TAARIFA YA IBADA TAKATIFU YA KISOMO CHA AROBAINI YA MAREHEMU ANDREA CONSTANTINE LUPILYA
![](http://1.bp.blogspot.com/-nozn-mp0yJQ/VJ2Ckl014DI/AAAAAAAG57I/ZXtGmyKOGBk/s72-c/Untitled2.png)
FAMILIA YA MAREHEMU ANDREA CONSTANTINE LUPILYA INAPENDA KUWAJULISHA NDUGU JAMAA NA MARIFIKI KUWA TAREHE 28/12/2014 SIKU YA JUMAPILI KUTAFANYIKA IBADA TAKATIFU YA KISOMO CHA AROBAINI TOKA KUFARIKI KWA BABA YETU MPENDWA ANDREA CONSTANTINE LUPILYA KUANZIA SAA TANO ASUBHUHI NYUMBANI KWAKE NYAKATO – MJINI MWANZA.
AIDHA, IBADA HII ITAJUMUISHA IBADA TAKATIFU YA KUMUOMBEA MTOTO WA MAREHEMU BWANA ANTHONY LUPILYA ALIYEFARIKI LEO TAREHE 25/12/2014.
FAMILIA YA MAREHEMU KWA HESHIMA KUBWA...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-pDkoXbExGOA/U7wCaVnHUNI/AAAAAAAFyZA/4gRp1NM76tc/s72-c/Marehem+Iraki+Hudu+aka+Kimbunga+(RIP)+1965-+2014.jpg)
TAARIFA YA KISOMO CHA AROBAINI YA NDUGU YETU MAREHEMU (BONDIA) IRAKI HUDU (RIP)
![](http://2.bp.blogspot.com/-pDkoXbExGOA/U7wCaVnHUNI/AAAAAAAFyZA/4gRp1NM76tc/s1600/Marehem+Iraki+Hudu+aka+Kimbunga+(RIP)+1965-+2014.jpg)
Ndugu wanajumuiya, mabibi na mabwana Familia ya marehemu (Bondia) Iraki Hudu,inapenda kuwajulisha maadhimisho ya arobaini ya marehemu Iraq Hudu itayofanyika siku ya 19 Julai 2014 Shughuli hii itafanyika jioni wakati kufutari nyumbani kwa marehem huko Buguruni ,Rozana,Dar-es-salaam .
Shughuli hii ya arobaini kwa kuwa imengia katika mwezi mtukufu wa mfungo wa Ramadhan,familia ya marehem imeamua kutimiza shughuli hii kwa kufuturisha na kisomo.
Kwa heshima na taazima...
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-O44HNL2oUwM/U1ggO5r8qkI/AAAAAAAFclA/LK_ZlgPRx8w/s72-c/IMG-20140307-WA0000.jpg)
SHUKURANI NA MWALIKO KATIKA IBADA YA MISA TAKATIFU KWA AJILI YA MAREHEMU LEEFORD C. CENGE SIMBA
![](http://3.bp.blogspot.com/-O44HNL2oUwM/U1ggO5r8qkI/AAAAAAAFclA/LK_ZlgPRx8w/s1600/IMG-20140307-WA0000.jpg)
Kwa heshima kubwa tunatoa shukrani za dhati kwa Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Mohamed Gharib Bilal Makamu wa...
11 years ago
GPLKISOMO CHA MAREHEMU ZAINAB BUZOHERA DMV
10 years ago
VijimamboKISOMO CHA MAREHEMU ZAINAB MUSSA CHAFANYIKA DMV
Ustaadh Mudy Mabenzi akiongoza kisomo cha mama yake Yasin Randi Marehemu Zanab Mussa kilichofanyika siku ya Jumampili Desemba 14, 2014 nyumbani kwao Hyattsville, Maryland nchini Marekani.
Ustaadh Ally Mussa aisaidiana na mauutadh wenzake katika kisomo na mpendwa mama yake Yasin Randi marehemu Zainab Mussa kilichofanyika siku ya Jumapili Desemba 14, 2014. Kushoto ni Abdul Sebo akifuatilia kisomo.
10 years ago
Vijimambo08 Jan
KISOMO CHA MAREHEMU MAMA MPENDWA BI. AZIZA S. BORORO DMV
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-tPlKaE183k0/U7PMBB3dOAI/AAAAAAAFuLU/ldlCoD-rqDE/s72-c/AMINA+NGALUMA.jpg)
Kisomo cha 40 ya Marehemu Amina Ngaluma kufanyika Jumamosi jijini Dar
![](http://4.bp.blogspot.com/-tPlKaE183k0/U7PMBB3dOAI/AAAAAAAFuLU/ldlCoD-rqDE/s1600/AMINA+NGALUMA.jpg)
KISOMO cha 40 ya aliyekuwa mwimbaji mahiri nchini, marehemu Amina Ngaluma ‘Japanese’ kinatarajiwa kufanyika Jumamosi wiki hii Kitunda, Machimbo Dar es Salaam.
Akizungumza na gazeti hili, mume wa marehemu Rashid Sumuni, alisema kisomo hicho kitafanyika nyumbani kwa wazazi wake marehmu na kwamba pia watakuwa na shughuli maalum ya kufutarisha waumini baada ya kumalizika kisomo hicho.
“Tunaomba ndugu, jamaa na marafiki wote tulioshiriki kwa namna mbalimbali wakati wa msiba wa...
9 years ago
Vijimambo19 Oct
ibada ya misa takatifu kwa lugha ya kiswahili
Mnakaribishwa sana kwenye ibada ya misa takatifu kwa lugha ya kiswahili
Ibada itafanyika katika kigango cha
Capuchin College4121 Harewood Road, NE, Washington, DC, 20017
Jumapili Tarehe 25 Octoba 2015. Saa nane kamili mchana (2:00 PM).
Karibu sana na unaombwa uwataarifu na kuwakaribisha ndugu, marafiki na jamaa zako.
Unakaribishwa kujiunga kwa mawasiliano ya barua pepe na Wakatoliki DMV anwani. Tupatie mawasiliano yako kwenda kwa:-WauminiWakatoliki@gmail.com
Kwa niaba ya Fr. Leandry Kimario, ni...
10 years ago
VijimamboKISOMO CHA KUMUOMBEA MAREHEMU NA FUTARI YA PAMOJA SIKU YA JUMAPILI HUKO SILVER SPRING MD USA
10 years ago
Vijimambo03 Aug
AROBAINI YA MAREHEMU MZEE ABASS KHALFAN MANG'ULO: