Tambwe, Niyonzima ‘wazuiwa’ Botswana
Andrey Coutinho ana bahati, hivyo ndivyo unavyoweza kusema baada ya Amissi Tambwe, Kpah Sherman, Haruna Niyonzima na Mbuyu Twite kuzuiwa kwa saa moja kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Seretse Khama, mjini Gaborone, Botswana.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi07 Mar
Waandishi wa habari wazuiwa
9 years ago
Habarileo18 Dec
Ufisadi bil.5.7/- wazuiwa
MKUU wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda (pichani) ameamuru kusitishwa mara moja malipo yanayofanywa kwa makandarasi waliojenga barabara tano za ndani ya wilaya hiyo.
10 years ago
Habarileo29 Jun
Wahamiaji haramu 50 wazuiwa kujiandikisha
ZAIDI ya wahamiaji haramu 50 wanaoishi katika kijiji cha Tamau wilayani Bunda, mkoani Mara, akiwemo mwenyekiti wa kijiji hicho wamezuiwa kujiandikisha kwenye daftari hilo.
11 years ago
BBCSwahili24 Jun
Ujenzi wa barabara Serengeti wazuiwa
11 years ago
BBCSwahili22 Jan
Usajili wa Okwi wazuiwa Yanga
11 years ago
GPLUSAJILI WA OKWI YANGA WAZUIWA
11 years ago
Habarileo21 May
Wawakilishi wazuiwa kujadili Katiba
SPIKA wa Baraza la Wawakilishi, Pandu Ameir Kificho amepiga marufuku mijadala ya Bunge la Katiba, kuzungumzwa katika vikao vya Baraza la Wawakilishi.
10 years ago
Habarileo06 Dec
Waandishi wazuiwa kesi ya IPTL
KATIKA hali ya kushangaza, Mahakama Kuu, Kitengo cha Biashara imewazuia waandishi wa habari kuingia mahakamani kusikiliza maombi ya kampuni ya Pan Africa Power Solutions (PAP) na Kampuni ya Independent Power Tanzania (IPTL) kwa Bodi ya Rufaa ya Kodi nchini, kutaka Kamishna Mkuu wa TRA akamatwe na kupelekwa gerezani.
9 years ago
BBCSwahili04 Oct
Wapalestina wazuiwa kuinga Jerusalem