Tanesco haiwezi kukwepa lawama hizi
Leo katika gazeti hili tuna habari kuhusu vifo vya watu watatu ambao umauti wao unaelezwa kusababishwa na hitilafu ya umeme iliyoanzia kwenye nguzo ya Tanesco.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo04 Feb
‘Tanesco haiwezi kushusha bei kwa sasa’
KUSHUKA kwa bei ya mafuta katika soko la dunia hakujawapa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) unafuu wa kuwafanya washushe bei ya umeme.
9 years ago
Dewji Blog07 Nov
Van Gaal akubali kubeba lawama, awataka mashabiki wasiwatupie lawama wachezaji wake
Kocha wa Manchester United, Louis Van Gaal.
Na Rabi Hume
Kocha wa Manchester United, Louis Van Gaal amewataka mashabiki wa klabu hiyo ya Manchester United kuacha kuwatupia lawama wachezaji wake na anaestahili kubeba lawama hizo ni yeye mwenyewe.
Van Gaal ameyasema hayo wakati akizungumza na waandishi wa habari kuelekea kwa mchezo wa Ligi kuu ya Wingereza ambapo timu yake inatarajiwa kucheza na klabu ya West Bromwich Albion mchezo unaotarajiwa kucheza katika uwanja wa Old Trafford siku ya...
10 years ago
Vijimambo20 Sep
HIZI NDIO SALAMU ZA MWIGULU KWA WOTE WALIOHUJUMU FEDHA HIZI ZA UMMA
![](https://fbcdn-sphotos-c-a.akamaihd.net/hphotos-ak-xfa1/v/t1.0-9/1907844_296860830516152_1936768200218849652_n.jpg?oh=3a3c6ce546a7a1c5416e1f3681005be1&oe=54CEAEDE&__gda__=1422949262_1d62cb09b57fa35cca6b5f8edd31248b)
Agizo hilo lilitolewa na Naibu Waziri wa Fedha, Mungulu Nchemba, akisema wakuu hao pamoja na waajiri wametumia mwanya wa...
11 years ago
Habarileo26 May
‘Serikali haiwezi kuwa na dini’
WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda amesema Serikali itaendelea kusimamia msimamo wake wa kutokuwa na dini wala nchi kutokuwa na dini, lakini itaendelea kuruhusu watu wawe na dini zao.
10 years ago
Tanzania Daima12 Oct
CCM haiwezi kumcheka Lowassa
HAYATI baba wa Taifa, Julius Nyerere, alijitoa muhanga ili kupigania uhuru kutoka kwa wakoloni wa Uingereza waliokuwa wakitawala Tanganyika. Nyerere aliamua kuiacha kazi yake ya ualimu iliyokuwa ikimpatia mshahara na...
11 years ago
Tanzania Daima26 Jul
‘Afrika haiwezi kuendelea bila sayansi’
BARA la Afrika limetakiwa kuelewa haliwezi kuendelea kiuchumi bila kuwekeza ipasavyo kwenye sayansi na teknolojia. Hivyo, limetakiwa kuweka mikakati ya kuongeza idadi ya wahandisi, kutenga fedha za kutosha kujenga maabara...
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-EhAyVT9CLPk/U4H2tQp3fDI/AAAAAAAFk8U/EqDsEkrTHYc/s72-c/images+(3).jpg)
PINDA: SERIKALI HAIWEZI KUWA NA DINI
![](http://1.bp.blogspot.com/-EhAyVT9CLPk/U4H2tQp3fDI/AAAAAAAFk8U/EqDsEkrTHYc/s1600/images+(3).jpg)
WAZIRI MKUU Mizengo Pinda (pichani) amesema Serikali itaendelea kusimamia msimamo wake wa kutokuwa na dini wala nchi kutokuwa na dini lakini itaendelea kuruhusu watu wawe na dini zao.
Ametoa kauli hiyo leo mchana (Jumapili, Mei 25, 2014) kwenye ibada ya kumuweka wakfu Askofu Mteule Conrad Nguvumali wa Kanisa la Moravian Tanzania Jimbo la Rukwa iliyofanyika kwenye Uwanja wa Nelson Mandela, mjini Sumbawanga. Waziri Mkuu ambaye...
10 years ago
Mwananchi15 Mar
Mikakati ya kubuni haiwezi kumaliza ajali
11 years ago
Mwananchi02 Jul
Ndulu: BoT haiwezi kuzuia mabilioni kutoroshwa