Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Sudan yataka Unamid kufungasha virago

Uhusiano baina ya maafisa wa Sudan na UNAMID uliingia dosari , baada ya kikosi hicho kujaribu kuchunguza ripoti ya ubakaji wa wanawake wengi unaodaiwa kufanywa na askari wa serikali .

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

Phiri aambiwa aanze kufungasha virago

Kocha Mkuu wa Simba, Patrick Phiri. Said Ally na Martha Mboma
UNAKUMBUKA? Uongozi wa Simba ulimpa Kocha Mkuu Patrick Phiri mechi mbili kuhakikisha anapata ushindi vinginevyo kibarua kitaota nyasi lakini tayari ameshaharibu moja, baada ya kutoka sare ya 1-1 na Mtibwa Sugar juzi kwenye Uwanja wa Jamhuri, Morogoro. Phiri ambaye hajaonja ladha yoyote ya ushindi kwenye ligi msimu huu kikosi chake kikiwa kimetoka sare sita, sasa...

 

10 years ago

Michuzi

UNAMID yasema kujumuishwa kwa waasi wa zamani wa JEM-SUDAN ni dalili za amani Darfur

Wiki hii imekuwa njema kwa mustakabali wa jimbo la Darfur ambalo kwa muda mrefu limeshuhudia mgogoro wa wenyewe kwa wenyewe. Hizi ni taarifa za kujumuishwa kwa waasi wa zamani wa kikundi cha JEM-SUDAN kwenye jeshi la kitaifa nchini Sudan kufuatia hatua ya kikundi hicho kutia saini makubaliano ya Doha kuhusu amani Darfur.
Kwa mujibu wa Ujumbe wa pamoja wa Umoja wa Mataifa na Muungano wa Afrika huko Darfur, UNAMID umesema hilo ni kundi la kwanza kutoka takribani askari 2700 ambao hatimaye...

 

11 years ago

BBCSwahili

AU yataka Sudan Kusini kuacha mapigano

Mwenyekiti wa Tume ya Umoja wa Afrika,Nkosazana Dlamini-Zuma ametoa wito wa kumalizika kwa mapigano nchini Sudan Kusini

 

10 years ago

Mtanzania

Mahakama yataka Rais wa Sudan akamatwe

omar-bashirJOHANNESBURG, AFRIKA KUSINI
MAHAKAMA Kuu yaAfrika Kusini imetoa amri ya muda ya kumzuia Rais wa Sudan, Omar al Bashir anayehudhuria kikao kilichoanza jana cha viongozi wa Umoja wa Afrika (AU) kutoondoka nchini humo.
Mahakama hiyo imemuagiza al-Bashir abakie hadi leo wakati itakaposikiliza kesi inayoitaka iiamrishe Serikali ya Afrika Kusini kumkamata kiongozi huyo i akajibu mashitaka yanayomkabili katika Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu wa Kivita (ICC) ya mjini Hague, Uholanzi.
Mapema jana,...

 

9 years ago

Mwananchi

Dk Magufuli: Anzeni kufungasha

Mgombea urais kwa tiketi ya CCM, Dk John Magufuli amewataka wahandisi wanaofanya kazi chini ya kiwango na kudhalilisha taaluma hiyo wajiondoe mapema kwa kuwa endapo atapata ridhaa ya kushika dola hatawavumilia.

 

11 years ago

Michuzi

UNAMID Force Commander meets displaced in Khor Abeche, South Darfur


On 20 May 2014, UNAMID Force Commander Lt. Gen. Paul Mella (near camera) travelled to Khor Abeche, South Darfur, to assess the situation of the displaced Darfuris settling close to UNAMID’s base; following a 22 March displacement that led to approximately 3,000 people taking refuge inside UNAMID’s compound.
To create a safe area in which the IDPs could live, a team of UNAMID engineers worked to construct new camp 70,000 square metres in size adjacent to the Mission's base. The camp, now is...

 

10 years ago

GPL

MKE WA MAFUFU ABEBA VIRAGO!

Mayasa Mariwata na Shani Ramadhani
KIMENUKA! MKEwa staa wa sinema za Kibongo, Jimmy Mafufu, Salma Sadiki amenaswa akifungasha virago nyumbani kwake Mwananyamala-Hospitali na kuelekea kwa wazazi wake maeneo ya Mbagala jijini Dar akidai kuchoshwa na tabia za mumewe huyo, Ijumaa lina ‘full’ stori. Mkewa staa wa sinema za Kibongo, Jimmy Mafufu, Salma Sadiki akiwa na mizigo yake. Akizungumza na mapaparazi wetu, Salma...

 

10 years ago

Mwananchi

Azam yamtupia virago Omog

Hatimaye Azam imemtimua kocha wake Mcameroon Joseph Omog ikiwa ni siku mbili baada ya kutolewa na El Merreikh ya Sudan kwenye mashindano ya Ligi ya Mabingwa Afrika

 

10 years ago

Mwananchi

Yanga yamtupia virago Kaseja

Hatimaye uongozi wa Yanga umetangaza rasmi kuachana na kipa wake Juma Kaseja wakisema kuanzia sasa ni mchezaji huru. Awali kipa huyo mkongwe aliamua kuipa kisogo timu hiyo akilalamikia kutolipwa sehemu ya fedha zake za usajili pamoja na bima ya afya yake.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani