Tafiti hizi zituzindue Watanzania
Juzi, asasi ya kiraia ya Twaweza kupitia programu yake ya Uwezo, ilitoa ripoti ya utafiti kuhusu uwezo wa stadi za kusoma na kuhesabu kwa wanafunzi wa elimu ya msingi nchini.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Tanzania Daima19 Nov
Tafiti hizi zinaacha maswali kwa wasomi wetu
HISTORIA na kumbukumbu zinaonesha kwamba baadhi ya wasomi waliosimama kidete kupiga ramli za matokeo ya urais mwaka 2005, waliibuka na vyeo vinono baada ya uchaguzi mkuu. Taasisi mbalimbali zinazoheshimika zilielezwa...
10 years ago
Mwananchi04 May
Mwenyezi Mungu utunusuru Watanzania na ajali hizi
11 years ago
Mwananchi03 Feb
Akili hizi Watanzania, kwa hakika zitatupeleka pabaya
9 years ago
MillardAyo05 Jan
Wakenya wataka Watanzania kufungiwa matumizi ya Instagram!! Na hizi ndio sababu zao…
Wakenya wameanza mwaka wa 2016 kwa kuomba Watanzania waondolewe kwenye mtandaoa wa Instagram, mtandao maarufu wa kijamii! Watumiaji wa mtandao huo kutoka Kenya, wanadai Watanzania wamethibitisha kuwa hawawezi kutumia mtandao huo vizuri kutokana na lugha nzito inayotumiwa na Watanzania pamoja na tabia ya baadhi ya Watanzania kupost videos za utupu kwenye mtandao huo. Wakenya wengi […]
The post Wakenya wataka Watanzania kufungiwa matumizi ya Instagram!! Na hizi ndio sababu zao… appeared first...
10 years ago
Vijimambo20 Sep
HIZI NDIO SALAMU ZA MWIGULU KWA WOTE WALIOHUJUMU FEDHA HIZI ZA UMMA
![](https://fbcdn-sphotos-c-a.akamaihd.net/hphotos-ak-xfa1/v/t1.0-9/1907844_296860830516152_1936768200218849652_n.jpg?oh=3a3c6ce546a7a1c5416e1f3681005be1&oe=54CEAEDE&__gda__=1422949262_1d62cb09b57fa35cca6b5f8edd31248b)
Agizo hilo lilitolewa na Naibu Waziri wa Fedha, Mungulu Nchemba, akisema wakuu hao pamoja na waajiri wametumia mwanya wa...
9 years ago
Mwananchi07 Oct
UN: Tafiti za uchaguzi hazijaamua mshindi
10 years ago
Habarileo26 Jun
Costech yapongezwa tafiti za ndani
WAZIRI wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia Profesa Makame Mbarawa amesema Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia (Costech) imefanya kazi kubwa kuhamasisha matumizi ya sayansi na teknolojia nchini na sasa kuna taasisi ambazo zinatengeneza bidhaa ambazo zinasambazwa ndani na nje ya nchi.
10 years ago
Habarileo30 May
Shirikisho lafafanua kuhusu tafiti
SHIRIKISHO la Wanafunzi wa Vyuo vya Elimu ya Juu la Chama Cha Mapinduzi (CCM), limesema baadhi ya tafiti zilizowahi kufanywa na watu mbalimbali kwa kutumia kivuli cha shirikisho hilo, hazikuwa rasmi.
11 years ago
Mwananchi04 Feb
Tafiti sera ya filamu yaiva