Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Tambwe, Mliberia waingia vitani Yanga

MSHAMBULIAJI mpya wa Yanga, Mliberia, Kpah Sherman, Na Wilbert Molandi
WASHAMBULIAJI wapya wa Yanga, Mrundi, Amissi Tambwe na Mliberia, Kpah Sherman, wameanza kuonyeshana mavituzi katika mazoezi ya timu hiyo. Nyota hao wote walijiunga na kikosi hicho hivi karibuni katika usajili wa dirisha dogo, Tambwe yeye alisaini mkataba wa mwaka mmoja na Sherman miaka miwili. Katika mazoezi ya timu hiyo yanayoendelea kwenye Uwanja wa...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Samatta, Msuva waingia vitani

Wanasoka walio kwenye chati ya soka nchini hivi sasa, Mbwana Samatta na Simon Msuva ni miongoni mwa wachezaji wanaopewa nafasi kubwa kutwaa tuzo ya Mwanasoka Bora wa mwaka nchini iliyoandaliwa na mtandao wa kimataifa wa Goal.com.

 

10 years ago

Vijimambo

SIMBA YAMSHITAKI MLIBERIA WA YANGA

Mshambuliaji mpya wa Yanga, Kpah Sherman.
Na Mwandishi WetuYANGA inatarajiwa kujitupa uwanjani keshokutwa Jumapili kukipiga dhidi ya Azam FC katika mechi ya Ligi Kuu Bara, lakini upande wa pili ni kuwa wapinzani wa Wanajangwani hao wanajiandaa kumshitaki mshambuliaji mpya wa Yanga, Kpah Sherman raia wa Liberia ambaye anatuhumiwa kutoroka kazini nchini Cyprus.
Awali gazeti hili liliripoti juu ya straika huyo ambaye amekuwa kipenzi cha mashabiki wengi wa Yanga ndani ya muda mfupi na sasa Simba...

 

10 years ago

Vijimambo

MLIBERIA WA YANGA ANATAFUTWA ULAYA

Hapa ni magoli yake akiwa na timu yake ya huko Cyprus kabla ya kutua Yanga ya jiji Dar-Es-Salaama.

Mshambuliaji hatari wa Simba, Kpah Sherman.
Na Saleh AllyWAKATI Yanga ikiwa katika maandalizi ya mwisho kuwavaa Azam FC katika mechi ya Ligi Kuu Bara, jambo jipya limeibuka kuwa yule mshambuliaji wake hatari, Kpah Sherman raia wa Liberia, anatuhumiwa kutoroka kazini nchini Cyprus.
Taarifa kutoka Cyprus barani Ulaya kwa mmoja wa Watanzania wanaoishi nchini humo zimeeleza vyombo vya habari nchini...

 

10 years ago

Mwananchi

Mliberia atua Yanga, akubali changamoto

Mshambuliaji mpya wa Yanga, Kpah Sherman ametua rasmi jana na kusema yuko tayari kwa changamoto za soka la Tanzania.

 

10 years ago

GPL

WAZUNGU WASEMA Mliberia Yanga anatafutwa Ulaya

Mshambuliaji hatari wa Simba, Kpah Sherman. Na Saleh Ally
WAKATI Yanga ikiwa katika maandalizi ya mwisho kuwavaa Azam FC katika mechi ya Ligi Kuu Bara, jambo jipya limeibuka kuwa yule mshambuliaji wake hatari, Kpah Sherman raia wa Liberia, anatuhumiwa kutoroka kazini nchini Cyprus. Taarifa kutoka Cyprus barani Ulaya kwa mmoja wa Watanzania wanaoishi nchini humo zimeeleza vyombo vya habari nchini humo, vimeripoti kuwa Mliberia...

 

11 years ago

Mwananchi

Azam FC, Yanga vitani

>Mabingwa watetezi wa Bara, Yanga na vinara wa Ligi Kuu, Azam leo wataendeleza mbio zao za kusaka ubingwa wakati watakapozikabili Prisons ya Mbeya na Mgambo Shooting ya Tanga kwenye viwanja tofauti.

 

9 years ago

Habarileo

Yanga, Mgambo vitani

MABINGWA wa soka Tanzania Bara, Yanga leo wanaingia kambini Bagamoyo kujiandaa kwa ajili ya mchezo dhidi ya Mgambo Shooting ya Tanga katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara utakaofanyika Jumamosi kwenye Uwanja wa Mkwakwani.

 

11 years ago

Mwananchi

Yanga, Mbeya City vitani

>Mabingwa watetezi Yanga baada ya kutoka sare mara mbili mfululizo leo watashuka kwenye Uwanja wa Ali Hassan Mwinyi kuwakabili Rhino Rangers kwa lengo moja tu la kusaka ushindi ili kuendelea kuipa  presha Azam FC kileleni wa Ligi Kuu Bara

 

9 years ago

Habarileo

Azam, Yanga, Simba vitani

LEO ni vita ya namba. Baada ya mapumziko ya mwezi mmoja michuano ya Ligi Kuu Tanzania Bara itaendelea kutimua vumbi katika viwanja sita tofauti, huku Simba, Azam FC na Yanga kila moja ikiingia katika vita ya namba kusaka pointi tatu muhimu.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani