Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TANDAHIMBA KUVUNA ZAIDI YA TANI MIA NANE YA ZAO LA UFUTA KWA MSIMU HUU,

Mkuu wa Wilaya ya Tandahimba Sebastian Waryuba amesema wanatarajia kupata zaidi ya tani Mia nane ya zao la ufuta kwa msimu huu 2020

Ameyasema hayo alipotembelea shamba la mkulima  Hassan Chipyangu (udede) ambalo lipo katika kata ya Michenjele

"Msimu huu tunatarajia kupata zaidi zao la ufuta baada ya mwitikio wa  wakulima kulima zao hilo hapo awali wakulima walielekeza nguvu zao kwenye zao mo ja lakini Sasa wanafunguka kwa kulima mazao mengine,"amesema Waryuba

Aidha amewataka wakulima...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Mavuno zao la tumbaku kuporomoka msimu huu

Mavuno ya zao la Tumbaku mkoani Tabora kwa msimu huu huenda yakashuka ikilinganishwa na msimu uliopita wa 2013/2014.

 

10 years ago

Mwananchi

Elimu duni yakwaza kilimo cha ufuta Tandahimba

Baada ya kupata mafanikio ya wastani katika kilimo cha ufuta, wakulima wa zao hilo, ambao wengi ni wale wanaohama makazi yao kwa muda kutoka Wilaya ya Tandahimba, Mtwara kwenda Lindi kwa ajili ya zao hilo, sasa wanalilia elimu ili waweze kupata mafanikio makubwa zaid

 

10 years ago

Mwananchi

Zao la ufuta limeanza kufuta umaskini kwa wakulima vijijini

Nimeingia katika Kijiji cha Erri, Tarafa ya Mbugwe Wilaya ya Babati, mkoani Manyara. Ni eneo ambalo uchumi wa wakazi wengi wanategemea kilimo.

 

9 years ago

StarTV

Zaidi ya tani 250 za miwa zatupwa Kilombero kwa  Madai Ya Kutofaa Kwa Uzalishaji

 

Wakulima wa miwa wilayani  kilombero wamepata hasara ya zaidi ya shilingi Milioni 30 baaada ya kiwanda cha sukari cha ILOVO kilichopo wilayani humo  kukataa kuchukua tani 250 za miwa iliyovunwa kwenye mashamba ya wakulima hao, kwa madai kuwa  miwa hiyo imekaa muda mrefu baada ya kuvunwa na hivyo kutofaa kwa uzalishaji wa sukari.

Wakulima wanaulalamikia uongozi wa kiwanda hicho  kwa hasara waliyopata  kwani  novemba 14 kiwanda kiliagiza   wakulima kuanza kuvuna miwa yao , ambapo wakulima...

 

10 years ago

Michuzi

BENKI YA NMB YAIBUKA KIDEDEA MAONYESHO YA NANE NANE MWAKA HUU

 Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho kikwete akimkabidhi Mtendaji Mkuu wa NMB Bi Ineke Bussemaker kikombe cha mshindi wa pili kundi la taasisi za kibenki zilizoshiriki maonesho ya Nane nane Kitaifa 2015 katika viwanja vya Ngongo Lindi.

 Wafanyakazi wetu wakifurahia ushindi baada  ya kuibuka kidedea  katika kundi la taasisi za kibenki zilizoshiriki maonesho ya Nanenane Morogoro

 Wafanyakazi wa NMB  wakifurahia ushindi baada  ya kuibuka kidedea  katika kundi la taasisi za...

 

10 years ago

Mwananchi

Walipachika mabao msimu uliopita, msimu huu chali

Ligi Kuu Tanzania Bara imesimama kwa muda wa mwezi mmoja huku timu zote zikiwa zimeshacheza michezo saba na Mtibwa Sugar ndiyo inaongoza msimamo wa ligi hiyo ikiwa na pointi 15.

 

10 years ago

Dewji Blog

Waziri Mkuu Mizengo Pinda kufungua Maonyesho ya Nane Nane Kitaifa mkoani Lindi Agosti 3, mwaka huu

01

Lindi kumekucha, pilikapilika za maandalizi ya Maonyesho ya Nane Nane kitaifa mwaka huu zimepamba moto ambapo Mgeni Rasmi katika maonesho hayo yatakayofunguliwa Jumatatu Agosti 3, 2015 anatarajiwa kuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mizengo Pinda. Maonyesho hayo ya mwaka huu yanaongozwa na kauli mbiu “Matokeo Mkubwa Sasa, Tuchague Viongozi Bora kwa Maendeleo ya Kilimo na Ufugaji”.

02

03

04

Mratibu wa Maonyesho ya Nane Nane kutoka wilaya ya Newala Ado Kiwangu akiwaonesha na...

 

10 years ago

Mwananchi

Viwanja vitakavyotumika kwa Ligi Kuu msimu huu

Ligi Kuu msimu wa 2014/15 itaanza Septemba 20 na itashirikisha timu 14 zitakazopigwa kwenye viwanja kumi katika mikoa tofauti nchini.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani