Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Chanjo ya Malaria yaonesha mafanikio Kenya

Watafiti kutoka chuo kikuu cha Oxford wanasema kuwa jaribio la Chanjo dhidi ya ugonjwa wa Malaria imeonesha asilimia kubwa ya mafanikio

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Chanjo ya Ebola yaonesha matumaini

Wanasayansi wamepongeza matokeo ya majaribio ya chanjo dhidi ya ugonjwa wa Ebola.

 

10 years ago

Michuzi

Mapambano dhidi ya Ujangili nchini yaonesha mafanikio makubwa

Hussein Makame-MAELEZO, Dodoma KAMATI ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Mazingira imesema kuwa hatua za Serikali za kupambana na ujangili nchini zimeonesha mafanikio makubwa. Akitoa taarifa ya Utekelezaji wa Kazi za Kamati, Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Mhe James Lembeli (pichani) alisema kuwa pamoja na mafanikio mengine hatua hiyo imefanikiwa kukamata silaha 2000. Alisema hadi kufikia mwaka 2013, hali ya ujangili wa tembo ilikadiriwa kufikia tembo 30 kwa siku, lakini Serikali ilichukua hatua ya...

 

10 years ago

BBCSwahili

Chanjo ya Malaria yatia matumaini

Chanjo ya kwanza dhidi ya Malaria duniani iko mbioni kuidhinishwa kwa ajili ya matumizi barani Afrika

 

10 years ago

BBCSwahili

Chanjo ya Malaria,nafuu kwa Watoto

Chanjo dhidi ya Malaria huenda ikaokoa maisha ya mamilioni ya Watoto dhidi ya Malaria

 

11 years ago

Mwananchi

Tanzania inavyopania kugundua chanjo dhidi ya ugonjwa wa malaria

>Kama ulidhani simba ni hatari,  nyoka na wanyama wengine wakali wa mwituni basi umekosea kwani mdudu mdogo ambaye unaweza kumuua  kwa vidole vyako aweza akawa hatari wanyama mwitu waogopwao kama vile simba, chui, nyati na nyoka. Mdudu huyo si mwingine bali ni mbu.

 

11 years ago

Dewji Blog

GSK yatangaza kuwasilisha kwa Chanjo ya Malaria ya RTS, S

GSK-logo

GSK leo  Julai 24-2014 imetangaza   imewasilisha maombi ya udhibiti wa chanjo ya malaria RTS,S katika shirika ya  Ulaya ya Madawa Agency (EMA).

Uwasilishaji unafuata Ibara ya 58 ya utaratibu, ambayo inaruhusu EMA kutathmini ubora, usalama na ufanisi wa chanjo au dawa, zinazotengenezwa  viwandani vya nchi za  Umoja wa Ulaya (EU) kwa kutibu magonjwa yanayo tambuliwa na Shirika la Afya Duniani (WHO) kama magonjwa ya athari ya afya ya umma, lakini lengo kwa ajili tu ya matumizi nje  ya EU....

 

10 years ago

BBCSwahili

Chanjo mpya ya HIV yatoa mafanikio

Mbinu mpya ya chanjo imeonekana kuwakinga nyani dhidi ya virusi vya HIV ,ripoti ya wanasayansi wa Marekani imesema.

 

11 years ago

Mwananchi

Chanjo mpya ya Malaria kuleta tumaini kwa asilimia 100

Wakati vifo zaidi ya 700,000 vitokanavyo na Malaria vikitokea ukanda wa Jangwa la Sahara kila mwaka wanasayansi wa Taasisi ya Afya ya Ifakara (IHI) wakishirikiana na kampuni ya Marekani wameanza majaribio ya chanjo mpya inayotarajiwa kuzuia malaria kwa asilimia 100.

 

10 years ago

Dewji Blog

Watoto zaidi ya 66,442 mkoani Singida kupatiwa chanjo mpya ya Malaria na Rubella

DSC01456

Mkuu wa wilaya ya Singida, Queen Mlozi, akizindua zoezi la chanjo mpya ya Malaria na Rubella kwa manispaa ya Singida.Uzinduzi huo umefanyika kwenye kituo cha afya cha Sokoine mjini Singida. Pamoja na chanjo ya Malaria na Rubella, pia dawa za minyoo na mabusha zilitolewa.

Na Nathaniel Limu, Singida

HALMASHAURI ya manispaa ya Singida, inatarajia kuchanja watoto 66,422, chanjo mpya ya Malaria na Rubella  wakati wa kampeni ya kitaifa inayoanza jana  Oktoba 18 hadi 24 mwaka huu.

Hayo yamesemwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani