Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Shirikisho lafafanua kuhusu tafiti

SHIRIKISHO la Wanafunzi wa Vyuo vya Elimu ya Juu la Chama Cha Mapinduzi (CCM), limesema baadhi ya tafiti zilizowahi kufanywa na watu mbalimbali kwa kutumia kivuli cha shirikisho hilo, hazikuwa rasmi.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Zitto Kabwe, MB

Maoni kuhusu Muungano v Shirikisho

Maoni kuhusu Muungano v Shirikisho

Zitto Kabwe, Mjumbe, BMK

Iwapo Tanzania ni Shirikisho (Federation) au ni Muungano (Union) ni jambo ambalo limekuwa likuzua utata kwa miaka mingi. Hivi sasa katika vikao vya Kamati za Bunge maalumu la Katiba jambo hili limezua mjadala mkubwa ambapo baadhi ya Wajumbe wanapendekeza kuwa neno Shirikisho litoke kwenye sura ya kwanza ya Rasimu ya Katiba na wengine wakipendekeza libakie au hata kuweka wazi kabisa kuwa Tanzania ni Jamhuri ya Shirikisho la...

 

11 years ago

Mwananchi

Nchemba, Polepole watofautiana kuhusu gharama za Shirikisho

Naibu Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba amesema vyanzo vya mapato vilivyopendekezwa katika Rasimu ya Katiba, havitoshi kuendesha Serikali ya shirikisho.

 

10 years ago

Michuzi

JWTZ LAFAFANUA MGOGORO WA ARDHI TONDORONI WILAYANI KISARAWE

Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania linapenda kutoa taarifa kwa wananchi na Vyombo vya Habari kuhusu mgogoro wa eneo la TONDORONI lililopo katika Wilaya ya Kisarawe kama ilivyokaririwa na baadhi ya Vyombo vya Habari hapa nchini.Taarifa zilizotolewa na kukaririwa na baadhi ya Vyombo vya Habari kwamba Wanajeshi wametumia nguvu kuwatoa wananchi eneo la TONDORONI na baadhi yao kudai kupotelewa na mali zao siyo za kweli na ni za kuwapotosha wananchi kwa sababu wananchi hao walitaarifiwa...

 

5 years ago

Michuzi

SHIRIKISHO LA VYAMA VYA WATU WENYE ULEMAVU TANZANIA WAIOMBA SERIKALI KUSAIDIA WATU WENYE UZIWI KUPATA TAARIFA SAHIHI KUHUSU CORONA


Na Said Mwishehe,Michuzi Globu ya jamii

UONGOZI wa Shirikisho la Vyama vya Watu wenye Ulemavu  Tanzania (SHIVYAWATA )lumesema kwamba uwepo wa tishio la virusi vya Corona (COVID-19) nchini umesababisha hofu kubwa kwa watu wenye uziwi kwani imekuwa ngumu kwao kupata maelekezo na miongozo ya Serikali pamoja na Wizara ya Afya,Maendeleo ya Jamii,Jisinsia, Wazee na Watoto.

Umesema kuwa matangazo mengi ambayo yametolewa na Wizara ya Afya yanashindwa kuwafikia watu wenye uziwi kwani hakuna watalaam wa...

 

10 years ago

Mwananchi

UN: Tafiti za uchaguzi hazijaamua mshindi

Zikiwa zimebaki siku 17 kabla ya Uchaguzi Mkuu kufanyika nchini huku kampeni zikiendelea kupamba moto, Umoja wa Mataifa (UN) umesema tafiti zilizofanywa juu ya mbio za urais hazitoshi kutoa picha halisi ya atakayeibuka mshindi.

 

11 years ago

Mwananchi

Tafiti sera ya filamu yaiva

>Shirikisho la Filamu Tanzania TAFF, pamoja na vyama vingine vinane  vinavyounda umoja huo jana wamewasilisha utafiti  wa sera ya filamu nchini kwa Wizara ya Habari, Vijana, Michezo na Utamaduni.

 

10 years ago

Mwananchi

Tafiti hizi zituzindue Watanzania

Juzi, asasi ya kiraia ya Twaweza kupitia programu yake ya Uwezo, ilitoa ripoti ya utafiti kuhusu uwezo wa stadi za kusoma na kuhesabu kwa wanafunzi wa elimu ya msingi nchini.

 

10 years ago

Habarileo

Costech yapongezwa tafiti za ndani

Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia Profesa Makame MbarawaWAZIRI wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia Profesa Makame Mbarawa amesema Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia (Costech) imefanya kazi kubwa kuhamasisha matumizi ya sayansi na teknolojia nchini na sasa kuna taasisi ambazo zinatengeneza bidhaa ambazo zinasambazwa ndani na nje ya nchi.

 

10 years ago

Habarileo

Morogoro wataka kunufaika na tafiti za IHI

Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Dk Rajab Rutengwe.MKOA wa Morogoro umesema upo tayari kuangalia namna ya kushirikiana na Taasisi ya Afya Ifakara (IHI) katika utafiti wao wa udhibiti wa malaria, kifua kikuu pamoja na virusi wa Ukimwi na Ukimwi (HIV).

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani