Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WAZUNGU WASEMA Mliberia Yanga anatafutwa Ulaya

Mshambuliaji hatari wa Simba, Kpah Sherman. Na Saleh Ally
WAKATI Yanga ikiwa katika maandalizi ya mwisho kuwavaa Azam FC katika mechi ya Ligi Kuu Bara, jambo jipya limeibuka kuwa yule mshambuliaji wake hatari, Kpah Sherman raia wa Liberia, anatuhumiwa kutoroka kazini nchini Cyprus. Taarifa kutoka Cyprus barani Ulaya kwa mmoja wa Watanzania wanaoishi nchini humo zimeeleza vyombo vya habari nchini humo, vimeripoti kuwa Mliberia...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

MLIBERIA WA YANGA ANATAFUTWA ULAYA

Hapa ni magoli yake akiwa na timu yake ya huko Cyprus kabla ya kutua Yanga ya jiji Dar-Es-Salaama.

Mshambuliaji hatari wa Simba, Kpah Sherman.
Na Saleh AllyWAKATI Yanga ikiwa katika maandalizi ya mwisho kuwavaa Azam FC katika mechi ya Ligi Kuu Bara, jambo jipya limeibuka kuwa yule mshambuliaji wake hatari, Kpah Sherman raia wa Liberia, anatuhumiwa kutoroka kazini nchini Cyprus.
Taarifa kutoka Cyprus barani Ulaya kwa mmoja wa Watanzania wanaoishi nchini humo zimeeleza vyombo vya habari nchini...

 

10 years ago

Vijimambo

SIMBA YAMSHITAKI MLIBERIA WA YANGA

Mshambuliaji mpya wa Yanga, Kpah Sherman.
Na Mwandishi WetuYANGA inatarajiwa kujitupa uwanjani keshokutwa Jumapili kukipiga dhidi ya Azam FC katika mechi ya Ligi Kuu Bara, lakini upande wa pili ni kuwa wapinzani wa Wanajangwani hao wanajiandaa kumshitaki mshambuliaji mpya wa Yanga, Kpah Sherman raia wa Liberia ambaye anatuhumiwa kutoroka kazini nchini Cyprus.
Awali gazeti hili liliripoti juu ya straika huyo ambaye amekuwa kipenzi cha mashabiki wengi wa Yanga ndani ya muda mfupi na sasa Simba...

 

10 years ago

GPL

Tambwe, Mliberia waingia vitani Yanga

MSHAMBULIAJI mpya wa Yanga, Mliberia, Kpah Sherman, Na Wilbert Molandi
WASHAMBULIAJI wapya wa Yanga, Mrundi, Amissi Tambwe na Mliberia, Kpah Sherman, wameanza kuonyeshana mavituzi katika mazoezi ya timu hiyo. Nyota hao wote walijiunga na kikosi hicho hivi karibuni katika usajili wa dirisha dogo, Tambwe yeye alisaini mkataba wa mwaka mmoja na Sherman miaka miwili. Katika mazoezi ya timu hiyo yanayoendelea kwenye Uwanja wa...

 

10 years ago

Mwananchi

Mliberia atua Yanga, akubali changamoto

Mshambuliaji mpya wa Yanga, Kpah Sherman ametua rasmi jana na kusema yuko tayari kwa changamoto za soka la Tanzania.

 

10 years ago

Vijimambo

UONGOZI WA YANGA WASEMA HAWANA MPANGO WA KUWANUNULIA WACHEZAJI NYUMBA, MAGARI

 Mkuu wa Idara ya Sheria wa Klabu ya Yanga, Frank Chacha akionyesha gazeti lililoandika habari za kununuliwa nyumba na magari kwa wachezaji wa timu hiyo. (Picha na Francis Dande) Msemaji wa Yanga, Jerry Muro akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam, wakati akikanusha taarifa zilizoripotiwa na baadhi ya vyombo vya habari kuhusu kununuliwa nyumba kwa wachezaji wa timu hiyo.

 

10 years ago

Mwananchi

Yanga SC kusaka makali Ulaya

Mabingwa wa soka Tanzania Bara, Yanga wanajiandaa kwenda Ureno ambako wataweka kambi ya maandalizi ya mashindano ya klabu bingwa Afrika Mashariki na Kati (Kombe la Kagame), Ligi Kuu Tanzania Bara na ile ya Mabingwa Afrika.

 

11 years ago

Mwananchi

Mliberia adakwa na Heroine JNIA

>Raia wa Liberia, Deocntee Togbah amekamatwa katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA), Dar es Salaam akiwa na kilo moja ya dawa za kulevya aina ya Heroine.

 

11 years ago

Michuzi

ANATAFUTWA NA NDUGU ZAKE

Salaam aleikum Ankal na timu nzima ya Globu ya Jamii,
Msaada tutani Ankal, kuna anko wetu amepotea (pichani hapo). jina lake Amir Husein Binyaga ni mkazi wa Kiluvya amewahi kuishi Tanga majani mapana ana umri wa miaka 56 alipotea tangu tarehe 15/05/2014 saa 12 asubuhi hadi leo familia bado inamtafuta taarifa zipo kituo cha Polisi Kibaha, maili moja. Taarifa zozote tutapokea kupitia namba 0754322317 0754273711,0653768329,0718260177.
Shukrani.

 

9 years ago

MillardAyo

TOP 5 Stories: Samatta kapata timu Ulaya, Majabvi kamalizana na Simba, anayefifisha nyota ya Niyonzima Yanga …

Mtu wangu wa nguvu najua unashauku ya kutaka kufahamu leo December 23 kuna stori gani katika headlines za soka la Bongo. Huenda ukawa hukupata bahati ya kusoma stori za michezo za magazeti ya leo December 23. Mtu wangu wa nguvu naomba nikusogezee headlines 5 za stori za magazeti ya michezo ya Tanzania. 5- Majabvi amalizana […]

The post TOP 5 Stories: Samatta kapata timu Ulaya, Majabvi kamalizana na Simba, anayefifisha nyota ya Niyonzima Yanga … appeared first on TZA_MillardAyo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani