Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Studio ya taswira za Old School jijini New York

 Nani kasema Old School ni kwa muziki peke yake? Mdau mwandamizi wa Globu ya Jamii Nathan Chiume na mai waifu wake wanakupa jibu la swali hilo wakiwa katika mfano wa studio za mpiga picha maarufu wa miaka ya sitini wa jijini Bamako, nchini Mali, Malick Sidibe, iliyo katika kituo kipya cha utamaduni wa Afrika (The Africa Centre: BOFYA HAPA) katika barabara ya tano na ya 110 (Fifth Avenue and 110th street) kitongoji cha Manhattan  hapo jijini New York kilichoanzishwa na bilionea Mo Ibrahim

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

TASWIRA KUTOKA UMOJA WA MATAIFA JIJINI NEW YORK

Wajumbe wanaohudhuria Mkutano wa 59 wa Kamisheni kuhusu Hadhi ya Wanawake, kwa wiki kuanzia jumatano hadi Ijumaa wameendelea na jukumu kubwa la kujadiliana, kuhabaridha,a kubadilishana uzoefu, kuelimisha na hata kujifunza namna ya kuzikabilia changamato mbalimbali ambazo mwanamke na mtoto wea kike wanaendelea kukabiliana nazo. Mkutano huu wa mbao ni wa waki mbili unafanyika sambamba na maadhimisho ya miaka 20 tangu kufanyika kwa mkutano wa kihistoria wa wanawake uliofanyika ...

 

9 years ago

Michuzi

Jopo la UN linaloongozwa na JK lakamilisha kazi yake New York, Jijini New York, Marekani

Jopo la Watu Mashuhuri la Umoja wa Mataifa la Kupendekeza Namna Bora ya Dunia Kukabiliana na Majanga ya Afya limekamilisha kazi yake wiki iliyopita jijini New York. Jopo hilo linaloongozwa na Rais Mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete lilikabidhiwa jukumu hilo na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Ban Ki moon tarehe 2 Aprili, 2015 na kupewa muda wa kuanzia Mei hadi Desemba 2015 kukamilisha kazi yake.
Jopo limefanya mikutano minne na kukutana na wadau mbalimbali wa afya zikiwemo taasisi za Umoja wa...

 

9 years ago

Vijimambo

TASWIRA YA EID AL ADHA NEW YORK


 Sherehe za Eid Al hajj New York Watanzania walikutana kusherehekea kwa chakula na zawadi za michezo ya watoto. Kama unavyo ona Shekhe akiongea mbele ya Watanzania hao walio kuwa wamejumuhika na familia zao kwenye ukumbi wa Madina Hall Brooklyn New York. Kwa taswira zaidi ya mambo alivyokuwa nenda kwenye soma zaidi.

 

10 years ago

Vijimambo

TASWIRA YA SHEREHE ZA EID MUBAKAH NEW YORK


Naibu Mwakilishi wa kudumu wa Tanzania Umoja wa Mataifa Balozi Ramadhan Mwinyi Muombwa ndiyo alikuwa mgeni rasmi kwenye sherehe hiyo ya Eid Mubarah, hapa Mh.  akiongea mbele ya Watanzania kutoka sehemu mbalimbali kama New Jersey, Boston, Philadelphia, Connecticut na New York yenyewe.Katika sherehe hizo watu walipata chakula cha jioni na watoto kupatiwa zawadi za michezo mbali mbali.
Mwenyekiti wa tawi la CCM New York Bwana Seif Akida akiongea machache.
Mwenyekiti wa NYTC Bwana Haji Khamis...

 

10 years ago

GPL

TASWIRA YA KIM KARDASHIAN JANA NEW YORK

Staa maarufu duniani, Kim Kardashian (34) akiwa katika mtoko wa chakula cha mchana jana akiingia kwenye Mgahawa wa Nate, New York akiwa amekavalia kigauni kinachoonyesha tumbo lake.…

 

11 years ago

GPL

TASWIRA ZA MLIPUKO ULIOUA WATU 6 NA KUJERUHI 74 NEW YORK

Magari ya uokoaji yakiwa eneo la tukio kutoa msaada. Wanausalama wakijaribu kuzuia moto baada ya mlipuko. Taswira kutoka neo la mlipuko…

 

11 years ago

Michuzi

TASWIRA YA SHEREHE YA KUZALIWA CCM TAWI LA NEW YORK

Tawi la CCM New York walivyoshereheka miaka 37 ya kuzaliwa kwa chama hicho, Kulikuwa na  hotuba ya viongozi wa tawi na mgeni rasmi kutoka Tanzania UN Mission Mama Maura Mwingira. Historia ya chama  iliyosomwa na mwenyekiti wa tawi bwana Maftah na mambo mengi kama kula chakula  kucheza ngoma na muziki kutoka kwa Dj Paul Masoud wa Boston. Mgeni rasmi  akiingia ukumbini hapa akisindikizwa na viongozi wa tawi la CCM New York.  Viongozi wakijiweka sawa kwenye meza kuu Kwa picha zaidi BOFYA...

 

10 years ago

Vijimambo

TASWIRA YA MISA YA KUMUOMBEA MZEE LUANGISA ILIYOFANYIKA NEW YORK

Maura Mwingira, Charge d' affaires a.i wa Uwakilishi wa Kudumu wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa, akitoa pole kwa watoto wa Mzee Luangisa kwa niaba ya balozi alipata nafasi ya kuongea machache mbele ya Watanzania waliojitokeza kwenye misa hiyo ya kumuombea marehemu mzee Luangisa pamoja na kuaga mwili wake tayari kwa safari ya kwenda nyumbani Bukoba Tanzania kwa mazishi.Mtoto wa marehem Kwame akitoa wasifu wa mzee Luangisa wasifu huo uliwatoa machozi watu kutokana jinsi mzee Luagisa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani