KAIMU DHRA WA TAA AHIMIZA MATUMIZI YA TANEPs
Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Manunuzi cha Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA), Josephat Msafiri (wa pili kulia) akiandika mambo mbalimbali yanayofundishwa na Mwezeshaji Kenneth Nnembuka kutoka Mamlaka ya Udhibiti wa Manunuzi ya Umma (PPRA), katika mafunzo ya mfumo wa manunuzi kwa njia ya mtandao (TANePs), yanayoendelea kwenye ukumbi wa Mikutano wa Watu Mashuhuri wa Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Julius Nyerere (VIP -JNIA-TB2).
Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani cha Mamlaka...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi17 Apr
KAIMU MKURUGENZI TANESCO KIZIMBANI KWA MATUMIZI MABAYA YA OFISI
11 years ago
Tanzania Daima03 Apr
RC Dodoma ahimiza matumizi ya maktaba
WANAFUNZI nchini wametakiwa kutumia muda mwingi kujisomea katika maktaba ili kuongeza kiwango cha elimu na ufaulu. Rai hiyo ilitolewa mjini hapa juzi na Mkuu wa Mkoa (RC) wa Dodoma, Dk....
10 years ago
Tanzania Daima05 Nov
Mama Pinda ahimiza matumizi ya maziwa
MKE wa Waziri Mkuu, Mama Tunu Pinda amezihamasisha familia nchini kuhakikisha watoto wao wanatumia maziwa ili kusaidia ukuaji wao na kuimarisha ustawi mzuri wa afya zao. Wito huo ulitolewa jijini...
5 years ago
CCM BlogBODI YA USHAURI TAA YAIANGUKIA SERIKALI ISAIDIE TAA KATIKA KIPINDI HIKI CHA JANGA LA COVID 19
Na Bahati Mollel,TAA
BODI ya Ushauri (MAB) ya Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA), imeiangukia serikali iisaidie TAA kuigharama huduma mbalimbali za uendeshaji kwenye viwanja vya ndege kutokana na kuathiriwa kwa asilimia 100 na ugonjwa wa homa kali ya mapafu (COVID19), inayoambukizwa na virusi vya corona.
Mwenyekiti wa MAB, Dkt. Masatu Chiguma, ametoa kauli hiyo mwishoni mwa wiki kwenye kikao cha dharura cha Bodi hiyo, kilichofanyika katika ukumbi wa mikutano wa Jengo la Watu Mashuhuri...
5 years ago
MichuziBODI YA USHAURI TAA YAIANGUKIA SERIKALI ISAIDIE TAA KATIKA KIPINDI HIKI CHA JANGA LA COVID 19
Na Bahati Mollel,TAA
BODI ya Ushauri (MAB) ya Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA), imeiangukia serikali iisaidie TAA kuigharama huduma mbalimbali za uendeshaji kwenye viwanja vya ndege kutokana na kuathiriwa kwa asilimia 100 na ugonjwa wa homa kali ya mapafu (COVID19), inayoambukizwa na virusi vya corona.
Mwenyekiti wa MAB, Dkt. Masatu Chiguma, ametoa kauli hiyo mwishoni mwa wiki kwenye kikao cha dharura cha Bodi hiyo, kilichofanyika katika ukumbi wa mikutano wa Jengo la Watu...
10 years ago
VijimamboMAKAMU WA RAIS,DKT GHARIB BILAL AHIMIZA MATUMIZI BORA YA TEKNOLOJIA YA HABARI KWA WANAFUNZI
Na Maryam Kidiko/Kijakazi Abdalla Maelezo Zanzibar
Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Mohamed Gharib Bilali amesema kuwa matumizi bora ya teknolojia ya habari yatawawezesha wanafunzi kupata elimu bora kwa urahisi.
Hayo ameyasema leo katika skuli ya Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi Unguja wakati wa uzinduzi wa darasa la kompyuta ikiwa ni miongoni mwa shamrashamra za kutimiza miaka 51 ya Mapinduzi ya Zanzibar.Alisema kuwa matumizi bora ya kompyuta yatawafanya wanafunzi...
10 years ago
MichuziWAZIRI LUKUVI AHIMIZA MPANGO SHIRIKISHI KUENDELEZA ARDHI KATA YA MAKONGO KWA MATUMIZI BORA NA ENDELEVU.
5 years ago
MichuziTAASISI ZA MANUNUZI AMBAZO HAZITAJIUNGA NA MFUMO WA TANePS KUTOSHIRIKI ZABUNI
Serikali imezitaka Taasisi zote za Manunuzi ambazo hazijajiunga katika Mfumo wa Ununuzi ya Umma kwa njia ya Mtandao (e-Procurement System) ujulikanao kama TANePS kufanya hivyo kinyume na hapo zitakuwa zimejipotezea nafasi za kutekeleza shughuli za ununuzi.
Hayo yamesemwa na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Mamlaka ya Udhibiti wa Ununuzi wa Umma (PPRA), Balozi Dkt. Matern Lumbanga, wakati wa Ufunguzi wa Baraza la Wafanyakazi wa PPRA, jijini Dodoma.
Balozi Lumbanga...
10 years ago
Michuzitaa za barabarabi zikifanyiwa marekebisho