Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Taifa Stars majanga tupu Sauzi

Dar es Salaam. Majanga! Hiyo ndiyo lugha rahisi unayoweza kuelezea   baada ya timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ kupokea kipigo cha  mabao 2-0 kutoka kwa Madagascar na kufuta matumaini yake ya kufuzu kwa robo fainali ya Kombe la Cosafa.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Habarileo

Taifa Stars kujipima Sauzi

KIKOSI cha timu ya taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ kinachodhaminiwa na bia ya Kilimanjaro Premium Lager, Jumapili kinatarajiwa kucheza mchezo wa kirafiki na timu ya University of Pretoria (Tucks FC) jijini Johannesburg ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya mchezo dhidi ya Algeria Novemba 14, mwaka huu.

 

10 years ago

Mwananchi

NATOA HOJA : Taifa Stars majanga, halafu tumeitia janga

Mwishoni mwa wiki iliyopita, nilisikia habari kuwa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), limepitisha utaratibu wa klabu za Ligi Kuu kusajili wachezaji saba wa kigeni kwa ajili ya kuchezea klabu hizo.

 

10 years ago

GPL

MAFURIKO DAR BADO NI MAJANGA TUPU!

Baadhi ya wananchi wakivushwa kwa kushikwa mkono katika eneo la Afrika Sana jijini Dar. Kushoto ni kijana anayemvusha mtu kwa kumshika mkono ambapo hutoza kiasi cha shilingi mia mbili. Wananchi wakionekana kupata adha ya kupita katika mafuriko eneo la Chuo Cha Ustawi wa Jamii Kijitonyama.…

 

10 years ago

Michuzi

STARS YAENDELEA KUJIFUA SAUZI....

Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) imeendelea na mazoezi katika uwanja wa Olympia Park kujiandaa na mchezo wa fungua dimba dhidi ya timu ya Taifa ya Swaziland.
Kocha mkuu wa timu ya Taifa Stars Mart Nooij amesema vijana wake wanaendelea vizuri na mazoezi, ikiwa leo ni siku ya pili kufanya mazoezi baada ya kufanya mazoezi ya kwanza jana jioni.
Nooii amesema japokuwa kuna hali ya hewa ya baridi katika mji wa Rustenburg, wachezaji wake wameanza kuizoea na kusema kwa kuwa bado kuna zaidi ya...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Stars mpya majanga

TIMU ya soka ya Tanzania, Taifa Stars, jana ilitibua furaha ya sherehe za Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, baada ya kuchapwa mabao 3-0 na Burundi katika mechi ya kirafiki iliyopigwa...

 

11 years ago

Mwananchi

UMAKINI: Mabeki Stars majanga

>Taifa Stars inakabiliwa na mchezo mgumu wa marudiano dhidi ya Msumbiji utakaochezwa ugenini kati ya  Agosti 3 au 4, lakini  bado safu ya ulinzi imeendelea kuwa majanga.

 

10 years ago

Raia Mwema

Wawania urais kufuru tupu, wamenajisi roho ya taifa

TUSIDANGANYANE; wawania urais 42 kwenye kinyang’anyiro hicho ni wengi mno kwa kigezo chochote kwa

Joseph Mihangwa

 

11 years ago

Michuzi

KOCHA MPYA WA TAIFA STARS AONGEZA WACHEZAJI TISA STARS

Kocha mpya wa Taifa Stars, Mart Nooij ameongeza wachezaji tisa katika kikosi hicho kinachojiandaa kwa mechi ya kirafiki dhidi ya Malawi (The Flames) itakayochezwa Mei 4 mwaka huu katika Uwanja wa Sokoine jijini Mbeya.
Wachezaji walioongezwa ni Edward Charles Manyama (JKT Ruvu), Elias Maguli (Ruvu Shooting), Hassan Dilunga (Yanga), Hussein Javu (Yanga), John Bocco (Azam), Kelvin Friday (Azam), Oscar Joshua (Yanga), Nadir Haroub (Yanga) na Shomari Kapombe (AC Cannes, Ufaransa).
Naye beki...

 

10 years ago

Michuzi

Taifa Stars yatakata Uwanja wa Taifa leo,Yaitungua Bao 4-1 Benin

Mshambuliaji wa timu ya Taifa Stars,Juma Luizio akiipachikia bao nne timu yake katika mtangange wa kikataifa wa kirafiki dhidi ya Benin,uliomalizika hivi punde katika uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.Taifa Stars imeshinda 4-1 dhidi ya Benin. Wachezaji wa Taifa Stars,wakishangilia ushindi wao huku wakiwaacha wapinzani wao wa Benin wakiwa hoi tena wakiwa hawaamini wanachokiona uwanjani hapo. Washabiki wa Taifa stars wakiisapoti vilivyo timu yao. Ubao wa ulionyesha hivi kabla jamaa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani