tantrade yaipigia jeki JBC mpakani tunduma

Bw Edwin Rutageruka, Mkurugenzi wa Maendeleo ya Biashara ya Ndani, Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (TanTrade), akikabidhi Kompyuta, Vifaa vya Ofisi na Samani kwa Bw.Raymond Mwanisawa, Mwenyekiti wa Kamati ya Ushirikiano Mpakani (JBC) Tunduma ambaye pia ni Mkuu wa Kituo cha Tunduma cha Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA). Vifaa hivi ni kwa ajili ya kuimarisha ufanisi wa kupitisha mizigo na kupata taarifa za biashara Mipakani. Tukio hili lilifanyika tarehe 10 September 2014...
Michuzi
Habari Zinazoendana
5 years ago
Michuzi
KWACHA NA SHILINGI ZARASIMISHWA MPAKANI TUNDUMA NA NAKONDE

Mkuu wa Wilaya ya Momba, Mhe. Juma Irando (kushoto) na Mkuu wa Wilaya ya Nakonde, Mhe. Field Simwinga (kulia) wakipongezana baada ya Uzinduzi Wa Utekelezaji Wa Makubaliano Ya Mpango Wa Urasimishaji Wa Matumizi Ya Kwacha Na Shilingi. Wa pili kutoka kushoto ni Mkurugenzi wa Tawi la Benki Kuu ya Tanzania Mbeya, Bw. Ibrahim Malogoi...
9 years ago
Habarileo24 Dec
Azam yaipigia hesabu Yanga
KLABU ya Azam FC, imejiwekea malengo ya kushinda mechi zake mbili za Ligi Kuu ya Tanzania Bara, zitakazochezwa siku tano zijazo kwenye uwanja wa Chamazi Complex Mbagala Dar es Salaam.
10 years ago
Michuzi.jpg)
COASTAL YAIPIGIA HESABU PRISON, YAWEKA MIPANGO YA KUHAKIKISHA POINTI TATU ZINABAKI MKWAKWANI
Timu ya Coastal Union imeanza kuzipigia hesabu pointi tatu muhimu za wapinzani wao Tanzania Prison ili kuweza kuhakikisha wanazichukua wakati watakapokutana kwenye mechi ya Ligi kuu Tanzania bara.
Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa wikiendi hii kwenye uwanja wa CCM Mkwakwani ikiwa ni mzunguko wa pili wa ligi hiyo ikielekea lala salama.
Akizungumza leo mara baada ya kumalizika kwa mazoezi ya timu hiyo yanayo endelea kwenye viwanja vya shule ya sekondari Popatlaly mjini...
11 years ago
Tanzania Daima25 Jun
TanTrade yaita wafanyabiashara
WAJASIRIAMALI nchini wametakiwa kutumia Maonyesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa ‘Sabasaba’ yanayotarajiwa kuanza Juni 28, kutafuta fursa za kibiashara badala ya kuegemea katika kuuza bidhaa. Wito huo ulitolewa jana...
10 years ago
Habarileo17 Jul
Wakurugenzi TanTrade kizimbani
WAKURUGENZI wawili wa Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (TanTrade) wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa na mashitaka ya matumizi mabaya ya madaraka na kusababisha hasara ya Sh milioni 49.1.
11 years ago
Tanzania Daima29 Oct
Tantrade yawekwa kitimoto
KAMATI ya Bunge ya Hesabu za Mashirika ya Umma (PAC), imeipa saa 48 Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (Tantrade), kuwasilisha kadi za vyombo vya moto 11 vilivyobadishwa usajili wa...
11 years ago
Habarileo20 Oct
11 years ago
Habarileo29 Oct
Magari 5 ya Serikali yayeyuka TanTrade
MAKUCHA ya Bunge, kupitia Kamati yake ya Hesabu za Serikali (PAC) imeendelea kufichua maovu katika idara za Serikali na Mashirika ya Umma, safari hii ikiwa zamu ya Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara nchini (TanTrade) iliyopewa saa 48 kuwaanika wahusika wa magari matano na pikipiki nane zilizoyeyuka katika mazingira ya kutatanisha.
11 years ago
TheCitizen30 Sep
Tantrade: Unrecorded exports high