Kazimoto apiga dakika 990 Qatar
![](http://api.ning.com:80/files/n7ZUxQJY0YvrKGbt9eUseLThP7WaVPOz-b8hIqXBOaFmeXquc55zooOoZtveDKHg2BlO9Y5PjYgfAeC-DBxNPwHI9palahzP/MWINYI.jpg)
Mwinyi Kazimoto. Na Mwandishi Wetu KIUNGO nyota wa Al Markhiya inayoshiriki Ligi Daraja la Kwanza nchini Qatar, Mwinyi Kazimoto ameweka rekodi ya kucheza mechi 11 zote kwa dakika 90. Kazimoto aliyetokea Simba na kujiunga na Al Markhiya, ameweka rekodi hiyo baada ya kupiga mechi hizo 11, kimahesabu, amepiga dakika 990. Kutokana na mwendo huo, Kazimoto ameisaidia timu yake kushinda mechi tatu mfululizo na sasa iko katika nafasi...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi29 Dec
Kazimoto anavyoikubali Qatar kuandaa Kombe la Dunia 2022
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Akn4LDwu9Xx42LuHUPPN4kHhCtTpmpJF1MskViQ3VBSgn1yWizfMz99MewdXiTh*AF93Ab9T6ikhScUFRi4OxONa1UotqJA6/bado2.jpg?width=650)
Bado mbili Kazimoto apande Ligi Kuu Qatar
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/XewtWaR3V6YfrdAE2a8owWCjVxs-pdKEEW5xFfshu0d0QHQORFKRCyie630KRIOoUUFNsRlFn3uC6-NqS2DF3uRRB2HWicSg/tambwe.jpg?width=650)
Tambwe apiga dakika 1373 Simba SC
10 years ago
Vijimambo![](http://2.bp.blogspot.com/-LNaUf5TOgu0/UyBHA4w7QgI/AAAAAAAAXTU/AEUH04tf2t0/s72-c/WWW.MATEJA20.BLOGSPOT.COM+..YANGA+VS+MBEYA+CITY+(5).jpg)
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/0gGC4ZQuxjM0nMJUsGBxP1LsO7KzPubJktbUT3O2RVTJSR*QPVr1zqM9zCWYwy4ZhOgZFa0aoAZa6sBERqKGMHFd4aoA60px/28BEB6C6000005783084365Alan_Hutton_is_helpless_as_Mane_slots_in_his_first_of_the_day_wia8_1431789411091.jpg?width=650)
EPL: SADIO MANE APIGA HAT-TRICK KWA DAKIKA TATU, AWEKA REKODI
10 years ago
Dewji Blog23 Dec
Pinda akutana na kiongozi wa kampuni ya gesi ya Qatar na kutembelea eneo la ujenzi wa bandari mpya ya Qatar.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Bw. Otty Msuku ambaye ni Mtanzania , Mtalaamu wa upimaji ardhi katika mradi wa ujenzi wa bandari mpya ya Qatar wakati alipotembelea eneo la ujenzi wa bandari hiyo akiwa katika ziara ya kikazi nchini humo Desemba 22, 2014. Katikati ni Mkurugenzi mwendeshaji wa Mradi huo, Don Morrison. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akikaribishwa na Naibu Mkurugenzi Mkuu wa Mradi wa Mradi wa ujenzi wa bandari mpya ya Qatar, Bw. Yusuf...
10 years ago
BBCSwahili21 May
Qatar 2022: Qatar yapinga madai ya Amnesty
9 years ago
Mwananchi30 Aug
Mpeni muda kocha Simba itatisha-Kazimoto
11 years ago
Mwananchi17 Jul
Kazimoto kutua leo, Samata, Ulimwengu ndani ya Taifa Stars