Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Stuart Hall akiri kumdhalilisha msichana

Mtangazaji wa zamani wa BBC, Stuart Hall amekiri kumdhalilisha kimapenzi mtoto wa kike chini ya umri wa miaka 16

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

BBCSwahili

Msichana wa miaka 16 akiri kuwa gaidi

Msichana mmoja wa miaka 16 amekiri kutekeleza ugaidi katika mahakama moja ya Manchester nchini Uingereza

 

10 years ago

Vijimambo

MSICHANA WA KAZI ALIYETESA MTOTO AKIRI MAKOSA, KUHUKUMIWA JUMATANO DESEMBA 11, 2014

Msichana wa kazi aliyetikisa vyombo vya habari duniani kwa kumtesa mtoto wa miezi 18, Arnella Kamanz aliyekuwa kwenye uangalizi wake huko Uganda, amekiri makosa mbele ya mahaka nchini humo.
Jolly Tumuhiirwe, mwenye umri wa miaka 22, alifanya ukatili uliochukiwa na watu wote Duniani, ambapo alinaswa na camera ya siri, akimtandika mtoto wa mdosi wake kwa kumkanyaga mgongoni akiwa ameanguka chini, kumchapa na kitu kisichojulikana na kumpiga mateke na makofi ya nguvu usoni.
Kitendo hicho...

 

11 years ago

Mwananchi

Adaiwa kumdhalilisha mfanyakazi

>Mkazi wa Singida Mjini, Jacqueline Kweka (30) jana alipandishwa mahakamani mjini hapa akikabiliwa na tuhuma za kumfanyia ukatili mfanyakazi wake wa ndani (15).

 

11 years ago

Tanzania Daima

Jela maisha kwa kumdhalilisha mtoto

MAHAKAMA ya Wilaya ya Mpanda, mkoani Katavi, imemhukumu   Athuman  Mussa (54), mkazi  wa Mtaa wa Nsemlwa Mjini, kifungo  cha maisha jela  baada ya kupatikana  na hatia ya kumwingizia uume  mdomoni...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Serikali imejiaibisha kwa kumdhalilisha Warioba

SERIKALI imejiaibisha kwa kutoa madai dhidi ya aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji mstaafu Joseph Sinde Warioba. Imemdhalilisha si yeye tu, bali wajumbe wa tume na Rais...

 

10 years ago

BBCSwahili

Apigwa faini kwa kumdhalilisha refa

Afisa asimesimamishwa kazi kwa mda wa miezi minne baada ya kumdhalilisha refa wa kike nchini Uingereza.

 

10 years ago

Habarileo

5 kortini kwa kumdhalilisha askari polisi

WAFANYABIASHARA watatu na wanachuo watano wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Singida wakikabiliwa na mashitaka ya kumdhalilisha kupindukia askari polisi wa kike na kumsababishia maumivu makali mwilini.

 

5 years ago

Global Publishers

Watano Kortini Kwa Kumdhalilisha Rais Magufuli

magufuli Rais Dk. John Magufuli.   VIJANA watano wamefikishwa mahakamani kwa tuhuma za kumdhalilisha Rais Dk. John Magufuli na Jeshi la Polisi kutokana na mauaji ya askari polisi wanne waliouawa na majambazi katika eneo la Mbande na Vikindu, Dar es Salaam hivi karibuni.   Washtakiwa hao walifikishwa jana katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam mbele ya mahakimu watano tofauti na kusomewa mashtaka na Wakili wa Serikali, Salum Mohammed.   Walisomewa mashtaka mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani