Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TAASISI ZA MANUNUZI AMBAZO HAZITAJIUNGA NA MFUMO WA TANePS KUTOSHIRIKI ZABUNI

Na Peter Haule WFM, Dodoma

Serikali imezitaka Taasisi zote za Manunuzi ambazo hazijajiunga katika Mfumo wa Ununuzi ya Umma kwa njia ya Mtandao (e-Procurement System) ujulikanao kama TANePS kufanya hivyo kinyume na hapo zitakuwa zimejipotezea nafasi za kutekeleza shughuli za ununuzi.

Hayo yamesemwa na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Mamlaka ya Udhibiti wa Ununuzi wa Umma (PPRA), Balozi Dkt. Matern Lumbanga, wakati wa Ufunguzi wa Baraza la Wafanyakazi wa PPRA, jijini Dodoma.

Balozi Lumbanga...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Vijimambo

TFDA NA TAASISI YA TRADEMARK EAST AFRICA (TMEA) WAZINDUA MFUMO WA UTOAJI VIBALI KWA MFUMO WA KIELEKITRONIKI

 Mganga Mkuu wa Serikali, Profesa Muhammad Kambi (kulia), akibonyeza kituvye Dar es Salaam leo asubuhi, kuashiria uzinduzi wa mfumo wa utoaji vibali kwa njia ya kielekitroniki (e-portal) ambao utawezesha Mamlaka ya Chakula na Dawa (TFDA), kuhudumia wateja wake kwa kutumia mtandao wa intaneti. Mpango huo unaendeshwa kwa ushirikiano wa TFDA na Taasisi ya TradeMark East Africa (TMEA) Viongozi wakiwa meza kuu wakifuatilia uzinduzi huo.
 Wadau mbalimbali wakiwa kwenye hafla hiyo ya uzinduzi. Wadau...

 

10 years ago

Mwananchi

Mfumo huu pia utumike katika taasisi za umma

Hivi karibuni Serikali ilianzisha utaratibu wa wafanyabiashara kutumia mashine za risiti za kielektroniki (EFD).

 

11 years ago

Michuzi

Serikali kufunga mfumo wa kielektroniki kujaza mafuta magari na mitambo ya taasisi za Umma

Mkurugenzi wa Uendeshaji toka wakala wa huduma ya Ununuzi Serikalini (GPSA) bw. Naftal Singwejo akieleza kwa waandishi wa habari kuhusu mfumo mpya wa kielektroniki utakaotumika katika kutoa huduma ya mafuta kwa magari ya Serikali na mitambo ili kuongeza tija katika utoaji wa huduma hiyo kwa Taasisi ,Wakala na Wizara zote .kushoto ni Mkurugenzi Himili Biashara Bw. Malik Aram.
Na Frank Mvungi-Maelezo
Serikali yaanza kutekeleza mradi wa kufunga mfumo wa kielektroniki kujaza...

 

9 years ago

Michuzi

TAASISI YA SEKTA BINAFSI, BOT, BENKI YA DUNIA WAJADILI MFUMO WA MIRADI YA PPP.

  Mkurugenzi wa Taasisi ya Sekta Binafsi Tanzania (TPSF), Dk Gideon Kaunda (kulia) akizungumza katika hafla ya ufungaji wa mkutano wa siku mbili kuhusu ushiriki wa sekta binafsi katika miradi ya ubia kati ya sekta binafsi na ya umma (PPP), uliyofanyika jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki iliyoandaliwa na Taasisi ya Sekta Binafsi (TPSF), ikishirikiana na Benki Kuu ya Tanzania (BoT) na Benki ya Dunia. Kushoto ni Kamisha wa PPP kutoka Wizara ya Fedha, Dk. Francis Mhilu.  Kamishna wa Sera ya...

 

5 years ago

Michuzi

KAIMU DHRA WA TAA AHIMIZA MATUMIZI YA TANEPs


Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Manunuzi cha Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA), Josephat Msafiri (wa pili kulia) akiandika mambo mbalimbali yanayofundishwa na Mwezeshaji Kenneth Nnembuka kutoka Mamlaka ya Udhibiti wa Manunuzi ya Umma (PPRA), katika mafunzo ya mfumo wa manunuzi kwa njia ya mtandao (TANePs), yanayoendelea kwenye ukumbi wa Mikutano wa Watu Mashuhuri wa Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Julius Nyerere (VIP -JNIA-TB2).
Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani cha Mamlaka...

 

11 years ago

GPL

YANGA KUTOSHIRIKI MAPINDUZI

Kikosi cha Young Africans Sports Club. Uongozi wa klabu ya Young Africans umewasilisha barua rasmi kwa ZFA kutoshiriki mashindano ya kombe la Mapinduzi  yanayotarajiwa kuanza kutimua vumbi kesho  Januari Mosi 2014 Visiwani Zanzibar katika miji ya Unguja na Pemba kutokana na kuamua kulivunja Benchi nzima la Ufundi. Kufuatia kupewa taarifa (notice) kwa kocha msaidzi Fred Felix "Minziro" kocha wa makipa Razaki Siwa na daktari...

 

9 years ago

Habarileo

Zabuni za kupeana zamchefua JK

RAIS Jakaya Kikwete amekemea tabia ya kugawana zabuni kwa `kujuana’, tena bila ya kuzingatia uwezo wa kampuni zinazopewa kazi mbalimbali za serikali, ikiwamo ujenzi wa barabara nchini.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani