Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wakurugenzi TanTrade kizimbani

Mahakama ya Hakimu Mkazi KisutuWAKURUGENZI wawili wa Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (TanTrade) wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa na mashitaka ya matumizi mabaya ya madaraka na kusababisha hasara ya Sh milioni 49.1.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Tantrade yawekwa kitimoto

KAMATI ya Bunge ya Hesabu za Mashirika ya Umma (PAC), imeipa saa 48 Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (Tantrade), kuwasilisha kadi za vyombo vya moto 11 vilivyobadishwa usajili wa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

TanTrade yaita wafanyabiashara

WAJASIRIAMALI nchini wametakiwa kutumia Maonyesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa ‘Sabasaba’ yanayotarajiwa kuanza Juni 28, kutafuta fursa za kibiashara badala ya kuegemea katika kuuza bidhaa. Wito huo ulitolewa jana...

 

11 years ago

Habarileo

11 years ago

Michuzi

TANTRADE YATANGAZA VIINGILIO SABASABA

Kaimu Mkurugenzi wa TanTrade, Anna akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusiana na kulipia viingilio kwa njia ya M-Pesa na usalama katika maonesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa (Sabasaba)Dar es Salaam yatakayo anza rasmi kesho na kumalizika julai 8 mwaka huu. Kulia ni Meneja bidhaa na Maendeleo ya M-Pesa wa Vodacom Tanzania, Moses Krom. Meneja bidhaa na Maendeleo ya M-Pesa wa Vodacom Tanzania, Moses Krom akizungumza na waandishi wa habari (Hawapo pichani) kuhusiana...

 

11 years ago

Habarileo

Magari 5 ya Serikali yayeyuka TanTrade

MAKUCHA ya Bunge, kupitia Kamati yake ya Hesabu za Serikali (PAC) imeendelea kufichua maovu katika idara za Serikali na Mashirika ya Umma, safari hii ikiwa zamu ya Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara nchini (TanTrade) iliyopewa saa 48 kuwaanika wahusika wa magari matano na pikipiki nane zilizoyeyuka katika mazingira ya kutatanisha.

 

11 years ago

TheCitizen

Tantrade: Unrecorded exports high

>Tanzania exports more goods than what authorities officially record, says a senior official.

 

10 years ago

AllAfrica.Com

Former Tantrade Boss, 10 Officials Charged With Abuse of Office


Former Tantrade Boss, 10 Officials Charged With Abuse of Office
AllAfrica.com
Former Director General (DG) with Tanzania Trade Development Authority (TanTrade), Ramadhani Hashim Khalfan, appeared before the Kisutu Resident Magistrate's Court in Dar es Salaam yesterday charged with abuse of office in relation to transactions ...

 

10 years ago

Daily News | The National Newspaper (Press Release) (Blog)

TanTrade workers' abuse of office case shelved


TanTrade workers' abuse of office case shelved
Daily News | The National Newspaper (press release) (blog)
THE Director of Public Prosecutions (DPP) has not approved amendments of charges that have been preferred against the Director General (DG) with Tanzania Trade Development Authority (Tan-Trade), Ramadhani Hashim Khalfan and others charged with ...

 

11 years ago

Michuzi

tantrade yaipigia jeki JBC mpakani tunduma


Bw Edwin Rutageruka, Mkurugenzi wa Maendeleo ya Biashara ya  Ndani, Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (TanTrade),  akikabidhi Kompyuta, Vifaa vya Ofisi na Samani kwa  Bw.Raymond Mwanisawa, Mwenyekiti wa Kamati ya Ushirikiano  Mpakani (JBC) Tunduma ambaye pia ni Mkuu wa Kituo cha  Tunduma cha Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA).  Vifaa hivi  ni kwa ajili ya kuimarisha ufanisi wa kupitisha mizigo   na kupata taarifa za biashara Mipakani. Tukio hili  lilifanyika tarehe 10 September 2014...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani