TANZANIA DISTILLERIES LTD WACHANGIA MILIONI 10 MFUKO WA IMETOSHA FOUNDATION
![](http://1.bp.blogspot.com/-w0xmTALAmnk/VQwTu48TNoI/AAAAAAAHLoU/XaNwQPlC4E0/s72-c/DSCF6241.jpg)
Kampuni ya Tanzania Distilleries LTD (TDL),imechangia kiasi cha sh.milioni 10 kwa harakati ya Imetosha inayopiga vita mauaji ya watu wenye Ualbino,ambayo itafanya matembezi ya hisani machi 29 mwaka huu yatakayofanyika kuanzia katika viwanja vya Biafra na kuishia katika Viwanja vya Leaders Klabu,Kinondoni jijjni Dar es Salaam.
Akizunguma na waandishi wa habari wakati kutangaza kutoa mchango huo,Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni hiyo,David Mgwassa amesema kupinga mauaji ya watu wenye ulemavu ni...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog21 Mar
Tanzania Distilleries Wachangia Mil 10 Imetosha Foundation
![Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Tanzania Distilleries Limited 'Konyagi', David Mgwassa (wa pili kushoto)akizungumza alipokuwa akitoa ahadi ya kampuni hiyo kuchangia shilini milioni 10 kuunga mkono Imetosha Foundation na kampeni yake ya kupinga mauaji ya watu wenye ualbino.](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2015/03/IMG_0194.jpg)
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Tanzania Distilleries Limited ‘Konyagi’, David Mgwassa (wa pili kushoto) akizungumza alipokuwa akitoa ahadi ya kampuni hiyo kuchangia shilini milioni 10 kuunga mkono Imetosha Foundation na kampeni yake ya kupinga mauaji ya watu wenye ualbino.
![Balozi wa kujitolea wa Imetosha Foundation, Henry Mdimu akizungumza na waandishi wa habari leo kuzungumzia matembezi ya hisani na kupokea ahadi ya sh milioni 10 kutoka Tanzania Distilleries Limited.](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2015/03/IMG_0171.jpg)
Balozi wa kujitolea wa Imetosha Foundation, Henry Mdimu akizungumza na waandishi wa habari leo kuzungumzia matembezi ya hisani na kupokea ahadi ya sh milioni 10 kutoka Tanzania Distilleries Limited.
![Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Tanzania Distilleries Limited 'Konyagi', David Mgwassa akizungumza alipokuwa akitoa ahadi ya kampuni hiyo kuchangia shilini milioni 10 kuunga mkono Imetosha Foundation na kampeni yake ya kupinga mauaji ya watu wenye ualbino.](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2015/03/IMG_0198.jpg)
Mkurugenzi Mtendaji...
9 years ago
Mtanzania25 Aug
Orijino Komedi kutunisha mfuko wa Imetosha Foundation
NA MWANDISHI WETU
USHIRIKIANO wa Imetosha Foundation na Orijino Komedi, unatarajia kutoa burudani ya vichekesho vyenye lengo ya kuchangisha fedha za ujenzi wa kituo kitakachoendesha shughuli za ujasiriamali kwa watu wenye ualbino.
Burudani hiyo kwa ajili ya kuchangia kituo hicho kitakachoitwa Santa Lucia ambacho kitajengwa huko Bumbuli Lushoto mkoani Tanga, itafanyika Septemba 11 katika usiku maalumu uliopewa jina la Ucheshi na muziki katika ukumbi wa Makumbusho ya Taifa jijini Dar es...
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-G2yKLXk4GLw/VQ3B0XCmueI/AAAAAAAArBI/0-3Y5u9YItI/s72-c/tmp_30785-IMG-20150321-WA00721158291901.jpg)
10 years ago
Michuzi15 Mar
IPTL na PAP zaichangia milioni 10/= kampeni ya Imetosha
![Balozi wa kujitolea wa Imetosha Foundation, Henry Mdimu (kulia) akizungumza na wanahabari kwenye hafla fupi ya kukabidhiwa shilingi milioni 10 zilizotolewa na Makampuni ya IPTL na PAP kusaidia kampeni maalumu kupinga mauaji ya watu wenye albino. Kushoto ni Katibu na Mshauri Mkuu wa Sheria wa Makampuni ya IPTL na PAP, Bw. Joseph Makandege.](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2015/03/IMG_1068.jpg)
![Katibu na Mshauri Mkuu wa Sheria wa Makampuni ya IPTL na PAP, Bw. Joseph Makandege (kushoto) akimkabidhi balozi wa kujitolea wa Imetosha Foundation, Henry Mdimu mfano wa hundi ya shilingi milioni 10 fedha waliyoitoa kusaidia harakati za imetosha jana jijini Dar es Salaam.](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2015/03/IMG_10591.jpg)
5 years ago
MichuziWADAU WACHANGIA SH. MILIONI 150 KUKABILIANA NA CORONA
10 years ago
Dewji Blog22 Aug
Kampuni ya Tanzania Distilleries Ltd (TDL) yazindua kinywaji kipya cha kimataifa, Fyfe’s Scotch Whisky katika soko la Tanzania
Mkurugenzi mtendaji wa TDL David Mgwasa akielezea na kutoa ufafanuzi wa Kinywaji kipya aina ya Fyfe’s.Kampuni ya Tanzania distilleries ltd (tdl) Juzi Tarehe 20 mwezi wa 8 2014 imefanya uzinduzi wa kinywaji chake kipaya aina ya Fyfe’s katika hoteli ya Serena, Kinywaji hicho ambacho uhalisia wake na uzindikaji ni wa nchini scotland.Mkurugenzi wa TDL David Mgwasa amewaomba waTanzania kukipokea kinywaji hicho kwenye soko la vimiminika kwani kina ubora wa hali ya juu na kimetengenezwa kwa...
10 years ago
TheCitizen22 Aug
Tanzania Distilleries introduces Scotch whisky
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-4rqQ9x6Lp9g/Xp8H5_DJvII/AAAAAAAEGzg/Oyjk9RZ7pB4bjovCFtOeIimSs3s-euS4gCLcBGAsYHQ/s72-c/NHKK.jpg)
Taasisi ya Vodacom Tanzania Foundation yakabidhi vifaa vyenye thamani ya shilingi milioni 300 kwa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar ili kupambana na ugonjwa wa Covid-19
![](https://1.bp.blogspot.com/-4rqQ9x6Lp9g/Xp8H5_DJvII/AAAAAAAEGzg/Oyjk9RZ7pB4bjovCFtOeIimSs3s-euS4gCLcBGAsYHQ/s640/NHKK.jpg)