Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Taarifa ya kipindupindu sasa kila wiki

SERIKALI imeanzisha utaratibu wa utoaji wa taarifa ya ugonjwa wa kipindipindu kwa wiki kwa nchi nzima, ili kuhabarisha umma wa Watanzania kuhusu mkoa na wilaya inayojitahidi kukabiliana na ugonjwa huo.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Habarileo

Kipindupindu chakumba wanane kila siku

KASI ya ugonjwa wa kipindupindu katika Manispaa ya Dodoma inazidi ambapo mpaka sasa kuna wastani wa wagonjwa wapya wanane kila siku ambapo mpaka sasa jumla ya wagonjwa waliolazwa ni 48.

 

9 years ago

Vijimambo

Kipindupindu Dar chaua 10, wagonjwa sasa wafikia 65

Jumla ya watu 10 hadi kufikia jana walikuwa wameshapoteza maisha kutokana ugonjwa wa kipindupindu jijini Dar es Salaam huku 93 wakiwa wamelazwa kwenye kambi zilizotengewa kwa ajili ya walioathirika na ugonjwa huo.

Nipashe ilitembelea katika Kambi ya Mburahati wilayani Kinondoni jana na kushuhudia madaktari na wauguzi wakiendelea kutoa matibabu.

Akizungumza na gazeti hili msimamizi wa kambi hiyo, ambaye pia ni Mratibu wa Mafunzo Idara ya Afya Wilaya ya Kinondoni, Alfred Ngowi, alisema hadi...

 

9 years ago

Dewji Blog

Wizara Afya yatoa taarifa ya hali ya Kipindupindu nchini

ummy 1

Waziri Ummy Mwalimu alizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusiana na hali ya kipindupindu nchini ambapo hadi sasa ni mikoa 21 ya Tanzania Bara imeathirika. Jumla ya watu 12,222 wameugua kipindupindu na kati yao watu 196 wameshafariki.

ummy 2

Baadhi ya waandishi wa habari wa vyombo mbalimbali wakimfuatilia waziri huyo(hayupo pichani) alipokuwa akitoa taarifa hiyo.Hata hivyo Waziri Ummy ameagiza kila wiki (jumatatu) wizara yake kutoa  taarifa kwa vyombo vya habari kuhusu hali ya...

 

9 years ago

Dewji Blog

Serikali yatoa taarifa ya mwenendo wa ugonjwa wa kipindupindu nchini

IMG_0652

Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Hamis Kigwangalla akitoa tamko kwa umma, kuhusu mwenendo wa ugonjwa wa kipindupindu katika mkutano na waandishi wa habari (hawapo pichani) ofisini kwake jijini Dar es Salaam. Pichani chini kushoto ni Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali Watu katika Wizara ya Afya (Kaimu Mkurugenzi), Michael John.

Naibu Waziri wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Hamis Kigwangalla ametoa tamko kwa umma,...

 

9 years ago

Michuzi

WIZARA YA AFYA NA USTAWI WA JAMII WATOA TAARIFA YA UGONJWA WA KIPINDUPINDU

 Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii Donan Mmbando akizungumza na waandishi wa habari hawapo pichani juu ya Mlipuko wa Ugonjwa wa kipindupindu uliopo sasa ulianza mnamo 15 Agosti 2015, katika Manispaa ya Kinondoni na baadae kusambaa katika Manispaa zote za Mkoa wa Dar es Salaam leo jijini Dar es Salaam.  Waandishi  wa habari wakimsikiliza  Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii Donan Mmbando, leo jijini Dar es SalaamWadau mbalimbali wakiwa katika mkutano huo leo...

 

9 years ago

Dewji Blog

Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto yatoa taarifa kuhusu hali ya Kipindupindu nchini

ummy 1

Waziri Ummy Mwalimu alizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusiana na hali ya kipindupindu nchini ambapo hadi sasa ni mikoa 21 ya Tanzania Bara imeathirika.Jumla ya watu 12,222 wameugua kipindupindu na kati yao watu 196 wameshafariki.

ummy 2

Baadhi ya waandishi wa habari wa vyombo mbalimbali wakimfuatilia waziri huyo(hayupo pichani) alipokuwa akitoa taarifa hiyo.Hata hivyo Waziri Ummy ameagiza kila wiki (jumatatu) wizara yake kutoa  taarifa kwa vyombo vya habari kuhusu hali ya...

 

9 years ago

BBCSwahili

Trump kutumia $2m kila wiki kwa kampeni

Mgombea wa urais Marekani anayetafuta tiketi ya chama cha Republican Donald Trump amesema anapanga kutumia $2m (£1.3m) kila wiki kwenye matangazo ya kampeni.

 

11 years ago

Mwananchi

Ubaya kila kona England wiki hii

Ukurasa mpya wa vita ya maneno kati ya kocha wa Chelsea, Jose Mourinho na bosi wa Manchester City, Manuel Pellegrini utaendelea leo wakati Arsenal wakisaka kulipa kisasi dhidi ya Liverpool kwenye mchezo wa Kombe la FA raundi ya tano.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani