Tahliso yacharukia wanasiasa
JUMUIYA ya Vyuo Vikuu Tanzania (Tahliso), imekemea vikali tabia ya baadhi ya wanasiasa nchini kutumia Serikali za wanafunzi wa vyuo hivyo kutoa matamko ya kuwaunga mkono katika hatakati zao za...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima26 Jan
Mwenyekiti TAHLISO awaonya wanasiasa
MWENYEKITI wa Jumuiya ya Wanafunzi wa Taaluma za Juu Tanzania (TAHLISO), Musa Mdede, amesema atahakikisha jumuiya hiyo inakaa mbali na masuala ya siasa ili kukabiliana na changamoto zilizomo vyuoni. Alisema...
11 years ago
Uhuru Newspaper![](http://1.bp.blogspot.com/-HoiDhXkw8vE/U61TYTl28oI/AAAAAAAABRI/-V_cUsJpZ4U/s72-c/Kamani.jpg)
Serikali yacharukia viwanda vya nyavu
WAZIRI wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi, Dk. Titus Kamani, amesema viwanda vyote vinavyotengeneza nyavu haramu zinazotumika katika shughuli za uvuvi vitachukuliwa hatua za kisheria.
![](http://1.bp.blogspot.com/-HoiDhXkw8vE/U61TYTl28oI/AAAAAAAABRI/-V_cUsJpZ4U/s1600/Kamani.jpg)
Dk. Kamani amesema hatua hizo pia zitachukuliwa kwa wafanyabiashara wanaouza nyavu hizo na wale wanaozinunua na kuzitumia katika uvuvi kwa vile kufanya hivyo ni kosa kisheria.
Alikuwa akijibu swali la nyongeza la Jasson Rweikiza (Bukoba Vijijini-CCM), aliyetaka kujua kwa nini serikali inashindwa kuwachukulia...
11 years ago
Dewji Blog21 Jul
Wizara yacharukia Uvuvi Haramu Igunga
Na Mwandishi wetu
Wizara ya Mifugo na Uvuvi kanda ya kati imewaagiza watu wote wanaojishughulisha na uvuvi haramu kwenye bwawa la Mwanzugi,lililopo katika Kijiji cha Mwanzugi,wilaya ya Igunga,Mkoani Tabora usiofuata taratibu zilizowekwa waache mara moja na kwamba endapo wataendelea kukaidi amri hiyo halali hatua kali na za kisheria zitachukuliwa dhidi yao.
Afisa Uvuvi Mfawidhi na uvunaji wa viumbe hai Kanda ya kati,Bwana Renatus Charles Karumbeta alisema hayo katika mahojiano maalumu na...
9 years ago
Habarileo12 Dec
Tahliso wamkubali Magufuli
SHIRIKISHO la Wanafunzi wa Vyuo Vikuu (Tahliso) wamepongeza hatua ya Serikali ya Rais John Magufuli kuongeza idadi ya wanafunzi ambao wamepata mikopo ya elimu ya juu kutoka wanafunzi 34,128 mwaka jana hadi kufikia wanafunzi 53,032 mwaka huu.
10 years ago
Mwananchi18 Aug
Tahliso wasisitiza kuandamana
10 years ago
TheCitizen14 Sep
Tahliso: End CA sessions
10 years ago
Habarileo16 Dec
‘Wasaka urais iacheni Tahliso’
UMOJA wa Wanafunzi wa Taasisi za Elimu ya Juu Tanzania (TAHLISO), umesema haupo tayari kuona unaingiliwa na wanasiasa kwa ajili ya kutaka waungwe mkono kuelekea katika uchaguzi mkuu wa urais wa mwaka 2015.
11 years ago
Tanzania Daima08 Apr
Tahliso kujadili rasimu ya Katiba
JUMUIYA ya Wanafunzi wa Vyuo vya Juu nchini (Tahliso) inatarajia kufanya mkutano mwishoni mwa Aprili jijini Dar es Salaam kujadili mambo mbalimbali ikiwemo masuala yahusuyo rasimu ya pili ya Katiba....
10 years ago
Habarileo21 Dec
Tahliso yakerwa kuingiliwa kisiasa
UONGOZI mpya wa Umoja wa Wanafunzi wa Vyuo vya Elimu ya Juu (Tahliso), umekerwa na mgogoro uliopo katika taasisi hiyo ambao umesababishwa na uongozi uliopita kuingiza itikadi za kisiasa ndani ya umoja huo.