Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Stars yaonesha mwanga

KOCHA wa timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars, Charles Mkwasa amesema licha ya timu yake kupata matokeo ambayo sio mazuri sana dhidi ya Nigeria Super Eagles, kikosi chake kimeonesha mwanga katika mechi hizo za kufuzu kwa fainali za Afcon 2017.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Hatimaye Zimapp Yaonesha Mwanga

Majaribio ya dawa ya Zimapp yawapa ahueni Dr Kent Brantly na mtabibu mwenziwe Nancy Writebol .

 

10 years ago

BBCSwahili

Chanjo ya Ebola yaonesha matumaini

Wanasayansi wamepongeza matokeo ya majaribio ya chanjo dhidi ya ugonjwa wa Ebola.

 

10 years ago

BBCSwahili

Chanjo ya Malaria yaonesha mafanikio Kenya

Watafiti kutoka chuo kikuu cha Oxford wanasema kuwa jaribio la Chanjo dhidi ya ugonjwa wa Malaria imeonesha asilimia kubwa ya mafanikio

 

9 years ago

Bongo5

Apple yaonesha simu mpya, iPhone 6s na 6s Plus

Kampuni ya Apple imeonesha simu zake mpya, iPhone 6s na 6s Plus kwenye tukio lililofanyika jijini San Francisco Jumatano hii. Simu hizi pamoja na mambo mengine zina teknolojia iitwayo 3D Touch. 3D touch screen zinamsaidia mtumiaji wa simu kubonyeza screen kwa nguvu kupata menu zaidi ama vitu vya ziada vya picha za selfie. Simu hiyo […]

 

10 years ago

Habarileo

Mabango sherehe za Mapinduzi yaonesha hisia ya Wazanzibari

Wafanyakazi wa Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Idara Maalum za Serikali ya Mapinduzi Zanzibar wakipita mbele ya meza kuu kwa maandamano wakati wa Sherehe za Miaka 51 ya Mapinduzi ya Zanzibar, zilizofanyika kwenye uwanja wa Amaan, mjini Unguja jana.(Picha na Freddy Maro).MAKUNDI mbalimbali jana yalipamba kilele cha maadhimisho ya miaka 51 ya Mapinduzi ya Zanzibar kwa maandamano sanjari na mabango yaliyokuwa na ujumbe mbalimbali.

 

11 years ago

Habarileo

Paras India yaonesha nia kuwekeza afya nchini

UJUMBE wa uongozi wa juu wa Shirika la Afya la Paras la nchini India linalomiliki hospitali za ngazi ya kimataifa, umewasili jijini Dar es Salaam jana ambapo pamoja na mambo mengine umeanza mchakato kuwekeza katika sekta ya afya. Ujumbe huo ukiongozwa na Naibu Meneja wa Hospitali hizo anayehusika na Uhusiano wa Kimataifa, Anuradha Sharma, ulipokelewa na Mwenyekiti Mtendaji wa Kampuni ya Yono Auction Mart ambaye ni Mbunge wa zamani wa Njombe Magharibi, Yono Kevela.

 

10 years ago

Michuzi

Mapambano dhidi ya Ujangili nchini yaonesha mafanikio makubwa

Hussein Makame-MAELEZO, Dodoma KAMATI ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Mazingira imesema kuwa hatua za Serikali za kupambana na ujangili nchini zimeonesha mafanikio makubwa. Akitoa taarifa ya Utekelezaji wa Kazi za Kamati, Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Mhe James Lembeli (pichani) alisema kuwa pamoja na mafanikio mengine hatua hiyo imefanikiwa kukamata silaha 2000. Alisema hadi kufikia mwaka 2013, hali ya ujangili wa tembo ilikadiriwa kufikia tembo 30 kwa siku, lakini Serikali ilichukua hatua ya...

 

10 years ago

Michuzi

Kamouni ya Huawei yaonesha nia kuwekeza mradi wa umeme jua zanzibar

 Kampuni ya Mitandao ya Teknolojia ya Kisasa ya Nchini Jamuhuri ya Watu wa China ya Huawei inayoendesha na kusimamia mradi wa Umeme unaotumia jua (Solar Power Solution) imeonyesha nia ya kutaka kuwekeza Visiwani Zanzibar kwa kushirikiana na Shirika la Umeme Zanzibar (ZECCO).Ujumbe wa Kampuni Huawei  ulioongozwa na Afisa Mkuu wa Kampuni hiyo Bw.Bruce Zhang ulieleza hayo wakati wa mazungumzo yake na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi Ofisini kwake iliyopo katika Jengo la...

 

10 years ago

Bongo5

Video: Trailer ya kwanza ya Furious 7 yaonesha scenes za mwisho za Paul Walker kabla hajafariki kwa ajali

Trailer ya kwanza ya Furious 7 ilizinduliwa Jumamosi, Nov. 1 na kuonesha scenes za mwisho za marehemu Paul Walker alizofanya kabla ya ajali iliyosababisha kifo chake November 2013. Kwenye clip hiyo ya dakika mbili na kitu, Walker aliyekuwa akijulikana kwenye filamu hiyo kama Brian O’Conner anaonekana akifanya kile alichokuwa akikipatia – mbio za magari. “Just […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani