Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Tambwe apiga dakika 1373 Simba SC

Mshambuliaji wa Simba SC, Amis Tambwe. Na Khadija Mngwai
MSHAMBULIAJI wa Simba, Amissi Tambwe, raia wa Burundi, ndiye mchezaji pekee wa Simba aliyecheza dakika nyingi katika msimu mzima kwa kucheza dakika 1373. Wachezaji wa…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

Kazimoto apiga dakika 990 Qatar

Mwinyi Kazimoto. Na Mwandishi Wetu
KIUNGO nyota wa Al Markhiya inayoshiriki Ligi Daraja la Kwanza nchini Qatar, Mwinyi Kazimoto ameweka rekodi ya kucheza mechi 11 zote kwa dakika 90. Kazimoto aliyetokea Simba na kujiunga na Al Markhiya, ameweka rekodi hiyo baada ya kupiga mechi hizo 11, kimahesabu, amepiga dakika 990. Kutokana na mwendo huo, Kazimoto ameisaidia timu yake kushinda mechi tatu mfululizo na sasa iko katika nafasi...

 

10 years ago

Vijimambo

10 years ago

GPL

EPL: SADIO MANE APIGA HAT-TRICK KWA DAKIKA TATU, AWEKA REKODI

Mshambuliaji wa Southampton na raia wa Senegal, Sadio Mane (kushoto) akifunga bao lake la kwanza dakika ya 12 kipindi cha kwanza dhidi ya Aston Villa leo katika Uwanja wa St. Mary's Stadium.
...Mane akifunga bao lake la pili dakika ya 13 kipindi cha kwanza.…

 

10 years ago

Vijimambo

AUNGURUMAPO SIMBA MCHEZA NANI DAKIKA 90 SIMBA 1 YANGA 0

 Timu ya Yanga imeendeleza uteja tena leo katika mchezo wa wahasimu hao uliochezwa uwanja wa taifa leo baada ya timu ya Simba kuibamiza Yanga goli 1 bila majibu goli lililofungwa na Emmanuel Okwi mchezaji aliyeikimbia timu hiyo yenye masikani yake Jangwani katika dakika ya 52. Wachezaji wa Simba na Yanga wakiwa katika mpambano.Mchezaji Simon Msuva akijaribu kufanya mashambulizi goli mwa Simba shuti lake halikuweza kuleta madhara yeyote mpaka dakika 90 Simba 1 na Yanga 0. Picha kwa hisani ya...

 

11 years ago

GPL

TAMBWE BYEBYE SIMBA SC

Mshambuliaji Hamis Tambwe akishangilia. Na Martha Mboma
MSHAMBULIAJI wa kimataifa wa Simba, Mrundi Amissi Tambwe, anawaniwa na timu kutoka nchi za Oman, Msumbiji kwa ajili ya kwenda kuzitumikia katika ligi za nchi hizo ingawa haijatajwa, timu gani inahitaji saini ya straika huyo.…

 

11 years ago

Tanzania Daima

Simba yawazuia Tambwe, Kwizera

UONGOZI wa Klabu ya Simba, umewazuia nyota wake wa Kimataifa kutoka Burundi, Amis Tambwe na Pierre Kwizera kwenda kwao kujiunga na timu ya taifa inajiandaa na mechi ya kirafiki dhidi...

 

11 years ago

TheCitizen

Tambwe saves Simba blushes

Simba SC climbed to the third place yesterday after playing out a one-all draw against Mtibwa Sugar in a rather dull Vodacom Premier League match.

 

10 years ago

GPL

TFF wawakutanisha Tambwe, Simba

Straika wa Yanga, Amissi Tambwe. Na Nicodemus Jonas,Dar es Salaam
MALIPO ya straika wa Yanga, Amissi Tambwe ambayo anaidai Simba, yanazidi kupigwa danadana, hiyo ni baada ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kuzitaka pande hizo mbili kukutana na kumalizana. Tambwe anaidai Simba dola 11,000 ambazo ni malipo ya kuvunjwa kwa mkataba wake wakati alipokuwa akiitumikia timu hiyo kabla ya kutua Yanga, Simba pia inadaiwa na Pierre...

 

11 years ago

TheCitizen

Tambwe signals Simba SC exit

Simba SC must start preparing for life without Amis Tambwe after the Burundian goal-getter dropped a bombshell by signalling his exit.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani