Story za uongo zinaua Muziki wa Bongo — Galaxy.
![](http://1.bp.blogspot.com/-yb6DzzAz4Dk/VbXpDtcyQeI/AAAAAAAHr5Y/_M_gwGfIc6c/s72-c/unnamed.jpg)
Kama ambavyo aliweza kufanya vizuri na singo yake ya kwanza, msanii Galaxy anatarajia kuchomoka na wimbo wake mpya ‘mzuri tu’ ukiwa umeandaliwa na Man Walter chini ya studio za Combination sound hivi karibuni jijini Bongo.
The smart boy Galaxy Ikanda akiwa maejipanga fresh kwa ujio wake mpya, alielezea sababu zinazompelekea kutumia muda wake mwingi kujipanga na sio kukurupuka
“Muziki umekuwa na ushindani mkubwa sana kiasi inampelekea msanii makini kuongeza umakini na ubunifu kwenye utendaji...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi21 Dec
Supastaa Bongo...nitoleeni uongo
9 years ago
Bongo508 Sep
Bongo Movies: Hakuna story nyingine zaidi ya mapenzi na ushirikina?
5 years ago
GSMArena.Com14 Feb
Samsung: Galaxy Z Flip's design story is one of fashion and hinge design innovation - GSMArena.com news
10 years ago
Dewji Blog10 Mar
Watanzania tupuuze habari za Uongo, uzushi, Ukipata ujumbe wa chuki, matusi au uongo, FUTA DELETE KABISA!
Na Andrew Chale wa Mo dewji blog
Wasomaji wa Mo dewji blog mnaoendelea kuperuzi mtandao huu bila shaka ni wazima wa afya, tunashukuru uwepo wenu na kutembelea kwenu kwenye mtandao huu ndio faraja kwetu sote sie tunaowapasha habari na kwenu mnaopokea habari, tupo pamoja.
Tahariri ya leo Machi 10, Tunazungumzia namna ya jinsi Tanzania tunavyopiga hatua moja hadi nyingine hasa katika masuala ya TEKOHAMA/ICT.. Hasa kupitia mitandao yaani Intaneti.
Hata hivyo licha ya kuwa huru kwa kila mmoja...
10 years ago
BBCSwahili16 Jan
Bongo flava muziki wa Tanzania unavyokua
10 years ago
CloudsFM17 Feb
Stara arudi kwenye muziki wa Bongo Fleva
“Nimeamua kurudi nilipotekea, najua mashabiki zangu wengi watakuwa wakikumbukua jinsi gani nilikuwa nafanya vizuri,” alisema Stara.
Alisema wimbo huo utaweza kuonyesha jinsi gani amezaliwa na...
10 years ago
Bongo503 Mar
Collabo 5 mashabiki wa muziki Bongo wanatamani kuzisikia
9 years ago
Bongo507 Oct
Enrico adai ubora wa muziki wa Bongo Flava umeshuka
10 years ago
Mwananchi20 Sep
Dar Bongo Massive: Wakali wanaotamani kukuza muziki wa asili