Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TAIFA STARS KUWASILI LEO, PONGEZI ZAMIMINIKA

Kikosi cha Taifa Stars ambacho jana (Juni 1 mwaka huu) kiliitupa Zimbabwe (Mighty Warriors) nje ya michuano ya Afrika baada ya kutoka sare ya mabao 2-2 kinarejea nchini leo (Juni 2 mwaka huu) kutoka Harare.
Taifa Stars inayodhaminiwa na Kilimanjaro Premium Lager itatua Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) jijini Dar es Salaam saa 12.30 jioni kwa ndege ya Kenya Airways ikitokea Harare kupitia Nairobi.
Stars imefuzu kucheza raundi inayofuata kwa ushindi wa jumla ya mabao...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

STARS YAWASILI DAR, PONGEZI ZAMIMINIKA

Kocha wa Taifa Stars, Martinus Ignatius "Mart" Nooij akiwasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) jijini Dar . Amri Kiemba na Kelvin Yondani wakiwasili.…

 

11 years ago

Michuzi

Taifa Stars yatakata Uwanja wa Taifa leo,Yaitungua Bao 4-1 Benin

Mshambuliaji wa timu ya Taifa Stars,Juma Luizio akiipachikia bao nne timu yake katika mtangange wa kikataifa wa kirafiki dhidi ya Benin,uliomalizika hivi punde katika uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.Taifa Stars imeshinda 4-1 dhidi ya Benin. Wachezaji wa Taifa Stars,wakishangilia ushindi wao huku wakiwaacha wapinzani wao wa Benin wakiwa hoi tena wakiwa hawaamini wanachokiona uwanjani hapo. Washabiki wa Taifa stars wakiisapoti vilivyo timu yao. Ubao wa ulionyesha hivi kabla jamaa...

 

11 years ago

Mwananchi

Taifa Stars kusafisha nyota leo?

Taifa Stars inahitaji kusafisha nyota leo mbele ya mashabiki wa soka mkoani Mbeya na Tanzania kwa ujumla kwa kuitandika Malawi ‘The Flame’ katika mchezo wa kimataifa wa kirafiki utakaochezwa kwenye Uwanja wa Sokoine jijini hapa

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wachezaji Taifa Stars kuripoti kambini leo

TIMU ya soka ya Tanzania, Taifa Stars,’ leo inatarajiwa kuingia kambini leo kujiandaa na mechi ya kirafiki ya kimataifa dhidi ya Burundi itakayopigwa Septemba 7, mjini Bujumbura, Burundi. Kwa mujibu...

 

10 years ago

BBCSwahili

Taifa Stars kurejea leo toka Uturuki

Timu ya Taifa ya Tanzania Taifa Stars kurejea kutoka Uturuki walikokuwa wamepiga kambi

 

9 years ago

GPL

STARS YATOKA SARE YA BAO 2-2 NA ALGERIA LEO TAIFA

Wachezaji wa Timu ya taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ wakishangilia moja ya bao. Mashabiki wakishangilia. Mbwana Samatta akishangilia goli lake alilofunga dhidi ya Algeria. Timu ya taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ imeeshindwa kuchomoza  na ushindi baada ya kulazimishwa sare ya kufungana magoli 2-2 dhidi ya timu ya taifa ya Algeria kwenye mchezo wa kwanza wa kuwania nafasi ya kupangwa kwenye makundi kwa ajili ya kuwania...

 

9 years ago

GPL

TAIFA STARS YAENDELEA NA MAZOEZI AFRIKA KUSINI LEO

Kutoka kushoto, Ibrahim Ajib , Jonas Mkude na Said Ndemla (nyuma yao) wakiwa katika mazoezi ya kikosi cha timu ya taifa, Taifa Stars leo kwenye Uwanja wa Edenvale kwenye kitongoji cha Edenvale jijini Johannesburg, Afrika Kusini.. Beki wa kati wa Stars, Hassan Isihaka (kulia) akijiandaa kumpiga chenga kiungo wa  timu hiyo, Mudathir Yahaya. Kocha wa makipa wa Stars, Manyika Peter… ...

 

11 years ago

Michuzi

TAIFA STARS YAICHAPA ZIMBABWE BAO 1-0 LEO DAR ES SALAAM

Mshambuliaji wa Taifa Stars , Mbwana Samatta (juu) akikwepa kwanja wakati akijaribu kumtoka beki wa timu ya Taifa ya Zimbabwe, katika mchezo wa kwanza wa mchujo kuwania kupangwa kwenye makundi ya kuwania tiketi ya kucheza Fainali za Mataifa ya Afrika 2015 zinazotarajia kufanyika nchini Morocco, wakati wa mtanange huo uliopigwa kwenye uwanja wa Taifa, jijini Dar es Salaam. Katika mchezo huo Taifa Stars, ilishinda bao 1-0.  ***********************************************  Na Sufianimafoto,...

 

10 years ago

Michuzi

TAIFA STARS YATOSHANA NGUVU NA MALAWI, JIJINI MWANZA LEO

Viongozi mbali mbali pamoja na Timu zote mbili wakiwa wamesimama kwa dakika chache kumkmbuka Kiongozi wa mpira wa Miguu, Aliyetangulia mbele ya haki, Kocha wa zamani wa Timu ya Taifa Star, Marehemu Sylvester Marsh aliyefariki dunia hivi karibuni katika Hospitali ya Muhimbili na kuzikwa Mjini Mwanza.Wachezaji wa Malawi wakipongezana baada ya kupata bao la mapema dakika ya tatu kupitia kwa Esau Kanyenda kwa kufanya 1-0.Mshambuliaji wa Timu ya Taifa "Taifa Stars", Thomas Ulimwengu akitafuna...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani