Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TAARIFA YA KAMISHNA KOVA KWA WANANCHI

Kamishina Kova akizungumza na waandishi wa habari(hawapo pichani).…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Kamishna Kova: Polisi tumejipanga kusimamia uchaguzi

Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam limesema halitawaonea haya wale wote watakaosababisha kwa namna moja ama nyingine kuharibika tena kwa uchaguzi wa Serikali za mitaa unaotarajiwa kurudiwa kesho katika baadhi ya maeneo

 

10 years ago

GPL

KAMISHNA KOVA AZINDUA KITUO CHAPOLISI VINGUNGUTI

Kituo cha polisi kilichofunguliwa. Baadhi ya askari wakiwa sehemu ya mapokezi. Sehemu ya jiwe la msingi la uzinduzi wa kituo…

 

9 years ago

Michuzi

UZINDUZI WA MASHINDANO YA POLISI JAMII KANDA MAALUM YA DAR ES SALAAM - KAMISHNA KOVA CUP KUZINDULIWA HIVI KARIBUNI

JESHI  la Polisi  Kanda Maalum ya Dar es Salaam linatarajia kuzindua mashindano ya michezo mbalimbali kwa lengo la kuwashirikisha wananchi  wa  rika zote  na  itikadi  mbalimbali yatakayojulikana“KAMISHNA KOVA CUP”.
 Madhumini ya mashindano haya ni  ni  Kuwaunganisha wananchi wenye itikadi mbalimbali ili kupitia mashindano  haya  watakaoshiriki  watajifunza  masuala  ya usalama, uzalendo  na kuzingatia utaifa kwa madhumuni ya kuwashirikisha kikamilifu katika ulinzi wa nchi na kudumisha amani ...

 

10 years ago

Michuzi

KAMISHNA KOVA AWATAKA ASKARI WALIOMALIZA MAFUNZO YA UONGOZI MDOGO WA JESHI LA POLISI KUTUMIA UJUZI NA MAARIFA WALIYOYAPATA KUONDOA KERO NA KUDUMISHA AMANI KATIKA MITAA YOTE YA JIJI LA DAR

 Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Kipolisi ya Dar es Salaam,Kamishna Suleiman Kova akifurahi jambo wakati akizungumza na Askari Polisi waliomaliza Mafunzo ya uongozi mdogo wa Jeshi la Polisi katika vyuo vya Polisi vya Moshi na Zanzibar,wakati alipowapokea leo Desemba 4,2014 katika Kituo cha Kati cha Polisi,Jijini Dar es Salaam.Sehemu ya Askari Polisi waliomaliza Mafunzo ya uongozi mdogo wa Jeshi la Polisi katika vyuo vya Polisi vya Moshi na Zanzibar wakimsikiliza Kamanda wa Polisi Kanda...

 

9 years ago

StarTV

  Polisi yaomba wananchi kutoa taarifa kwa dola

 

Jeshi la Polisi nchini limewaomba wananchi kutoa taarifa katika vyombo vya Dola pindi wanapoona dalili za uvunjifu wa amani katika maeneo yote ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Kauli hiyo imetolewa na Kamishna wa Operesheni na Mafunzo wa Jeshi la Polisi nchini CP. Paul Chagonja alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari katika makao makuu ya jeshi hilo jijini Dar es salaam.

 Kamishna wa Operesheni na Mafunzo, CP Paul Chagonja anaanza kwa kuwapongeza wananchi na wadau wote wa usalama...

 

10 years ago

Michuzi

WANANCHI WA UKANDA WA ZIWA NYASA KUNUFAIKA NA UPATIKANAJI WA TAARIFA MAALUM ZA HALI YA HEWA KWA WAVUVI, WAKULIMA, WAFUGAJI NA WASAFIRISHAJI KWA WAKATI.

Mwakilishi wa Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Bi. Theo Ntara  ambaye ni Mkuu wa Wilaya ya Kyela (watatu kutoka kushoto), Mwakilishi wa Mkurugenzi Mkuu TMA Dkt. Hamza Kabelwa (wa nne kutoka kushoto) katika picha ya pamoja na washiriki wa warsha inayohusu uboreshaji wa huduma za hali ya hewa katika maeneo ya Ziwa Nyasa kwa sekta ya wakulima na wafugaji, wavuvi na wasafirishaji, tarehe 14 Mei 2015  katika hotel ya Kyela Resort-Mbeya.Kwa chanzo na habari kamili BOFYA HAPA

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani