Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TANTRADE YATANGAZA VIINGILIO SABASABA

Kaimu Mkurugenzi wa TanTrade, Anna akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusiana na kulipia viingilio kwa njia ya M-Pesa na usalama katika maonesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa (Sabasaba)Dar es Salaam yatakayo anza rasmi kesho na kumalizika julai 8 mwaka huu. Kulia ni Meneja bidhaa na Maendeleo ya M-Pesa wa Vodacom Tanzania, Moses Krom. Meneja bidhaa na Maendeleo ya M-Pesa wa Vodacom Tanzania, Moses Krom akizungumza na waandishi wa habari (Hawapo pichani) kuhusiana...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Dewji Blog

Viingilio Sabasaba Kielektroniki

001 SABAZ

Meneja bidhaa na Maendeleo ya M-Pesa wa Vodacom Tanzania, Moses Krom  akizungumza na waandishi wa habari (Hawapo pichani) kuhusiana na kulipia viingilio kwa njia ya M-Pesa katika maonesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa (Sabasaba)Dar es Salaam yatakayo anza rasmi kesho na kumalizika julai 8 mwaka huu. Kushoto ni Kaimu Mkurugenzi wa TanTrade, Anna Bulando.

003 SABAZ

Kaimu Mkurugenzi wa TanTrade, Anna  akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusiana na kulipia viingilio kwa njia ya...

 

11 years ago

Michuzi

Msama Promotions yatangaza Viingilio Tamasha la Pasaka

 Sehemu ya Umati wa watu uliohudhuria tamasha la pasaka mwaka jana katika uwanja wa Taifa.
KAMATI ya Maandalizi ya Tamasha la Pasaka, mwishoni mwa wiki iliyopita ilitangaza viingilio vya tamasha hilo litakalofanyika uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam, viti vya kawaida ni shilingi 5000 na watoto 2000.
Kwa mujibu wa Mwenyekiti wa Kamati ya Maandalizi, Alex Msama viti maalum ni shilingi 20,000 wakati VIP  ni shilingi 10,000.Msama alisema hivi sasa wanaendelea na mchakato wa kufanikisha...

 

10 years ago

GPL

TFF YATANGAZA VIINGILIO VYA AZAM VS YANGA

Kaimu Katibu Mkuu wa TFF, Boniface Wambura akiwa mbele ya wanahabari (hawapo pichani). Wanahabari mbalimbali wakimsikiliza Wambura.…

 

11 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU MIZENGO PINDA ATEMBELEA BANDA LA KAMPUNI YA PROPERTY INTELNATIONAL LIMITED KATIKA MAONYESHO YA (TANTRADE) SABASABA

1wWaziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Mh. Miengo Pinda akiwasili kwenye banda la Kampuni ya Property Itnernational Limited ya jijini Dar es salaam wakati alipotembelea banda hilo Katika maonyesho ya 38 ya biashara ya kimataifa (TANTRADE) kwenye viwanja vya Mwalimu J.K.Nyerere barabara ya Kirwa jijini Dar es salaam, Ili kujionea shughuli mbalimbali zinazofanywa na kampuni hiyo inayojihusisha na miradi mikubwa ya upimaji na uuzaji wa viwanja vilivyopimwa kitaalamu maeneo mbalimbali...

 

9 years ago

Michuzi

viingilio Tamasha la Amani hadharani

imagesKAMATI ya maandalizi ya Tamasha la Amani linalotarajia kufanyika Oktoba 4 kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam imetangaza kiingilio kwa VIP ni shilingi 5000 kwa watakaohudhuria katika tamasha hilo. Akizungumza na Waandishi wa habari, Mwenyekiti wa Kamati ya maandalizi ya tamasha hilo ambaye pia ni Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotions, Alex Msama viti vya kawaida watalipa shilingi 3000.
Msama alisema watoto watachangia shilingi 1000 ambako alitoa wito...

 

9 years ago

Michuzi

VIINGILIO VYA KRISMASI VYATAJWA

 KAMPUNI ya Msama Promotions ambayo ni waandaaji wa Matamasha ya Pasaka na Krismasi, imetangaza viingilio vya juu kwenye Tamasha la Krismasi kuwa ni Shilingi 50,000 kwa viti maalum, Tamasha ambalo litafanyika Desemba 25 kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam.
Tamasha hilo linalokwenda na shukrani kwa Mungu baada ya uchaguzi Mkuu uliofanyika Oktoba 25 ambako kabla, Msama waliandaa tamasha la Kuombea Amani uchaguzi Mkuu lililofanyika Oktoba 4 kwenye uwanja wa Taifa jijini ...

 

10 years ago

Habarileo

Wakurugenzi TanTrade kizimbani

Mahakama ya Hakimu Mkazi KisutuWAKURUGENZI wawili wa Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (TanTrade) wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa na mashitaka ya matumizi mabaya ya madaraka na kusababisha hasara ya Sh milioni 49.1.

 

11 years ago

Tanzania Daima

TanTrade yaita wafanyabiashara

WAJASIRIAMALI nchini wametakiwa kutumia Maonyesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa ‘Sabasaba’ yanayotarajiwa kuanza Juni 28, kutafuta fursa za kibiashara badala ya kuegemea katika kuuza bidhaa. Wito huo ulitolewa jana...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Tantrade yawekwa kitimoto

KAMATI ya Bunge ya Hesabu za Mashirika ya Umma (PAC), imeipa saa 48 Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (Tantrade), kuwasilisha kadi za vyombo vya moto 11 vilivyobadishwa usajili wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani