Tanesco isipofumuliwa tusitegemee ufanisi
Kama kuna suala ambalo limezungumziwa na Serikali kwa muda mrefu, lakini utetekelezaji wake ukabaki kwenye makabrasha, ni kufumuliwa kwa Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) ili kuleta ufanisi kwa kubadili mfumo wake na kuunda kampuni kubwa tatu zitakazojitegemea na kujenga soko huru la umeme.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Uhuru Newspaper25 Mar
Kinana: Tusitegemee misaada kutoka nje
NA THEODOS MGOMBA, MOSHI.
WATANZANIA wameshauriwa kutotegemea misaada kutoka nje ya nchi kwa ajili ya kuwaletea maendeleo yao. Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana, alisema hayo alipokuwa akizungumza na wananchi wa Wilaya ya Moshi Vijijini, katika Kata ya Arusha Chini.
Kinana alisema hakuna mataifa kutoka nje ambayo yako tayari kusaidia maenendeleo ya watu bila ya wao kujitahidi kuondokana na umasikini.Alisema tabia hiyo ya kutegemea misaada kutoka nje inawafanya...
11 years ago
Mwananchi25 Dec
Bila maandalizi tusitegemee medali madola
11 years ago
Mwananchi28 Jan
Benki yazindua kampeni ufanisi
10 years ago
Tanzania Daima18 Sep
Deni lazorotesha ufanisi Tanida
CHAMA cha wauzaji wa Pembejeo za Kilimo na Mifugo nchini, (Tanada), kimesema wanachama wake wanashindwa kutoa huduma kwa ubora na wakati kwa wateja wake kutokana na Serikali kushindwa kuwalipa deni...
11 years ago
Habarileo27 Apr
Vifaa vyakwamisha ufanisi wa TBS
MAABARA za Shirika la Viwango Tanzania (TBS) zimeendelea kutumia vifaa vilivyopitwa na wakati kupima sampuli mbalimbali, hivyo kuchukua muda mrefu kutoa majibu.
10 years ago
Mwananchi14 Feb
Bongo Fleva ongezeni ufanisi
10 years ago
Habarileo06 Sep
Mbunge akiri ufanisi sera za CCM
MBUNGE wa Kondoa Kaskazini, Zabein Mhita amefagilia mipango ya serikali ya Chama Cha Mapinduzi ambayo imeleta neema kwa wananchi wake hasa ongezeko la uzalishaji katika sekta ya kilimo.
10 years ago
BBCSwahili24 Jun
Kifaa chenye ufanisi katika hospitali TZ
11 years ago
Habarileo28 Jan
Exim waja na mradi wa kuongeza ufanisi
BENKI ya Exim imezindua kampeni maalumu ya ‘Power of Service’ inayolenga kuongeza ufanisi wa benki hiyo hususani katika utoaji huduma. Akizungumza wakati wa hafla ya uzinduzi wa kampeni hiyo jijini Dar es Salaam jana, Meneja Rasilimali Watu wa Benki ya Exim, Siaophoro Kishimbo alisema kampeni hiyo imeanza katika wakati muafaka huku benki ikijikita katika dhamira ya kuwa benki chaguo la kwanza nchini Tanzania.