Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


taarifa ya kufungwa kwa Barabara ya Bagamoyo - Makofia - Msata kutokana na mafuriko

MTENDAJI MKUU WA WAKALA WA BARABARA TANZANIA (TANROADS) ANAPENDA KUTOA TAARIFA KWA  UMMA NA WATUMIA BARABARA YA BAGAMOYO – MAKOFIA - MSATA KWAMBA BARABARA HII IMEFUNGWA KWA AJILI YA USALAMA  WA ABIRIA NA VYOMBO VYA USAFIRI KUTOKANA NA MVUA KUBWA ZINAZONYESHA NCHINI NA KULETA MAFURIKO KWENYE BONDE LA DARAJA LA RUVU CHINI.
MADEREVA WANASHAURIWA KUTUMIA BARABARA YA DAR ES SALAAM – CHALINZE - MOROGORO NA BAGAMOYO – MLANDIZI – CHALINZE KWA KIPINDI HIKI AMBACHO BARABARA YA BAGAMOYO – MAKOFIA –...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

KAMATI YA BUNGE YA MIUNDOMBINU YAFANYA ZIARA YA KUKAGUA MAENDELEO YA UJENZI WA BARABARA YA BAGAMOYO — MAKOFIA — MSATA (KM 64) PAMOJA NA MIZANI YA KISASA ILIYOPO ENEO LA VIGWAZA

Wajumbe wa kamati ya Bunge ya Miundombinu wamefanya ziara ya kukagua maendeleo ya ujenzi wa barabara ya Bagamoyo – Makofia – Msata (km 64), inayojengwa kwa kiwango cha lami. Barabara hii inaunganika na barabara kuu ya Dar es salaa – Chalinze – Arusha katika eneo la Msata. Hivyo ni njia mbadala ya kutoka Dar es Salaam kwenda mikoa ya kanda ya Kaskazini na nchi jirani ya Kenya.
Barabara hii inayojengwa na kampuni ya Estim Construction ltd, na kusimamiwa na mhandisi mshauri kampuni ya JBG Gauff...

 

10 years ago

Michuzi

Dkt Magufuli akagua ujenzi wa Madaraja katika Barabara ya Bagamoyo-Msata mkoani Pwani

 Waziri wa Ujenzi Dkt. John Pombe Magufuli akikagua sehemu ya juu ya Daraja la Kariakoo katika eneo la Ruvu Chini katika barabara ya Bagamoyo-Msata Sehemu ya Daraja la Kariakoo katika eneo la Ruvu chini katika mradi wa Ujenzi wa Barabara ya Bagamoyo-Msata ukiendelea kujengwa.


 Waziri wa Ujenzi Dkt. John Pombe Magufuli akikagua sehemu ya chini ya daraja la Kariakoo.

 Mkandarasi wa Barabara ya Bagamoyo-Msata kushoto  akitoa maelezo ya Mradi wa Madaraja katika eneo la Ruvu Chini Mkoani Pwani huku...

 

11 years ago

Michuzi

CHUO CHA USIMAMIZI WA FEDHA (IFM) KUANZA KUJENGA ENEO LA MSATA BAGAMOYO PWANI

Makamu mwenyekiti wa chuo cha usimamizi wa fedha (IFM),Bw. Kasmiri Nyoni akizungumza kuhusu utanuzi wa chuo cha usimamizi wa fedha ambacho kinakaribia kuanza kujengwa katika eneo la Msata wilaya ya Bagamoyo Mkoani Pwani,Chuo hicho kitakuwa na uwezo wa kuchukua wanafunzi wapatao elfu thelathini.kulia kwa makamu wachuo ni Mkuu wa chuo cha ifm Profesa Godwin Mjema nakushoto ni Mkurugenzi mtendaji wa Kituo kinacho toa elimu kwa njia ya mtandao nchini Tanzania Charles Senkondo. uongozi wa...

 

9 years ago

Michuzi

TRL YASITISHA KWA MUDA SAFARI ZA TRENI YA BARA KUTOKANA NA MAFURIKO KATI YA MOROGORO NA DODOMA



Uongozi wa Kampuni ya Reli Tanzania TRL umetangaza kusitisha kwa muda kuanzia jana Januari 01, 2016, huduma zake baada ya eneo la reli ya kati ya Kilosa mkoani  Morogoro na Gulwe mkoani Dodoma tuta la reli kukumbwa na Mafuriko.  Kwa mujibu wa taarifa za kifundi eneo lililoathiriwa na mafuriko ni kubwa hivyo Wahandisi na Mafundi  wa TRL wako eneo la mafuriko  kutathmini ukubwa wa kazi yenyewe. Kutokana na  uamuzi huo treni ya abiria kutoka bara ilibidi safari yake ikatizwe ilipofika Dodoma na...

 

10 years ago

Michuzi

wananchi wafunga barabara kawe bondeni kushinikiza matuta yajengwe barabara ya bagamoyo kuzuia ajali

 Wananchi wakiwa wamepanga mawe na miti kuziba barabara ya Bagamoyo Road maeneo ya Kawe Bondeni jijini Dar es salaam leo ili kushinikiza kuwekewa matuta ya barabarani ili kupunguza ajali zinazotokea mara kwa mara eneo hilo. Hadi tunaruka hewani Jeshi la Polisi lilikuwa limeshawatawanya wananchi hao na kuondoa vizuizi hivyo baada ya kusababisha foleni ya takriban saa moja hivi.

 

5 years ago

CCM Blog

SHULE, VYUO KUENDELEA KUFUNGWA, SHEREHE ZA MEI MOSI, MUUNGANO ZAAHIRISHWA KUTOKANA NA BALAA LA CORONA

MKUU Kassim Majaliwa amesema agizo la kufungwa kwa shule za awali, msingi, sekondari na vyuo vyote vya elimu ya kati na vya elimu ya juu litaendelea kubaki vile vile hadi hapo Serikali itakapotoa tamko jingine.
Pia, Waziri Mkuu amesema Rais Dkt. John Pombe Magufuli amesitisha maadhimisho ya Sherehe za Mapinduzi (Aprili 26) pamoja na Sikukuu ya Wafanyakazi (Mei Mosi) ili kuepuka msongamano na kuendelea kuzuia virusi vya corona visisambae zaidi. 
Waziri Mkuu ameyasema hayo leo (Jumanne, Aprili...

 

11 years ago

Habarileo

Barabara Ubungo kufungwa

KAMPUNI ya ujenzi ya Strabag International GmbH inayojenga barabara ya Mradi wa Mabasi yaendayo Haraka (Dart) imetangaza kufungwa kwa baadhi ya njia katika eneo la taa za Ubungo, Dar es Salaam kuanzia leo usiku hadi keshokutwa kwa ajili ya kuruhusu ujenzi.

 

9 years ago

StarTV

Baadhi ya wananchi wakosa makazi kutokana Mafuriko Mara

Mvua kubwa imenyesha mjini Bunda mkoani Mara na kusababisha mafuriko  yaliyoharibu mali za wananchi, chakula na samani za ndani.

Mvua hiyo iliyonyesha kwa zaidi ya saa moja majira ya alasiri imesababisha hasara kubwa kwa wakazi  wa Mji huo, kwani baadhi ya wananchi wamekosa mahali pa kuishi kutokana na nyumba zao kujaa maji na nyingine kubomoka.

Mvua hiyo imeleta hasara kubwa katika karibu mitaa yote ya Mji wa Bunda, ambapo katika mitaa ya Kabarimu, majengo, Nyasura na mbugani mafuriko hayo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani