanda kwa karibu miezi miwili ya kampeni za Uchaguzi Mkuu, kwa mujibu wa uchunguzi wa Mwananchi.

 

10 years ago

Mwananchi

Kufa au kupona wagombea CCM

>Leo ni kufa au kupona kwa makada wa CCM wanaowania ubunge wakati wanachama wa chama hicho tawala watakapopiga kura wilayani kuchagua wagombea kwenye majimbo yao baada ya wiki kadhaa za vikumbo zilizojumuisha kurushiana ngumi, tuhuma za rushwa, malumbano na migomo.

 

9 years ago

Habarileo

Stars kufa na Nigeria

TIMU ya soka ya taifa, Taifa Stars leo itacheza na Nigeria kwenye Uwanja wa Taifa Dar es Salaam katika mechi ya kuwania kufuzu michuano ya Kombe la Mataifa Afrika mwaka 2017.

 

10 years ago

Vijimambo

WALIOMUUA ALBINO MWAKAJILA WA MBEYA LEO WAMEHUKUMIWA KUNYONGWA HADI KUFA

Hakimu Mwakalinga siku alipohukumiwa kunyongwa hadi kufa kwa mauaji ya Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Rungwe. Leo amehukumiwa tena kunyongwa mpaka kufa katika mauaji ya mlemavu wa ngozi Henry Mwakajila.

Na Daniel Mbega

MAHAKAMA Kuu Kanda ya Mbeya leo hii imewahukumu kunyongwa mpaka kufa watu wanne kati ya watano waliomuua Henry Mwakajila (17) ambaye ni mlemavu wa ngozi (albino).


Waliohukumiwa kunyongwa mpaka kufa ni Asangalwisye Kayuni maarufu kama Katiti au Mwakatoga na Gerard Korosso...

 

5 years ago

Michuzi

Wagonjwa 37 waruhusiwa baada ya kupona

Na.WAMJW-Dar es Salaam. 
Wagonjwa 37 waliokuwa wameambukizwa virusi vya Corona (COVID-19) wamepona na kuruhusiwa kurejea nyumbani baada ya vipimo vya mwisho kuthibitisha kwamba hawana maambukizi ya COVID-19.

Hayo yamesemwa leo  na Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia,Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu wakati akipokea msaada wa sabuni na fedha kutoka kampuni ya Azam group ya jijini hapa

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu amesema kuwa wagonjwa hao 37 ni...

 

10 years ago

BBCSwahili

Vinasaba ni muhimu kupona Ebola

Vinasaba vya kijeneti katika mwili wa mgonjwa vina mchango kubwa kumwezesha kupona au la

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani