Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Sumaye- Watanzania rudini mstarini

ALIYEKUWA Waziri Mkuu, Frederick Sumaye amesema Watanzania wameanza kuhama katika mstari wa maadili uliosimamiwa na Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere wakati wa uhai wake na kushauri warudi katika mstari huo ili kumuenzi.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Sumaye ataka Watanzania kuacha ubinafsi

 Waziri Mkuu Mstaafu, Fredrick Sumaye amewataka Watanzania kuacha ubinafsi na kujitolea kwa jamii katika kukabiliana na majanga ya njaa, mazingira, maji na elimu ambayo yamekuwa ni chanzo cha pengo kati ya tabaka la matajiri na masikini nchini.

 

10 years ago

Vijimambo

SUMAYE ATAKA WATANZANIA KUWA NA HOFU YA MUNGU

Waziri Mkuu mstaafu Mh. Frederick Sumaye akisalimiana na Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotion Bw. Alex Msama Baada ya kuwasili kwenye uwanja wa Sokoine tayari kwa tamasha la Krismas lililofanyika kwenye uwanja wa huo jijini Mbeya , Mh. Fredrick Sumaye amewaasa watanzania kumcha Mungu na kuchagua viongozi waadilifu wenye uzalendo wa nchi, wenye kupenda na kuhurumia wananchi masikini na wenye hofu ya mungu ili kulinda amani ya nchi yetu jambo litakalofanya hata maombi yanayofanyika kuombea...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Uvunaji maliasili za Taifa lazima unufaishe Watanzania — Sumaye

p>WAZIRI Mkuu mstaafu, Frederick Sumaye, amesema Waafrika wakiwamo Watanzania wanapaswa kujiandaa kunufaika na uvunaji mpya unaofanyika katika rasilimali zake. Akizungumza wakati wa ufunguzi wa mkutano wa biashara na vitega uchumi...

 

11 years ago

Uhuru Newspaper

‘UKAWA rudini bungeni’


NA FRANK KIBIKI, IRINGA
BARAZA la Maaskofu Tanzania (TEC), limeitaka serikali kuhakikisha wajumbe wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) wanarejea bungeni bila masharti.
Limesema Bunge Maalumu la Katiba lipo na linaendeshwa kwa mujibu wa sheria hivyo, wajumbe wanapaswa kurejea pindi litakapoanza vikao vyake ili kuutendea haki mchakato wa Katiba Mpya.
Hata hivyo, limeonya kuwa iwapo wataendelea kukaidi,  wananchi wasiwachague tena kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka 2015 kwani, watakuwa wameshindwa...

 

11 years ago

Habarileo

Askofu: Ukawa rudini bungeni

KANISA Katoliki Tanzania limetoa tamko zito kuhusu mchakato wa Katiba unaoendelea, matukio yanayoashiria uchochezi wa dini na Uchaguzi Mkuu wa Rais, wabunge na madiwani, unaotarajiwa kufanyika mwaka kesho.

 

11 years ago

Mwananchi

Mziray: Ukawa rudini bungeni

Mjumbe wa Bunge la Katiba, Kuga Mziray amewashauri wajumbe wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) kurudi bungeni kuendeleza mchakato wa kujadili Rasimu ya Mabadiliko ya Katiba.

 

10 years ago

Habarileo

'Baba, mama rudini bungeni'

KAMATI Kuu ya Baraza la Watoto wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imekutana mjini hapa na kutoa tamko la kuwataka wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba wa kundi la Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) waliowatambulisha kama baba na mama zao, kurudi bungeni kukamilisha kazi waliyoianza.

 

11 years ago

Habarileo

'Mliosusa Bunge Maalum rudini'

WAJUMBE wa kundi la Umoja wa Katiba ya Wananchi na baadhi ya kundi la 201 waliosusa vikao vya Bunge Maalumu la Katiba, wameombwa kurudi bungeni kutengeneza Katiba kwani mchakato huo ni muhimu kwa mustakabali wa Taifa na Watanzania wote.

 

11 years ago

Mwananchi

Pinda: Chonde Ukawa rudini Bunge la Katiba

>Waziri Mkuu, Mizengo Pinda amewasihi viongozi wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) kurejea katika vikao vya Bunge Maalumu la Katiba vinavyotarajiwa kuendelea tena kuanzia Agosti 5 mwaka huu.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani