Phiri aambiwa aanze kufungasha virago

Kocha Mkuu wa Simba, Patrick Phiri. Said Ally na Martha Mboma UNAKUMBUKA? Uongozi wa Simba ulimpa Kocha Mkuu Patrick Phiri mechi mbili kuhakikisha anapata ushindi vinginevyo kibarua kitaota nyasi lakini tayari ameshaharibu moja, baada ya kutoka sare ya 1-1 na Mtibwa Sugar juzi kwenye Uwanja wa Jamhuri, Morogoro. Phiri ambaye hajaonja ladha yoyote ya ushindi kwenye ligi msimu huu kikosi chake kikiwa kimetoka sare sita, sasa...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili26 Nov
Sudan yataka Unamid kufungasha virago
10 years ago
Mwananchi05 Sep
Dk Magufuli: Anzeni kufungasha
10 years ago
BBCSwahili25 Sep
Rodgers wa Liverpool aambiwa ana mtihani
11 years ago
Habarileo07 Oct
JK aambiwa sekta binafsi imepata mafanikio
SEKTA binafsi hapa nchini inapata mafanikio makubwa kutokana na ushirikiano mzuri kutoka serikalini. Taarifa kutoka Ikulu jana ilisema Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Taifa ya Biashara (NBC), Mizinga Melu alisema hayo wakati akizungumza na Rais Jakaya Kikwete jana jijini Dar es Salaam.
10 years ago
GPL
AMANDA AAMBIWA ANATUMIA ARV, AWA MBOGO!
11 years ago
Mwananchi25 May
Aanze rais kuhamia Makao Makuu Dodoma, wengine watafuata
10 years ago
Bongo508 Oct
Young Killer aitaja sababu iliyomfanya aanze ‘mapenzi’ mapema!
9 years ago
MillardAyo02 Jan
Hivi ndivyo Wayne Rooney na Anthony Martial walivyomfanya Louis van Gaal aanze kutabasamu (+Pichaz)
Kipute cha Ligi Kuu Uingereza kimeendelea tena leo January 2 kwa michezo kadhaa kuchezwa katika viwanja mbalimbali nchini humo, Man United walikuwa wenyeji wa Swansea City katika dimba la Old Trafford, wakati Arsenal walikuwa wenyeji wa Newcastle United katika dimba la Emirates. Mchezo ambao ulikuwa na nafasi ya kutazamwa na watu wengi ni mchezo kati […]
The post Hivi ndivyo Wayne Rooney na Anthony Martial walivyomfanya Louis van Gaal aanze kutabasamu (+Pichaz) appeared first on...