Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TAARIFA RASMI KUTOKA KWA KAMATI YA JUMUIYA NA USULUHISHI WA MIGOGORO

Kufuatia mgogoro  wa kisiasa, jaribio la kumtoa madarakani Raisi wa Jamhuri ya Burundi, Pierre Nkurunziza na maelfu ya wananchi wa nchi hiyo kukimbilia nchi jirani za Tanzania na Rwanda. Hali ya kambi zinazopokea wakimbizi zinaonekana kuelemewa na kupelekea kuhatarisha hali za wakimbizi hao.
Kutokana na hali hiyo, Bunge la Afrika ya Mashariki kupitia kamati yake ya Masuala ya Jumuiya na Usuluhishi wa Migogoro imeteua wajumbe watakaokwenda kutembelea kambi hizi zilizopo Kigoma-Tanzania na...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

Taarifa Rasmi Kwa Umma Kutoka IKULU

Rais Jakaya Kikwete--- Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete  jana, Jumatatu, Desemba 8, 2014, ameanza kazi rasmi baada ya afya yake kuimarika kufuatia upasuaji aliofanyiwa mwezi uliopita.
Mhe. Rais ameanza kazi rasmi kwa kumwapisha Mkuu mpya wa Mkoa wa Arusha, Mheshimiwa Daudi Felix Ntibenda katika shughuli fupi iliyofanyika Ikulu, Dar Es Salaam.

Kwa kuanzia Mhe. Rais atakuwa anafanya kazi za ofisini na kwa muda mchache. Muda na kasi ya kufanya kazi ya Mhe....

 

11 years ago

Tanzania Daima

Upatanishi, usuluhishi wa migogoro ya kikazi — (2)

WIKI iliyopita nilisema kwamba mgogoro unaweza kutafsiriwa kuwa ni uhusiano kati ya pande mbili au zaidi zenye mahitaji yasiyokubaliana au yanayopingana. Hata hivyo  mpatanishi atalazimika kutatua mgogoro ndani ya siku...

 

10 years ago

Michuzi

TAARIFA RASMI KUTOKA JESHI LA MAGEREZA KUHUSU TAARIFA ZA UZUSHI ZINAZOZAGAA KUWA BABU SEYA NA MAWAE WAMEACHIWA HURU

Hivi sasa kuna taarifa zimesambaa kupitia Ujumbe mfupi wa simu (SMS) na mitandao ya kijamii zikihusisha kuachiliwa huru kwa wafungwa wawili wanaotumikia Kifungo cha Maisha gerezani. Wafungwa hao wanaotajwa ni Nguza Vicking(Maarufu kwa jina Babu Seya) na Johnson Nguza(Maarufu kwa jina la Papii Kocha).
Napenda kuufahamisha Umma wa Watanzania kuwa taarifa hizo zote zilizotolewa kupitia njia hizo ni za Uongo na uzushi mkubwa na zinalenga kuipotosha jamii kwani wafungwa hao wapo gerezani na...

 

10 years ago

Michuzi

TAARIFA RASMI YA CCM KUHUSU KIKAO CHA KAMATI KUU LEO

Kamati Kuu imepokea na kutafakari taarifa ya Kamati ya Usalama na Maadili ambayo ilipitia adhabu waliyopewa wanachama sita waliokiuka kanuni za Maadili na kupewa Onyo Kali, adhabu iliyodumu kwa kipindi kisichopungua miezi 12.
Wanachama hao sita ni;-i. January Makambaii. Willium Ngelejaiii. Steven Wasiraiv. Bernard Membev. Edward Lowassavi. Fredrick Sumaye
Kamati Kuu imepokea na kukubali pendekezo la Kamati ya Usalama na Maadili ya kumalizaka kwa kipindi cha adhabu kwa wanachama hawa. Kwahiyo...

 

10 years ago

Vijimambo

UONGOZI JUMUIYA DMV YAFANYA KIKAO NA KAMATI ZAKE KUJADILI MASWALA MBALIMBALI YANAYOIKABILI JUMUIYA

Uongozi wa Jumuiya ya Watanzania DMV ukifanya kikao na kamati zake mbalimbali ndani ya uongozi wa jumuiya hiyo kujadili maswala ya wanajumuiya wake yakiwemo maswala ya afya, ukusanyaji wa ada za uwanachama ikiwemo kutengeneza vitambulisho maalum vya mwanachama na njia mbadala za kuongeza kipato kwenye Jumuiya ya DMV. Swala lingine lililojadiliwa ni kuangalia na kuwatambua Watanzania wenye nafasi kwenye jamii kama vile Madaktari, Manesi, wanasheria na wengineo ambao wapo tayari kushirikiana...

 

9 years ago

StarTV

Msajili wa Vyama asema bado wanasubiri taarifa rasmi kutoka NEC

Msajili wa Vyama vya Siasa, Jaji Francis Mutungi amesema Ofisi yake bado inasuburi Ripoti ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi-NEC juu ya vyama vya Siasa vilivyopata  Wabunge ili ianze kuvipatia ruzuku.

Amesema hadi sasa Ofisi yake haijapokea Taaarifa yoyote ya kimaandishi ya NEC inayoanisha Vyama vilivyopata Wabunge na kwamba mara vyama hivyo vitakavyoainishwa wataanza kufanyia Tathmini ili vipewe Ruzuku zao.

Mutungi amebainisha hayo Jijini Dar Es Salaam wakati akitoa usajili wa Muda kwa chama...

 

9 years ago

CHADEMA Blog

Taarifa Rasmi Kutoka UKAWA Kuhusu Uchaguzi Mkuu Unaoendelea Leo- 25/10/2015

1. Hali ya vitisho vya jeshi la polisi na kamata kamata iliyoanza jana usiku hadi leo asubuhi. Wawaache wananchi watumie haki yao ya kikatiba kumchagua kiongozi wanayemtaka. 2. Suala la watu wenye kadi lakini majina yao hayapo, ambapo kisheria inatakiwa msimamizi awape fomu namba 19 kisha waijaze na kupiga kura. Tumewataka wananchi kutokuondoka vituoni hadi wapate haki hiyo ya kujaza fomu

 

11 years ago

Michuzi

JUMUIYA YA WATANZANIA HOUSTON: MH. BALOZI LIBERATA MULAMULA KUWA MGENI RASMI KATIKA SHEREHE YA KUSIMIKA VIONGOZI WAPYA WA JUMUIYA.

Tunapenda kuwatangazia kwamba siku ya Jumamosi tarehe 29 machi 2014, jumuiya yetu ya Watanzania Houston itafanya sherehe ya kusimika viongozi wapya wa jumuiya. Muda ni kuanzia saa mbili kamili jioni(8pm) katika anuani ifuatayo: Turquoise Center, 9301 West Bellfort Ave. Houston TX 77031.
Mheshimiwa Balozi wa Tanzania hapa US na Mexico, Mh.Liberata Mulamula ndiye atakaekuwa mgeni rasmi wa tukio hili la kihistoria katika jumuiya yetu ya Houston. Wote mnakaribishwa ili tusherekee na tuweke...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani